chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. JamiiForums Tanzania Ili CHADEMA ifanikiwe malengo yake unaishauri ifanye nini?

    Kuna baadhi ya watu husema CHADEMA inakosea jinsi ya kufanya siasa zake. Jee ili ifanikiwe kisiasa, CHADEMA inatakiwa ifanyeje siasa zake?
  2. JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa CHADEMA na vyama vingine vya upinzani

    Wakuu Kutokana na yanayoendelea napendekeza vyama vyote vya upinzani viachane na swala la uchaguzi wawaachie wenyewe wafanye kampeni kivyao,wapige kura kivyao Wanapata nguvu ya kufanya yoote haya kwa sababu wanajua mwsho wa siku kuna watu watakuja kucompete nae kwa ushahidi tuu Sasa ni busara...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sintofahamu yatawala CHADEMA: Siku ya Pili Kada Hilda Newton hajaonekana

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinaendelea kumtafuta kada wake Hilda Newton aliyepotea tangu Alhamisi, Aprili 24, 2025, mara ya mwisho akionekana katika viunga vya Mahakama ya Kisutu, Dar es Salaam. Kupitia mitandao ya kijamii, wanachama wa CHADEMA wameeleza wasiwasi wao, wakidai...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche ameelezea tukio la wao kukamatwa na polisi

    Makamu mwenyeki CHADEMA Bara Heche, ataongea na Wanahabari leo. Pia ataelezeza kinagaubaga kilichotokea na kinachoendea na kitakachoendelea. Nitakuwepo mbele kabisa. https://www.youtube.com/watch?v=R7XKhHM8iJg Makamu Mwenyekiti, CHADEMA, JOHN HECHE John Heche ameeleza kuwa hawatokubali...
  5. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi: Tuliimarisha na kuweka ulinzi mkali Kisutu kutokana na matishio ya kiusalama na vitendo vya uhalifu

    Kuhusu suala la usalama Mahakama ya Kisutu kwa ujumla usalama uliimarishwa kwa kiwango cha juu kufuatia taarifa mbalimbali za matishio zilizokuwa zikipatikana kuhusiana na suala la kesi inayomkabili Tundu Lissu tarehe 24/04/2025. Kazi ya kuzuia vitendo vya kihalifu inaendelea kwani hilo ndio...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa tukio la jana la Mahakama ya Kisutu, bado uongozi wa chadema haujawaelewa G55 kwamba ni vigumu kuzuia uchaguzi kwa maandamano?

    Wahenga wanasema, shetani akitaka kukusababishia majanga, kwanza lazima akupe kiburi cha kukataa kila ushauri. Kama unaumwa, kwa makusudi unakataa kwenda hospitali, kama mto umejaa maji, unaambiwa usivuke, kwa kiburi unavuka. Kama ilikuwa ni ku-test theory, jana chadema wameona. Wana chadema...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tusikate tamaa, ukombozi wa Nchi ni Process

    Kamwe, kamwe, kamwe tusikate tamaa. Ukombozi huwa haupatikani kwa njia ya mkato tu. Wakati mwingine ni process ndefu yenye milima na mabonde. Lililotokea leo kwenye kesi ya Tundu Lissu lisitukatishe tamaa, inawezekana ni hatua mojawapo ya kuelekea kwenye ukombozi kamili. Niwaombe sana wale...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Chadema wamefungwa, Watanzania wengi wanaojinadi wapinzani nyuma ya keyboard hawana habari,upinzani mfikirie upya, mtaumizwa sana

    Muda huu Lissu kadakwa, Heche kadakwa, Mnyika kadakwa, na viongozi wengine wengi wa Chadema. Lakini watanzania wanaojitamba ni wapinzani huko vijiweni na mitandaoni hawana habari, maisha yanaendelea kama kawaida Talk of the town muda huu ni kuhusu nusu fainali ya Simba, Mwijaku, Harusi ya Jux...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Updates: Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar awa Mahututi, Juhudi za kumhamishia Muhimbili au Nairobi zinaendelea

    Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho Kanda ya Pwani hii hapa. "Katika kundi la watu 13 waliochukuliwa Kisutu kwenda kupigwa maporini Ununio wa kwanza ni Makamu Mwenyekiti Zanzibar ambaye amepigwa sasa hivi ni mahututi sasa hivi yupo hospitali ya Mwananyamala wanamfanyia rufaa ya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama nauli, malazi nk wa ndani nje ya nchi kuhudhuria kesi ya Lissu Kisutu

    Pole wanaCHADEMA waliotumia gharama zao nauli ,malazi muda nk wa ndani na nje ya nchi kuhudhuria kesi hewa ya Lisu ,mahakama ya Kisutu ambayo haikuwepo wangewekeza kwenye biashara wangekuwa mbali kimaisha Wasirudie tena huo ujinga Wanwache apambane na hali yake
  11. JamiiForums Tanzania Wanasema CCM ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA?

