ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa nini CCM wasibadili miongozo yao ili iendane na matakwa yao ya Sasa?

    CCM ya zamani ilikuwa inafuata yale waliyoandika ili yawaongoze katika utumishi wao ndani ya Chama na Serikali. CCM ya zamani ilikuwa inaongozwa na Imani za Mwanachama. Hakuna mwanachama ambaye hakujua Imani ya Chama chake. Watu waliziimba, wakazielewa, wakazitumikia. CCM ya zamani ilikuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Rukwa

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Rukwa katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kutoka mitaa ya siasa- Soma kwa makini: Memorundum of Undestanding "MoU" kati ya CCM na CHAUMMA

    "....TULIKOTOKA NI KARIBU SANA KULIKO TUNAKOKWENDA......" Kwanini??? Samahani ndugu yangu: Umenichekesha sana karibu nipasuke mbavu. Kwanini unauliza majibu? Hivi hujui kuwa katika "MoU" ya CCM na CHAUMMA ilikuwa na kipengele cha CCM kuwaachia majimbo CHAUBWABWA? Viongozi wa cha CHAUBWABWA...
  4. JamiiForums Tanzania “CCM haiwezi, CCM imeshindwa, CCM lazima iondoke”. Sawa, lakini mbadala wenu ni nini?

    CCM imesimama zaidi ya nusu karne, na bado Tanzania ipo stable, peaceful, na imara kuliko jirani zetu wengi. Kila mwekezaji na kila mtalii anajua huwezi kulinganisha Dar es Salaam na Juba, Kinshasa au Mogadishu. Hii amani na utulivu sio mzaha. CCM ndiyo imetengeneza stability ya taifa hili...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Khamis Mgeja ashauri hukumu ya Malisa aliyofungua kupinga Rais Samia kugombea iwe fundisho kwa CCM

    SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine. Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
  6. JamiiForums Tanzania Udini Dhidi ya Maaskofu ni Hoja Potoshi za Mafisadi wa CCM Kukwepa kuambiwa ukweli

    GT Hawa viongozi wetu maaskofu hawajawahi kupoa hasa linapokuja swala la uadilifu na kutenda haki, huwa hawacheki na yeyote. Hivi sasa kumeibuka hoja kwamba eti ni wadini this is BIG NO kiufupi hawa jamaa siyo wanafiki. Mafisadi wanakuja na propaganda hii kukwepa kusikia Ukweli. Kama ingekuwa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania TLS, Mwabukusi: "Mweleweni Polepole kwenye hoja yake ya mifumo ya CCM, INEC na NIDA kuhusiana na wizi wa chaguzi kiufundi."

    Palikuwa na uzi humu: Soma: Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi? Uzi huo ulikuwa na maelezo ya kina katika lugha rahisi kuhusiana na alichosema Polepole na kuibiwa uchaguzi alikokuangazia. Ikumbukwe anayeweza...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Walioteuliwa na CCM kugombea ubunge majimbo ya mkoa wa Katavi

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Katavi katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa ndiyo wanaowania ubunge kupitia CCM mkoa wa Songwe

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla akisoma majina ya wagombea walioteuliwa kuwania Ubunge katika majimbo ya Mkoa wa Songwe katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba.
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha na heshima yao yote wananunuliwa kwa nyama na baada ya kula hawana chao tena

    Siasa za Tanzania zimeharibika sana, Jamaa mmoja kutoka Burkinafaso jina lake Captain Thomas Sankara mwaka 1979 aliwahi kusema ''who feeds you controls you'' sasa leo naanza kuelewa alikuwa anamaanisha nini. Ona wanaojiita wadudu wa Arusha, wanaojiona ndio wajanja wenye akili timamu...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Watu wa Arusha: Samia usichanganye siasa na mila hatutaki mazoea na wewe

