cctv camera

  1. M

    Rafiki yangu kafunga CCTV Camera chumba cha msaidizi wa kazi, nimemwambia anakosea

    Nina rafiki ninayefanya naye kazi, sasa kutokana na ubize wa kazi pamoja na mkewe, waliamua kufunga kamera kwenye nyumba yao ili waweze kujua kinachoendelea wanapokuwa nje ya nyumba. Nyumba yao ni ya vyumba vitatu, ambapo kimoja anatumia msaidizi wa kazi za ndani ambaye pia analala na mtoto wao...
  2. Lengo lao la kutaka CCTV camera ziwe na usajili ni nini?

    Turudi nyuma tukio la lissu kupigwa risasi eneo wanapoishi wabunge.CCTv zote ziliondolewa na kulikuwa hakuna usajili. Nilichogundua sehemu zita kazokuwa na CCTv wakifanya utekaji wao wataweza kuzibiti taarifa na kukanusha kama hakuna tukio. Na huu usajili utaweza kujua jirani ,location na wapi...
  3. M

    RC Chalamila: Tunafanya utafiti tusajili CCTV Camera ili unachokiona na sisi tukione

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kwasasa wanafanyia utafiti camera zinazofungwa majumbani kwa watu au sehemu mbalimbali nazo zisajiliwe kama ndege ambazo hazina rubani(drones) kwa sababu baadhi ya camera hizo hutumiwa vibaya na watu kuchunguza maisha ya watu binafsi...
  4. Fundi CCTV camera, Mwanza

    Offer offer offer!!!! Pata complete set ya cctv camera 4 ikiwa na vitu vyote pamoja na ufundi kwa bei ya 750,000 tu ✓ufundi bure ✓tunamfata mteja popote alipo kwa gharama Zetu ✓camera zetu ni high quality ✓zina nasa sauti hivyo unaweza kusikiliza maongezi ✓zina mwanga mzuri hata kama ni...
  5. Tunafunga CCTV Camera, tupo Mwanza

    Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk. Tunaunga mifumo yote kwenye sjmu ya mkononi hivyo utaweza kuona matukio yote kwenye simu yako ukiwa popote pale. Tunafunga fensi...
  6. Back Up Power For Cctv Camera

    Contacts☎️0746373222 Kwa wale ambao wamefunga mifumo ya cctv camera kwa ajili ya ulinzi na pia una hitaji hata kama umeme ukikatika basi cctv camera ziendelee kufanya kazi basi suluhisho lako tunalo. Sote tuna tambua kuwa umeme unapokatika basi cctv camera huzimika mpk pale umeme wa tanesco...
  7. R

    Mauaji ya Albert Ojwang Kenya: Angalia CCTV camera zilivyowaumbua police wakikana kuhusika kuhusika na mauaji yake

    IGP wa Kenya alisema kuwa Ajwang alijipiga kweye kuta za gereza na kujiua. Ona CCTV camera zilivyomuumbua!
  8. V

    Imarisha ulinzi wa mali zako nyumbani na ofisini kwa kufunga CCTV CAMERA leo.

    Karibu tukufungie cctv camera leo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu. Huduma zetu ni za uhakika na tunazingatia mahitaji ya mteja. -Tunazo camera nzuri zinazoonyesha picha nzuri 24/7 Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk Vision Tunatoa mafunzo bure kwa mteja jinsi ya kutumia na...
  9. V

    Je unahangaika kupata huduma ya kufunga cctv camera kwa ajili ya ulinzi wa mali zako? Karibu tukuhudumie.

    Nenda kidigitali na ishi kwa amani bila kuhofia usalama wa mali zako nyumbani au ofisini kwa kufunga Cctv camera leo. Tunazo camera nzuri za kisasa zinazoonyesha picha nzuri usiku na mchana zenye 2MP Tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa kutosha Tunazo brand maarufu za Dahua na HIk VISION...
  10. V

    Funga Cctv camera kwa ulinzi imara

    Ishi bila wasiwasi kwa kufunga Cctv camera nyumbani au ofisini kwako. Tunao ujuzi na uzoefu wa kutosha na tunafunga camera zenye ubora wa hali ya juu. Utaona picha angavu zenye rangi usiku na mchana. Tupigie kupitia simu namba 0764308320 . Karibu tukuhudumie.
  11. V

