ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM wameanza kusuluhisha matatizo ya ndoa

    Hatimaye chama kikongwe, sikivu na kinachotatua matatizo ya wananchi kwa wakati, wameanza kutoa huduma ya kutatua matatizo ya ndoa. Kama mke wako anakunyima unyumba, mchumba wako anakunyanyasa, hujaolewa au umeachika, usikate tamaa....CCM watakusaidia tatizo lako ndani ya muda mfupi...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza: We told the UN Representatives, that CCM and its government, under Samia, are behind the 29th of October 2025 Massacre

    We categorically told the UN Secretary General 's Envoy, Parfait Onanga-Anyanga, that CCM and its government, under Samia, are behind the 29th of October 2025 Massacre. They used the Police and other armed outfits to kill unarmed protesters demanding free and fair elections. That was not an...
  3. JamiiForums Tanzania Vibaraka wanaisambaratisha nchi lakini CCM wapo bize na CHADEMA

    Wakati vibaraka wa mabeberu wanasaini mikataba ya hovyo hovyo inayowatia hasara watanzania na Tanzania, chama kinachoongoza nchi Kiko bize kuishambulia CHADEMA. Wakati mabilioni ya fedha za umma yanaibwa ama na watumishi wa umma au watu binafsi, CCM iko bize kupambana na BAWACHA. Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania CCM na Serikali yake sikivu inapendwa mno na watanzania wote

    Kuthibitisha hilo, fuatilia ziara za waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba na utagundua mapenzi ya dhati ya mamilioni ya waTanazania kwa chama, serikali na viongozi wake. Watu wanajaa mno na hawajali jua wala mvua. Ni mapenzi na imani ya kiwango cha juu sana kwa chama na serikali sikivu ya CCM. Lakini...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA ondoeni timu uwanjani tu, ndoto ya demokrasia Tanzania haifikiki bila CCM kugawanyika kutokea ndani

    Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia. Ukweli ni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CCM Geita imechanganyikiwa? Madiwani walimkataa Manunga kuwa mwenyekiti wa Halmashauri . Leo hii mnafukuza uanachama huku mlilazimisha awe mqenyekiti?

    Alishindwa na Diwani Kapembe. Mkalazimiha awe Mwenyekiti. leo Mmefukuza uanachama
  7. JamiiForums Tanzania BAWACHA wangeachwa wafanye kongamano lao wasingetrend kama sasa. CCM akili hamna

    GT Sijui mentor wa maCCM ni nani? Mnazidiwa akili na chadema yenye rasilimali watu wachache Chadema walijua kabisa mkiwazua kufanya Tamasha lao ndo watapata airtime zaidi huko duniani na mtego huo mmeshindwa kunasua. Kama mgepiga kimya wakajifanyia Tamasha lao hakuna mtu angekaa kufuatilia...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

    Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026 Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
  9. JamiiForums Tanzania Vita ya mashariki ya kati, imewapa ahueni CCM

    Kwa sasa waliokufa mo29 hawana mtetezi tena, kwasasa watu wamehama kabisa, wengiwao kwasasa wanawatetea watoto wa shule wa iran na kiongozi wao alieuliwa. Kila muandishi wa habari kawa mchambuzi wa vita, na raia wote kwa sasa wamebebwa na upepo. Nawashauri ccm hii nafasi ya kupumua walioipata...
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!

    CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!. Yaani kuzuia Chadema kufanya mikutano yao haina maana hao watu na wanachama wao kesho watashangilia au kuhamia CCM. Huwezi kufanikiwa kwa lolote kwa kumzuia mwenzako badala yake fanya mazuri yako. Sasa sera ya CCM ni kuzuia...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Lissu akihoji bungeni kuhusu wanajeshi kuteuliwa na kuwania nafasi za Uongozi kupitia CCM

    Maneno ya Tundu Lissu bungeni Jun 19, 2015 wanajeshi wanapewa vyeo serikali na Jaji Augustino Ramadhani kuandaliwa kuwa Rais wa awamu ya tano. Pia Soma Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa
  12. JamiiForums Tanzania Mafwele awanoa polisi Kata Dar es salaam. Majibu yamepatikana

    Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini. Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili. Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje. Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele. Keshokutwa...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano Kivule wapatikana na kesi ya uchomaji wa Ofisi za CCM uchaguzi wa Oktoba 29

    Wakili Maduhu William ameeleza kuwa kuna mashauri mawili yanayowahusu watuhumiwa watano, ambapo katika shauri la uchomaji wa ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kivule, watuhumiwa wamepatikana na kesi ya kujibu. Aidha, katika shauri jingine la wizi kwa kuvunja na kuiba, kesi imeshindwa kuendelea...
  14. JamiiForums Tanzania CCM ina la kujifunza kwa anguko la Ayatollah Khamenei

    Usiku wa kuamkia Machi 1, ndipo zilisikika habari za kifo cha Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Hossein Khamenei, kufuatia mashambulio ya majeshi ya Marekani na Israel yaliyoanza Februari 28, 2026. Mashambulio hayo hayo yalishatarajiwa kwa sababu Rais wa Marakeni, Donald Trump alishatangaza...
  15. JamiiForums Tanzania CCM wanaposhangaa dhiki na matatizo ya watanzania

    Huwa nacheka Sana CCM wanapokuwa wanashangaa matatizo ya watanzania kama vile ni watu wasioishi ndani ya Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Idu: Dk Nchimbi amewathibitishia watanzania kuwa CCM inanyanyasa upinzani kwa kutumia mabavu.

    Kuanzia ngazi zote CCM huwa wanatumi mabavu kuleta ghasia na kunyanyasa wapinzani kwa kutumia jeshi la Polisi na mahakama. Angalia zile vurugu alizofanyiwa Heche alipokuwa Igunga. Kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA ambao hawana hata makosa Green guard wa CCM kuwa wanabeba siraha wakati...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la Ayatollah litachochea Maanguko zaidi ya Madikteta hasa Afrika, CCM jiandaeni.

    Baada ya Kifo cha Ayatollah na kukamatwa kwa Maduro. Uhai wa Serikali za kidikteta dunia utakuwa mfupi sana hasa Afrika Kwa nini naona hali hii? China ambaye anaonekana ni mbadala wa Marekani hakufanya wala kutoa msaada kwa Maduro wala Ayatollah wakati wako kwenye wakati mgumu na hata Silaha...
  18. JamiiForums Tanzania CCM yafurahi Iran kushambuliwa.

    Chama tawala chafurahi Iran kushambuliwa kwasababu watanzania watahamisha mawazo yao kwemye hiyo vita na kuifatilia na kuacha na kusahau yote yaliyopita hasa october 29.
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM Mjifunze kinachoipata Iran

    Israel na Marekani zimeanza vita na Iran kwa kushambulia viongozi wakuu wa Serikali ya Iran, Swali ni wapi huwa wanapata taarifa? Jirani yoyote akitaka kuipiga Tanzania chini ya CCM, atashinda vita kirahisi sana Breaking, Gholam-Hossein Mohseni-Ejei, Head of the Judiciary in Iran, was...
  20. JamiiForums Tanzania Watanganyika wana akili sana. Wamemkataa Jesca Magufuli baada ya kutumiwa na mafisadi wa CCM kama chambo

    CCM mtandao ni wajinga na hawana akili za kuweza kuwadanganya Watanganyika. Walidhani Jesca Magufuli atakuwa bait ili wakubalike kwa Watanganyika. Yuko wapi Humphrey Polepole?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…