    Wanasema Ccm ina wanachama wengi je kama wapo wapi mbona hawana nguvu ya kimtandao kama wenzao CHADEMA.? Hapa lipo swali la kujiuliza Sana. Ina maana sisiemu nguvu ya kimtandao kwanini hawana . Ikiwa wanachama wa sisiemu labda hawana smartphone au hawana bundle au hawajui kusoma na kuandika.
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CHADEMA

    Napenda kutoa ushauri huu kwa wafuasi wa CHADEMA na wanao kiunga mkono kwa namna moja ama nyingine. Toka uongozi mpya uingie madaraka katika chama hicho yaani mwenyekiti wake Tundu Lissu na makamu wake John Heche kumekuwa na kashi kashi nyingi za hapa na pale. Kwa asilimia kubwa ya wananchi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wamewapuuza Chadema

    Siku ya Leo Chadema walitangaza kuonyesha dunia wao ni nguvu ya Umma na waliripoti wanachama zaidi ya 10,00 kusafiri kutoka mikoa mbali mbali kuja mahakamani Kisutu Cha Kushangaza wale tuliombiwa walijaza Hotel za Kariakoo, Posta awakuonekana Kisutu Niendelee kutoa Rai Chadema endeleeni...
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Hadi sasa, hatujui walipo Heche na Mnyika

    Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika; "Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema imeshakufa, ilifia hapa

    Kwa huzuni kubwa niseme kuwa chama cha CHADEMA ni kama kimeshajifia. CHADEMA imebaki hasa hasa kwa wanaharakati wa demokrasia tu ila imepoteza kwa kiasi kikubwa uungwaja mkono wa wananchi, huu ni ukweli mchungu. CHADEMA ILIFIA WAPI? Kifo cha CHADEMA kilianza kwenye uchaguzi wa 2015 pale...
  16. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA lazima iwe sauti ya haki na mabadiliko. CHADEMA inaweza kuongoza Watanzania

    Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na haki za msingi zinakiukwa. Hapa kuna ushauri wa kimkakati kwa CHADEMA, kwa uchungu na mwelekeo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Wako wapi kina Madenge ? mabingwa wa kuitetea CHADEMA kwenye mitandao

    Hawa watu ambao kila siku wamekuwa wakijifanya mabingwa wa kuitetea CHADEMA kwenye mitandao—akina Madenge, Sativa, Mwita, Ntobi na wengine—leo wamekosekana kabisa mahakamani kwenye kesi ya Lissu. Wamekuwa hodari sana kwenye keyboard, wakipiga kelele mtandaoni kana kwamba wao ndio walinzi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Chadema kuhamasisha watu kwenda mahakamani ni kutumia watu kama ngao, wataumizwa.

    Nimewasikia viongozi wa cdm wakihamasisha wafuasi nchi nzima waende kwa wingi Kisutu kusikiliza kesi ya Lissu, lengo hasa ni nini kuita watu wengi wakusanyike kwenye eneo dogo sana la mahakama ambalo liko kwenye maeneo yenye pilikapilika nyingi za watu? Tunafahamu kuwa chadema ina wafuasi wengi...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA wapo mitandaoni , je hao Chadema walipo mitandaoni ni maroboti sio WATU ?

    Sisiemu huwa hawakubali kuwa hapendwi na kukubalika. Mfano watakuambia kuwa Chadema wapo mitandaoni Sana. Hii hoja mufulisi Ina maana watu waliopo mitandaoni ni maroboti.?
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaripoti kifo cha mtu mmoja

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Viongozi wa Chama hicho akiwemo Makamu Mwenyekiti, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, na Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi wakiwa pamoja na wengine sita wamefikishwa katika Hospitali ya Mwananyamala kwa matibabu baada ya kupigwa na kutelekezwa na Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…