    Karibu ujipatie huduma ya cctv camera

    Imarisha ulinzi wa nyumba ,ofisi au sehemu ya biashara kwa kufunga Cctv camera. Tunazo camera zenye ubora zinaonyesha picha angavu( HD) hata usiku. Pia unaweza kuangalia matukio yote kupitia kwenye simu yako ya mkononi ukiwa popote. Bei zetu ni nzuri na tunao mafundi wazuri wenye uzoefu wa...
  12. Fundi wa cctv camera in dar es salaam

    Piga 0746373222..Je,.unahitaji fundi wa CCTV camera Kwa ajili ya kutengeneza na kuboresha CCTV camera zako ndani ya dar es salaam? Je, unahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu CCTV camera kabla ya kufunga au baada ya kufunga? Je,umekua ukisumbuliwa na fundi wako wa CCTV camera kukupa huduma Bora...
  13. K

    CCTV Camera Hikvision 4-Channel Kit

    HIKVISION KIT 4CHANNEL CCTV CAMERA Features; → Full channel HD resolution recording DVR → High Definition Camera → Mega-pixel Resolution → Live view from PC, MAC, Smartphone & Tablets → HDMI Output for HD local playback... ➡️ Price 785,000/=Tsh Contact;0719 38 99 90
  14. Meya jiji la Arusha: Tutahakikisha tunafunga CCTV Camera mitaa ya Arusha

    Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe, amesema Halmashauri ya Jiji hilo imetenga zaidi ya shilingi bilioni 4 kwa mwaka wa fedha 2025 kwa ajili ya kuboresha miundombinu, ikiwemo ununuzi wa mitambo ya kutengeneza barabara. Akizungumza na waandishi wa habari Februari 26, 2025, Meya...
  15. FUNDI CCTV CAMERA MWANZA , ELECTRIC FENCE, REMOTE GATE, ALARM SYSTEM MWANZA 0747274532

    Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk. Tunaunga mifumo yote kwenye sjmu ya mkononi hivyo utaweza kuona matukio yote kwenye simu yako ukiwa popote pale. Tunafunga fensi...
  16. Utapunguza kufanya nini endapo CCTV camera itafungwa ndani unapoishi?

    Ikitokea katika chumba/Nyumba yako zikafungwa CCTV Camera, ni mambo gani utakayopunguza kuyafanya?
  17. K

    CCTV Camera Installation

    Tuna toa huduma za kufunga camera popote Tanzania na Zanzibar. Ofisini, Majumbani, Viwandani, Mashuleni, nk. Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0773373839 Au fika ofisini kwetu Buza kanisani, Dar es salaam Bububu, Zanzibar
  18. G

    Nje ya kufunga CCTV camera ni huduma gani nyingine inatajirisha IT wa Bongo?

    IT wengi wamejiajiri kwenye kupiga window, kuingiza muvi, ku burn cd, n.k. baadhi wamejiongeza kuwa mafundi simu, mafundi laptops, n.k. maendeleo yao kiuchumi huwa ni ya kawaida. Kuna huu mchongo wa cctv camera umebadili maisha ya vijana wengi wa IT, vijana wanapush ndinga za 20M+, wenye akili...
  19. A

    LGE2024 CCTV Camera kwenye chumba cha kupiga kura

    Moja moja kwa mada: Ili kuondoa haya malalamiko ya wagombea wa CCM kuanzisha vurugu na kuwasingizia wapinzani ili watolewe nje na Police then wao wanabadilisha matokeo then mawakala wanarudishwa ndani kuhesabu, pamoja na hujumu zingine kama kwenda kula chakula ndani watu wanafanya yao. Kwanini...
  20. WAZO: Wamiliki wa mabasi fungeni kamera ulinzi (CCTV Camera) japo kwenye lango la kuingilia abiria

    Kwa hali ilivyo sasa madereva kupigwa mpaka kuuwawa, abiria kushushwa kwenye mabasi kimafia na kuuwawa na matukio mengine mengi ya kiharifu, ni bora wamiliki wa mabasi mkafunga Camera hizi kwenye mabasi. Kama mnafunga ving'amuzi inashindikanaje kufunga Camera japo kwenye lango la kuingilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…