Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
MJUMBE wa Halmashauri Kuu Taifa (MNEC), Ndele Mwaselela ametoa sababu ya kutogombea nafasi ya ubunge katika mchakato wa uchukuaji fomu na urejeshwaji ulionza Juni 28 mpaka Julai 2,2025.
Mwaselela ametoa msimamo wake leo Jullai 3, 2025 kwenye mkutano wake na Waandishi wa Habari katika Ofisi za...
Nimesikitishwa sana na kauli ya Kikwete alipokuwa akihutubia katika mkutano mkuu wa CCM, alipokuwa akiwajibu wale waliokuwa wanaonesha nia ya kukitaka kiti cha uenyekiti na urais kwa kutaka kuchukua fomu kuomba ridhaa ya kuwa mgombea urais ndani ya CCM.
Katika maelezo yake Kikwete anawahoji...
Kila mwana CCM anawaza kwenda kuvuna pesa tu wala sio kutumikia wananchi.
Hii ndio sababu ya watu elfu nne kwenda kuwania 300 hii ni dhahiri kuwa sasa ubunge ni biashara inayolipa iliyozalishwa na CCM
👇
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM limekamilika siku ya jana Julai 2, 2025, jumla ya wanachama 5,475 walichukua fomu za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar...
Mwenyekiti wa umoja wa wafanyabiashara na watoa huduma Tanzania, Martin Massawe, amechukua fomu kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi, kugombea ubunge Jimbo la Moshi vijijini
Massawe ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM Mkoa wa Kilimanjaro, amechukua fomu hiyo Julai 2, 2025 ambapo...
https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ
Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo...
Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
Pamoja na kulipwa MAFAO ya ubunge takribani 600m TZS kila Mheshimiwa iweje hamkuchukua tena Fomu za kuomba uteuzi wa Chama Chetu? Au mmeamua kustaafu na Dr Majaliwa?
Kujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ?
Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
NImetafakari hili jambo nikaona bora tuwaze pamoja.
Mbunge wa CCM hata akikaa jimboni miaka 10 hadi 15 na wengine miaka 20 wakiachia jimbo tu huwa wanakuwa na maisha yasiyoridhisha.
Ukiachana na wabunge kama Rostam Azizi ambaye hata kwenye ubunge wake alionekana kuwa smart sana kwa kuwaletea...
Nawatakia utulivu wa moyo na kifikra watia nia wote wa nafasi za ubunge na udiiwani kupitia CCM katika kipindi hiki cha joto la mjujo mchujo wa uteuzi kuelekea uchaguzi mkuu.
Binafsi nimechukua na kurejesha fomu za uteuzi nafasi ya ubunge nikiwa na matumaini makubwa mno, kwa haki kutendeka kwa...
Tunataka kuona Polisi, usalama wa taifa, jeshi wakitimiza majukumu yao, na sio kutumika kama mbeleko ya kuibeba CCM ili wapate ushindi.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
https://youtu.be/sjfPgpGxlPM?si=KotQLiYWJwasPFmS
Leo nimepata nafasi ya kumsikiliza mzee wa CCM, Jaji Joseph Warioba akishirikiana na wenzake kujaribu kuwaleta CCM na CHADEMA pamoja ili kunusuru mgogoro mkubwa wa kisiasa uliopo Sasa na nchi kuingia ktk uchaguzi ikiwa moja badala ya mgawanyiko na...
Wimbi la ukimya linatawala mchakato wa kuchukua fomu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku wagombea na watia nia wakizuiwa kuzungumza hadharani kuhusu matarajio yao, hoja zao za msingi, au mapungufu ya wabunge na madiwani waliomaliza muda wao.
Tangu kufunguliwa kwa dirisha la uchukuaji wa...
Kamati kuu ya Ccm wakati wa kuchuja Majina tafuteni watu sahihi na wenye nidhamu .
Mnakumbuka Mh Nape pamoja na Mh Byabato walivyojinasibu kuwa wao hata wakishindwa watangangazwa wameshinda.
Kauli hii sio tu inaonesha wazi kuwa Tanzania ni nchi ambayo haina demokrasia .
Na kuonesha kuwa...
Hakika huu ni uzalendo. Nawapongeza sana kina Godbless Lema na makada wengine wa CHADEMA kwa kufuatilia kwa karibu zoezi linaloendelea la uchukuaji fomu za kugombea uongozi kwenye vyombo vya dola. Hii ni ishara kuwa watanzania wakiwemo makada wa CHADEMA wana imani na CCM. Makada wengi wa...
Wakili wa kujitegemea Tumsifu Kweka, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, leo amejitokeza rasmi kuchukua fomu za kuwania ubunge katika Jimbo la Siha kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Kweka alifika katika Ofisi za CCM wilaya ya...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Maiko Salali Hosea amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Wakuu
====
wanawake wengi wamejitokeza kuchukua fomu katika nafasi mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2025 idadi hii ni kubwa
Je? ni kweli ile kampeni ya kuwainua wanawake imeanza kufanya kazi au ni wanafuata mkumbo.
Maoni yangu
Tuangalie majimbo ambayo yalikuwa yanaongozwa na...