ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Zamani jina la Mgombea kiti cha Uspika lilikuwa mjadala kusubiri Moshi mweupe, Leo hii hata CCM hawataki kujadili kama agenda wamemwachia Mwenyekiti

    Nakumbuka enzi za Pius Msekwa, Sita na hata Makinda kidogo kulikuwa na mjadala mkali na mpambano wa fikra kuhusu qualities za mtu wa kushika Nafasi hii nyeti. Ila Kwa miaka ya hivi Karibuni kiti Cha spika kimekuwa kama mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Kijiji na siyo vijiji vyote. Spika...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Huenda ya KANU nchini Kenya yakaikumba CCM

    Kule Kenya kulikuwa na chama imara na kilicho tikisa taifa kilichoitwa Kanu. Hakuna asie juwa vile Kanu chini ya Kenyata na Mzee Moi kilivyo watoa kamasi wakenya. Kilikuwa na power full makachero na kilikuwa na majasusi hatari like never before sidhani hata cc wamefikia hizo level. Chini ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mbivu na mbichi za Wagombea Uspika wa CCM kujulikana leo Januari 19, 2022

    Mchakato huo unaendelea pia kwenye Chama cha ADC ambacho ni kati ya vyama vya upinzani chenye mgombea, Maimuna Kassim, aliyejitokeza kuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kilichoachwa wazi. Wateule ndani ya CCM watajulikana baada ya Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya chama hicho kupitisha majina...
  4. JamiiForums Tanzania CCM tunatamani sana kumtetea kada mwenzetu Ole Sabaya ila hasafishiki kwa kweli

    CCM tuna utaratibu wetu wa kumuombea mtu msamaha kisha mkosaji anaenda mbele ya kadamnasi na kutamka maneno machache tu, NI SAMEHE MIMI NIMEKOSA NISAMEHE MIMI NIMEKOSA. Maneno haya huja baada ya kupitia tanuri la moto na viapo vingi sana mbele ya viongozi wakuu wa CCM. Tena utazungushwa sana...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yajayo ya Ma-RC namuona Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam kama RC mpya

    Suala la soko la Karume kuungua moto ikiwa ni muda mfupi tu baada ya soko la kariakoo kuungua moto linaweza kuja na taswira mpya ya baadhi ya watendaji kuwajibishwa. Moja ya watendaji ambao naona wakiwajibishwa ni RC wa DSM ikiwa ni njia ya kuponya majeraha ya maumivu kwa machinga. Naona pia...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Seal za vizibo vya chupa za maji zinachafua mazingira. Je, karanga na pipi hazichafui?

    Ukubwa wa seal za vizibo vya chupa za maji hauna tofauti na ukubwa wa vifungashio vya karanga na pipi. Seal za vizibo vya chupa za maji zilikuwa ni uhakika kwa mtumiaji kuwa maji hayajachakachuliwa Unapozuia maji kuwekewa seal una maana gani? Maji fake yaingie mitaani?
  7. JamiiForums Tanzania CCM msituletee tena viongozi kama Awamu ya Tano

    Aina ya uongozi kama ule wa Awamu ya Tano ulikuwa balaa kwa mustakabali wa umoja wa nchi yetu. Sina haja ya kurudia madhambi mabaya ya Awamu ya Tano maana kila mtu yalimgusa. Kiini cha hayo matatizo ni kinyang'anyiro cha urais wa 2015 ambapo walijitokeza wagombea zaidi ya 40. Naona hili...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini magazeti ya Serikali na CCM hayaripoti kesi ya Mbowe?

    Tokea kesi hii Maarufu ya Mbowe na Wenzake ianze July 2021 katika mahakama ya Kisutu hadi sasa iko Mahakama kuu kitengo cha uhujumu uchumi na ugaidi, magazeti ya Habari Leo na Daily News ambayo ni ya serikali au Uhuru na Mzalendo ya CCM yamekuwa hayaripoti mwenendo au matukio ya kesi hiyo. Hii...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Kama Simba iilivyoangukia pua mbele ya Mbeya City leo, ndivyo ambavyo siku ya siku, chama dola kitaanguka kutoka madarakani hata wakibebwa na dola

