ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Huwezi kuepuka kuichangia CCM kama unaishi Tanzania.

    Sisi tuna watu, sisi tuna serikali. Makampuni, Viwanda na Taasis hazithubutu kuenda kinyume na matakwa yetu. Tunaweza waambia tu watu wa Bank waongeze makato kwenye huduma zao. Yakaongezeka. Tunaweza waambia watu Mitandao ya Simu wakaongeza gharama za bundle au data. Tunaweza waambia watu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Umejifunza nini kwenye uteuzi wa wagombea CCM?

    Jana Halmashauri kuu ya CCM, imefanya uteuzi wa wagombea ubunge Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania na uwakilishi katika Baraza la wawakilishi Zanzibar. Naungana na wanachama wenzangu wa CCM kumpongeza mwenyekiti, kamati kuu, halmashauri kuu na wagombea wote walioteuliwa. Baada ya mchakato...
  3. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa kushangaza CCM, Ummy Mwalimu akitoswa, Baba Levo aula

    Chama tawala nchini Tanzania, CCM, kimehitimisha mchakato wa uteuzi wa wagombea wake wa ubunge kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, ambapo matokeo yake yameibua mshangao baada ya baadhi ya majina makubwa kuachwa nje na sura mpya kuteuliwa. Katika mabadiliko hayo, aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa...
  4. JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM mlioachwa , msiwe na hofu , CCM haijawahi kumtupa mtu .

    Wanachama wote , milokatwa katika nafasi mbalimbali za kuwania Ubunge , msivunjike Moyo. There's so many opportunities in Ccm. Tutakula Sana, hii ni nyama ya Tembo hauwezi kuimaliza MTU mmoja .
  5. JamiiForums Tanzania Majina ya wapinzani yachomoza CCM, wapigania chama hoi2025

    Salaam nyote, Baada ya subira ya ya vuta heri Sasa kunako jukwa la CHAMA Cha mapinduzi hakuko sawa baada ya WAPIGANIA CHAMA kuachwa Richa ya kushinda. 1. Kishoa , Baba Revo, Bulaya, n.k Wengi walioachwa wananung'unika kuwa tumekijenga CHAMA kwa jasho na machozi ,Fedha lakini watu wamevuka tu...
  6. JamiiForums Tanzania KWA HILI CCM WASHUKURU TANZANIA HAKUNA UPINZANI.

    Kwa yanayotokea sehemu mbalimbali hapa hapa nchini ccm ni kama wamechokakutawala. Baada ya matokeo ya mchujo wa wagombea wa nafasi za Bunge kutoka pale Dodoma nimeamini Sasa hivi wananchi wameondoa yoga na kusema liwalo na liwe. Hii tabia ya kuwateulia wagombea wa majimbo na wakubwa Wacha he...
  7. JamiiForums Tanzania Sio NEC,NIDA na pengine inawezekana CCM ina cable JF.

    Hapa JF kuna mashambulizi ambayo wana propaganda wapo ambao wanalipwa pesa kueneza ajenda zao. Kiufupi sasa hata mnacholeta hapa JF kunawapa kazi ngumu CCM. Mlipo sasa mtatema bungo
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa upinzani madhubuti wa Chadema na Tume Huru ya Uchaguzi. CCM inachukua mgombea yoyote hata asiye na ushawishi kwa wapiga kura.

    CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu watu wa CCM, ebu epukeni aibu hii.

    Unaingiaje kwenye uchaguzi Mkuu wakati huo Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye ndo mpinzani wako mkuu yupo mahabusu, na kama haitoshi, chama kimefutiwa Ruzuku yake, kimezuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa, kimebanwa kila kona. Katika mazingira hayo, hapo kuna uchaguzi gani...
  10. JamiiForums Tanzania Sina imani na afya za wagombea urais wa ccm (Tanzania bara)

    Hawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa. Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana. Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Je hapa ccm haijamwaga OIL? AU MPAKA ABADILISHWE RAIS NDO KUMWAGA OIL?POLEPOLE NIJIBU.

    Ccm imebadili Katibu mkuu, imebadili Katibu MWENYEZI, imebadili Makamu Mwenyekiti Bara Je Bado haijamwaga oili mpaka ABADILISHWE Samia ndo.kumwagwa kwa oil kumefanyika Sawa sawa? Pole pole nijibu
  12. JamiiForums Tanzania Hii fomu ya kujisajili na CCM mbona kama inasomana na NIDA?

    Hapo nilipozungushia duara red, kuna mjadala aisee 🤣🤣🤣
  13. JamiiForums Tanzania CCM Wanahitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Tanzania

    Baada ya Kuona Majina Yametangazwa Na Chama Cha Mapinduzi Nimegundua Kuwa CCM wana hitaji Mabadiliko Kuliko Chama Chochote Kwa Hapa Tanzania 1)kutokuheshim Maamuzi Ya Wajumbe . 2)Chama Kinaendeshwa Na Wakubwa Mwanachama Wa Kawaida Hana Chake Kabisa ..labda Kupewa Baiskeli,Bodaboda Na Fedha...
  14. JamiiForums Tanzania CCM: tulioshindwa maoni na tusioteuliwa kugombea ubunge, wawakilishi na udiwani

  15. C

    JamiiForums Tanzania Je? Ni kweli Kuto shiriki uchaguzi kwa CHADEMA kumechangia kuiongezea jeuri CCM ya kuweka wagombea wa hovyo hovyo na wasio chaguo la wananchi?

    Nimewaza tu mwenyewe kuwa hiyo imechangia pakubwa sana
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi Muongo sana, Eti Waloongoza wapewe Kipaumbele! CCM wanamtandao wameamua Kujichagulia Bunge lao

    Nyinyi tuunganisheni Nguvu wote na Kanisa, Tuwafurumushe Hawa wahuni Fikiria wewe ni mwanaCCM, umepiga kura, Mgombea wako kashinda Kwa Kura nyingi Alafu Wanamtandao kutoka Halmashauri Kuu ,Wanampiga chini wanawaletea Chaguo namba tatu. Kwa haraka haraka, huyu Anakua hakubaliki . FUNZO ...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi huu ukipita bila marekebisho yoyote tujihesabie Ccm itashika madaraka kwa uhakika bila upinzani wa aina yoyote mpaka 2050

    Ccm nikimaanisha na vyama vyake vya kuzugia vilivyomo kwenye project yake. Uchaguzi huu ukipita bila mabadiliko ya aina yoyote yale basi ni uhakika bila shaka lolote lile, ni mpaka 2050 njia ni nyeupe kabisa, Na tutegemee sana kuona familia na watu wa karibu wa zile inner cicle wakipewa...
  18. JamiiForums Tanzania Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

    Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe?? Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
  19. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ahmed Shabiby aaminiwa tena na CCM kupeperusha bendera jimbo la Gairo

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030. Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu, CCM inateua Katibu Mkuu na Mwenezi Taifa wapya. Seriously?

    Kamati Kuu imewateua makada wake Asha Rose Migiro - Katibu Mkuu Kenan Kihongosi - Mwenezi Taifa Uteuzi huo unafanyika mwezi mmoja kabla ya Uchaguzi Mkuu. Sasa naanza kuamini kwamba suala la Uchqguzi Mkuu siyo gumu kwa CCM. Mifumo imeshakamilisha ushindi wa kishindo kwa CCM Polepole amekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…