chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mabinti wa Vyuo Vikuu wajiunga na CCM, wakosoa nafasi ya wanawake Ndani ya CHADEMA

    Kundi la mabinti kutoka vyuo vikuu mbalimbali nchini leo limetangaza kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kudai kutoridhishwa na nafasi ya wanawake ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kauli ya No Reform No Election hatujasema tunasusia Uchaguzi. Tutaongea na Rais Samia lugha atakayoielewa

    Tundu Lissu amesema hayo baada ya kuwasili kwenye ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA tokea achaguliwe kuwa mwenyekiti wa Chama hicho. Tundu Lissu amesema kuwa tuna uchaguzi Mkuu Oktoba, na tuna No Reform No Election. Hayo mambo mawili hayaendi pamoja, kiswahili chake ni Hakuna Mabadiliko, Hakuna...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA – Mchezo wa Misaada ya Kigeni unafunika Ukosefu wa Kujipanga kwa Uamuzi wa 2025

    Katika maonyesho ya wazi ya udhaifu wa ndani, CHADEMA imejidhihirisha katika mchezo wa kukamata misaada ya kigeni, jambo linalofichua kutokuwepo kwa mipango madhubuti ya kujipanga mbele ya uchaguzi mkuu wa 2025. Viongozi wa chama, wakiongozwa na Mwenyekiti Tundu Lissu, wamekuwa wakizungumzia kwa...
  4. technically

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mbowe kutimuka CHADEMA

    Nimezidaka ili kuendelea kula pesa za Abdul mbowe ataondoka chadema na kwenda kwenye tawi moja la chama chakavu ili avute pesa ya mama Abdul. Unaambiwa kapangwa ili kupewa wabunge kadhaa ili awe mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni Soon movie zinaanza wacha maji yajitenge na mafuta...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kabla ya kuuliza Chadema watazuiaje uchaguzi, jiulize uchaguzi utafanyikaje kwa hali hii?

    Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo kilipotangaza kauli mbiu yake ya No reforms No Election ikimaanisha hakuna mabadililiko hakuna uchaguzi, kumekuwa na maoni tofauti ya utekekelezaji wa kauli mbiu hiyo. Baada ya uongozi mpya kuingia chini ya Tundu Lissu, msisitizo umekuwa sio tu kususia...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Njombe: Aliyekuwa Katibu wa CHADEMA tawi ahamia CCM

    Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Ramadhani Victor Kawogo amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Machi 05, 2025 katika Mkutano wa Usomaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM kata ya Ramadhani kwa kipindi cha miaka mitano 2020 hadi 2025. Kupata matukio na...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kijiji CHADEMA aibukia kwenye Mkutano wa Mbunge wa Hai, Apongeza Kazi za serikali ya awamu ya sita

    Naam, saiti hali ni tofauti kabisa na wanachosema viongozi wa chadema wanaokaa mikocheni wakiota ndoto za alinacha, saiti inamkubali Samia kwa asilimia kubwa, na ni atazuia uchaguzi?tunasema, kauli ya no reform no election sio tunda la wanachama ngazi za chini(grass root) na itakuwa biggest...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Katiba Mpya si jambo la mara moja, CHADEMA wanaangalia Uchaguzi tu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kipo tayari kwa mchakato wa kupata Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Makalla ameyasema hayo siku ya Jumatano Machi 05, 2025 wakati akizungumza na...
  9. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri kwa CCM na CHADEMA kukaa meza moja kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao

    Kama Mwananchi na Raia wa Tanzania ninawashauri CCM na CHADEMA wakae meza moja na wajadiliane kuangalia yale mapungufu yanayoonekana kuelekea Uchaguzi Mkuu ili yafanyiwe marekebisho kama itawezekana. Pamoja na kusema kuwa uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa ni sawa lakini CHADEMA wanaweza...
  10. Mbangaizaji wa Taifa

    JamiiForums Tanzania Hii CHADEMA ya Dkt Slaa pale, huku Tundu Lissu kule Freeman Mbowe pale John Heche na John Mnyika katikati Godbless Lemma CCM kwisha kabisa