    Wazee wa Arusha kabla hawajapitishiwa bahasha walikuwa siliasi kuikataa CCM na uongozi wa Samia lakini sasa hivi sijui nini kimewapata, ule ujanja akilini hawana tena. Wananchi wa kitanzania siku wakija kuacha kushibishwa kwa siku moja ili wauzwe maisha yao na vizazi vyao ndipo wataanza kuwa na...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan. Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi
  13. JamiiForums Tanzania Gwajima alishindwa Kawe wakakatwa 3 akateuliwa yeye, CCM ikapata kura

    Nimejiridhisha kuwa Gwajima hana kumbukumbu au anatumika vibaya. Siamini kama Gwajima hajui namna yeye alivyoteuliwa na vikao vya CCM kuwa mgombea ubunge wa Kawe. kama amesahau kuwa kwenye uchaguzi wa 2020 yeye alikuwa mtu wa 4 kwenye kura za wajumbe jimboni, kisha wakakatwa wagombea 3...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Arusha kuchinja ng'ombe zaidi ya 100

    Zoezi la uchukuaji wa Fomu wa nafasi ya Ubunge jimbo la Arusha Mjini kwa Mgombea wa Nafasi hiyo Mhe. Paul Makonda litaambatana na burudani kutoka katika vikundi mbali mbali vya Muziki lakini pia Ng'ombe zaidi ya 100 kwa ajili ya nyama choma kama anavyobainisha Katibu Mwenezi wa CCm Wilaya ya...
  15. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania haiwezi kuvushwa na CCM ,HAIWEZEKANI ni lazima itafutwe namna ya kuikomboa hii nchi kwa mara nyingine

    Ndivyo ilivyo na msio ukweli , CCM haiwezi tena kuikomboa hii nchi na kuipeleka kwenye maendeleo ya kweli yanayo lingana na rasilimali zilizopo na sasa ndio kabisaa imesha jiingiza kwenye tope zito kabisa
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hii jitegemee holding inayochimba makaa ya mawe huko Ruvuma inayomilikiwa na ccm inalipa kodi kweli?

    Wakuu Naona watu tunajadili ya Rostam tu,kuna hii kampuni inaitwa jitegemee holdings inamilikiwa na ccm,shughuli zake ni kuchimba madini ya makaa ya mawe huko mkoani Ruvuma. Je hii kampuni ilipataje vibali vya kuchimba makaa ya mawe huko Ruvuma na je wanalipa kodi stahiki kwa serikali?
  17. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu mdau hebu Taja bila hofu mambo ambayo ni ya uongo yakisemwa na viongozi wa vyama vya siasa nje ya CCM

    Ni kwamba vyama vya siasa vyaendeshwa na binadamu kama CCM Hivyo kama CCM ni waoongo. kwa ubinadamu wao basi na wenzao ni binadamu huwa wakati mwingine husema urongo. Sasa sema hayo mambo ya uongo ambayo ukiamini kwamba ni ya kweli wakati huo
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA hawataki CCM ishike madaraka, wakati huo huo hawaitaki ACT iwepo kokote duniani na pia hawaitaki CHAUMMA popote Tanzania Wanapigana na wowote!

    Hao ndio chadema ni kama nyoka Fulani anaitwa koboko yeye Huwa anarusha sumu hata majani yakitikisika tu ! Wakati mwingine hawataki hata nyoka wenzake anaona wote ni adui zake !! Chadema anaweza kukuona binadamu pale unapokuwa upande wake lakini saa yoyote ukiwa upande mwingine wa chama...
  19. W

    JamiiForums Tanzania CCM kutoka kuwa Chama Cha Wakulima na Wafanyakazi hadi Chama Cha matajiri

    Nasikitika kusema kwamba CCM kwa mara nyingine imepoteza Mwelekeo. Kwa sasa CCM inawaheshimu zaidi Matajiri kuliko walengwa wa Chama ambao ndio walikuwa shabaha kubwa ya waasisi kuanziaha Chama. Kinachotoea sasa na Kinachoendelea ni udhalilishaji Hawa walengwa yaani Wakulima na Wafanyakazi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Godbless Lema, anaiunga mkono CCM uchaguzi mkuu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…