    Leo tumeona jinsi Refa alivyojitahidi kuwabeba Simba lakini haikusaidia. Kama ilivyotokea kwa Simba, ndivyo itakuja kutokea kwa chama dola siku ikifika ambapo hata wakibebwa, mwisho wa siku waatanguka tu na kuachia madaraka. Siku hiyo ikifika, itakuwa hivi: Nguvu ya umma itakuwa kama wachezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Hoja ya ufisadi wa CCM kutunyanyua wapinzani, kama ilivyofanyika enzi zile list of shame ya mafisadi na sasa tuikiomalie na huu wasaa wa kuig'oa CCM

    List of shame ilivyowekwa wazi pale mwembe Yanga na watanzania kutambua kuwa taifa lao linaibiwa, wapinzani tulipata nguvu. Tukapata heshima ya kuwa wakombozi wa taifa hili dhidi ya mafisadi wanaolitafuna taifa letu. Sasa rais wa JMT ambaye ni mwenyekiti wa taifa wa CCM amebariki ufisadi wazi...
  11. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo. Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
  12. W

    JamiiForums Tanzania UVCCM na wenyeviti CCM wamlipue Rais kwa style ileile ya Ndugai

    Ndugai alihoji mikopo mkamlipua. Je, hamuoni ipo haja ya kumlipua Mama? Je, ipi ni dhambi kubwa kati ya kukosoa mikopo na kushauri viongozi wa serikali kula kidogo? Naomba kuwasilisha!
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA tumegeuzwa mazoba wa kisiasa. Tumegeuzwa washabiki wa matukio ya WanaCCM. Sasa hivi tunashabikia uchaguzi wa spika wa CCM

    Kila sekeseke la WanaCCM sisi ni mashibiki. Alivyofukuzwa uspika Ndugai tukageuka kuwa mashabiki. Sasa tena sekeseke la uchaguzi wa Spika tumegeuka kuwa washabiki. Duh kweli huu ni uzoba wa kisiasa.
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Polepole asirudi chama chake cha asili (CHADEMA) na Bashiru (CUF)? Naona kama CCM kimewakataa kiufundi

    Polepole ni mwana CHADEMA mzuri na hajawahi kurudisha kadi yake, Bashiru ni mwana CUF kindakindaki. Wenye CCM ni kama hawawataki, kwanini wasiondoke? Sasa Chenge aliyekatwa na Bashiru na Polepole ndio anakuwa spika. Vifaranga wa bata (Polepole na Bashiru), hawawezi kukaa na vifaranga wa kuku
  15. S

    JamiiForums Tanzania Hatutaki longolongo za CCM na Rais Samia

    Tume huru ya uchaguzi ndio itamuinua huyu Rais aliyepatikana kwa Mujibu wa katiba iliyopo, na kama kweli waTanzania wamemkubali basi muamuzi ni Tume huru ya uchaguzi isio na doa, lakini haya yanayoendelea ni geresha kwenye mazingahombwe ya CCM. 2025 noma sana, uhakika wa Rais Samia mzanzibari...
  16. JamiiForums Tanzania Sio Lazima Mzazi wangu awe Kada, Mimi kuwa mwana CCM kindakindaki

    Kama kijana nimekuwa nikipata maswali mengi sana toka kwa vijana wenzangu pale ninapojaribu kuonesha husia zangu au pale ninapotoa hoja zangu zinazoonesha kuiunga mkono iwe hapa ama mahali kwingine kokote. Maswali hayo yamekuwa wakati mwingine yakiuliza chanzo changu cha hamasa ya Chama...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

    Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar. Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo...
  18. JamiiForums Tanzania Wabunge wa JMT msipompa 'Uspika' Dkt. Tulia Ackson hakika 'nitawadharau' mpaka dunia itakapopinduka

    GENTAMYCINE sijawahi Kukosea ama nikimpenda au nikimchukia Mtu (na hata rekodi zinanibeba) hivyo hata kama Watu wanachukua Fomu za Kugombea Uspika ila kwa Vigezo vyangu vingi na Sababu zangu nyingi namuona Naibu Spika Dk. Tulia Ackson anafaa na ndiyo Chaguo sahihi hasa kwa Bunge la sasa na...
  19. JamiiForums Tanzania Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

    Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote. Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo. Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na...
  20. JamiiForums Tanzania Neno fupi kwa viongozi wanaotokana na CCM

    Kubalini upatiakanaji wa katiba mpya utakao harakisha maendeleo ya Taifa letu kwa ujumla. Katiba ni kama business plan. Nchi yetu inahitaji "Busness plan" itakayo endana na zama hizi za uwazi na teknolojia kubwa. Tukishndwa kuwa na maono mazuri na Taifa letu miaka mingi ijayo tutabaki nyuma ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…