    Kama Kuna mziki CCM itapitia tangu kuanza kwa vyama vingi basi ni huu wa CHADEMA ya sasa. Najaribu kufikiria kama watakuwa na chopa tatu na wakawa na root tatu zitakazoongozwa na Dkt Slaa, Lissu, Mbowe na Heche naamini hii No reform No Election itakuwa ni kama kusukuma mlevi.
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Lissu amesema wahariri walipewa fedha kuiharibia CHADEMA uchaguzi

    Wakuu wa JamiiCheck ni kweli Lissu amesema wahariri walipewa fedha kuiharibia CHADEMA uchaguzi?
  12. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA hoja yenu iwe ni kuzuia wizi wa kura na siyo kuzuia uchaguzi

    Kwa jinsi ninavyoiona hoja ya CHADEMA ya no reform no election haija kaa vizuri inalenga kukiua chama moja kwa moja. Hoja ambayo ni practical na ingekuwa na mashiko ni kuelemisha wananchi wazuie wizi wa kura kwa namna yoyote ile. kuzuia uchaguzi ni kujindaganya ni bora CHADEMA washiriki lakini...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Wakurugenzi hawatasimamia Uchaguzi, ahoji hofu ya CHADEMA kuhusu Uchaguzi licha ya marekebisho ya mfumo

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, Amos Makalla ameshangaa hofu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ya kutotaka kushiriki uchaguzi mkuu kwa madai ya kufanyika mabadilko wakati Serikali imeshafanya marekebisho...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Slaa: Wananchi watazuia Uchaguzi, CHADEMA ni mhamasishaji tu!

    Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya No Reform, No Election, akisema kuwa si msimamo wa CHADEMA kususia uchaguzi bali kuzuia uchaguzi, na ni wananchi wenyewe ndio watakaoongoza zoezi...
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Tundu Lissu ameingia kuiua CHADEMA, Chama kinaenda kuvunjika

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na...
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bora Uenyekiti wa Mbowe, Lissu bado hajajua watanzania wanataka nini. Mpango wake wa kustopisha Uchaguzi unaenda kuangukia pua!

    Mimi nilikuwa ni pro Lissu alipokuwa anapambana na FAM Lakini kusema ukweli so far sijaona kipya. Juzi nilikuwa namsikiliza akizungumzia njia atakazotumia kustopisha Uchaguzi. Lissu bado anaamini kwenye MAANDAMANO na CIVIL DISOBIDIENCE, vitu ambavyo wabongo hawako tayari kufanya kwa sasa kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No refom No election inawapelekesha sana CCM, Makalla anadai CHADEMA imeanza kushindwa kabla ya uchaguzi mkuu

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwamba uchaguzi hautafanyika bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi. Akizungumza siku ya...
  18. Gabeji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema chini ya Lissu tumieni nguvu hiyo kukiimalisha CHAMA kuliko kutumia kuzuia uchaguzi.

    Poleni na hongereni na kutafuta mkate wa kila siku. Chadema mpya hongereni na harakati za kuleta mabadiliko ya kikatiba kwa Tanzania. Tumeona nia yenu ni njema sana ktk kuleta na kupigania haki ndani ya nchi yetu." Hoja hii ya No reform No election" ipo vzr sana, lakini kwa maoni yangu , ni...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakati CHADEMA wakiendelea na no reform no election, UVVCM wanasema uchaguzi wa mwaka huu utakuwa ni pigo la "Radi" kwa wapinzani

    Wakuu anayejua pigo la radi aje atuelezee linavyokuwa, ili tupate picha ya kitakachotokea hiyo October. === Mjumbe wa Baraza Kuu la Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Victor Makundi amesema ushindi wa chama hicho katika uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba mwaka huu utakua pigo la...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti BAVICHA, Deogratius Mahinyila anatoa tamko muda huu sakata la Utekaji nchini

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) Deogratius Mahinyila anazungumza na Vyombo vya Habari muda huu akizungumzia sakata la utekaji nchini huku akianza kueleza namna ambavyo Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, alivyotekwa na kupotea tangu...
Back
Top Bottom