ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Watanganyika wana akili sana. Wamemkataa Jesca Magufuli baada ya kutumiwa na mafisadi wa CCM kama chambo

    CCM mtandao ni wajinga na hawana akili za kuweza kuwadanganya Watanganyika. Walidhani Jesca Magufuli atakuwa bait ili wakubalike kwa Watanganyika. Yuko wapi Humphrey Polepole?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kama Kauli zina Umba Kosa ni Mara Ngapi WA CCM wanafanya Hivyo lakini hatuoni Mashtaka

    Kume kuwa na kauli mbali mbali zanazotolewa na wana siasa hususan wa chichiemu ambazo zina chochea uvunjifu wa Amani na ni kinyume cha sheria, lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi. Yao, lakini ikiwa kauli inayo karibia na hiyo na haipo kinyume cha sheria, lakini nguvu za dola, magazeti...
  3. JamiiForums Tanzania Brenda Rupia: CHADEMA hatuitambui Tume. Haiwezekani Mwenyekiti wa CCM awe kiongozi alafu aliowachagua watoe msimamo tofauti na alioutarajia

    Wakuu, Akiwa anazungumza leo na wanahabari Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia amesema kuwa CHADEMA hawaitambui tume ya kuchunguza yaliyotokea Oktoba 29 kwani imejaa CCM na hata aliowachagua hao walioko kwenye tume ni Mwenyekiti wa CCM
  4. JamiiForums Tanzania Evance Kamenge: CCM ikiacha misingi ya kuanzishwa kwake itatoka madarakani

    Evance Kamenge, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “CCM ikitoka kwenye misingi ya kuanzishwa kwake itatoka Madarakani, naoingana na aliyesema CCM itakaa madarakani Milele huo ni uongo”
  5. JamiiForums Tanzania Pascally Mayalla wa jf, na ccm mtaka teuzi alifilisiwa na Hayati Magufuli kisa kumuuliza swali chokonozi, je Samia atamfanyaje baada kumwambia Lisu...

    Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo ulikuwa mwisho wake wa KUPIGA fedha za serikali kupitia vyombo vyake na kile kipindi chake cha...
  6. JamiiForums Tanzania Tabia yako mbaya kwa mumeo ndio italeta mwanamke mwingine.. wanawake wa nje huondoa udhaifu wa wanawake wa ndani

    SHALOM WANA WA MUNGU ALIE HAI TABIA MBAYA KWA MUMEO NDIO INALETA MWANAMKE MWINGINE KWENYE NYUMBA YAKO MPENDWA ULIEOLEWA MUMEO AKITOKA NJE SHETANI ATAITUMIA KUPATA MWANAMKE AMBAE HANA HIO TABIA UNAYOMFANYIA MUMEO NDANI eg Mwanamke anaemtukana mumewe shetani anamfanya kumkutanisha na mwanamke...
  7. JamiiForums Tanzania Paschal mayala ni Chawa aliepandikizwa na CCM kwa kigezo cha uhuru wa vyombo vya habari

    Huyu jamaa hana tofauti na akina mwijaku na wengine. Wana JF huyu jamaa amepandikizwa na kulipwa ili kumsifia Samia huku JF Tukae nae mbali hana uzalendo na taifa hili ni mnafki
  8. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Vitisho vinavyotolewa na kundi linalojiita 'Tanzania Freedom Fighters (TFF) visichukuliwe poa. Hofu inatanda, mimi nina ushuhuda!

    Hali ya usalama imeanza kuzua wasiwasi kwa baadhi ya wananchi kufuatia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kundi linalojiita TFF (Tanzania Freedom Fighters). Taarifa hizo zinadai kuwepo kwa vitisho vinavyolenga baadhi ya viongozi wa CCM hususan wa ngazi za chini katika jamii pamoja na polisi...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mwanyekiti CCM Tanga, Rajab Abdurrahman: Wakati wa uchaguzi, CCM haina masihara katika kutafuta dola

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajab Abdulrahman Mwanyejiti, amesema kuwa katika kipindi cha uchaguzi, CCM huwa haina masihara katika kutafuta dola. Amesema kuwa wanahamasishwa na kazi inayoendelea kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye anaongoza Serikali ya CCM...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea ni kubaya, vikundi vya uasi vinakiri kuhusika na mauaji ya mwenyekiti wa CCM na polisi, hii sio tamaduni yetu watanzania, this must stop

    Kama unatumia mitandao nadhani umewaona TFF (Tanganyika freedom fighters) wanakiri kuhusika na kumkata kata mapanga mwenyekiti wa CCM kijiji cha mkoani Mbeya na kumshambulia polisi hadi kifo. Sikuwahi kufikiria hata siku moja tutafikia huku na cha kushangaza nimesoma baadhi ya comments...
  11. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), amweleza Waziri Mkuu Anahofia Kutekwa-Kuuwawa. Amtaja Mkuu wa Wilaya

    Mwenyekiti wa Kitongoji (CCM), Amweleza Waziri Mkuu Anahofia Kutekwa-Kuuwawa. Adai ameanza kusakamwa baada ya kuzuia miti kukatwa kinyemela huko Machemba, Muheza. Mwenyekiti huyo ameeleza yote hayo Katika ziara ilifanyika leo Februari 16, 2026, na Waziri Mkuu- Mwigulu Nchemba huko Muheza Tanga.
  12. JamiiForums Tanzania CCM: Watanzania hawawezi kutambua mambo mabaya

    Zama zetu wakati tunajifunza matumizi ya Lugha ya kiingereza, kuna msemo wengi wetu tuliushika kirahisi na kwa haraka mno. Msemo huo ni "vice versa is true" Matumizi ya huu msemo yalishika kasi na yalifanyika kwenye kila maelezo bila ya kujua kwa kina mantiki ya msemo wenyewe. Leo hii...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Gwajima atoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29 na kupona baada ya oparesheni nne

    Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, leo katika Ibada kanisani kwake ametoa ushuhuda wa binti aliyepigwa risasi Oktoba 29, 2025 na kupona baada ya oparesheni nne. Askofu Gwajima pamoja na muumini huyo pia wanaeleza alipigwa risasi lakini hakuwa kwenye maandamano bali alikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Buruhani amjibu Nape: Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amejibu kauli ya Nape Nnauye kuhusu chama hicho kuondoka madarakani akisema "Ndani ya CCM anaweza kuondoka yeye, lakini Chama hakitaondoka madarakani hata baada ya Samia" Soma > Nape: Vyombo vya Dola visipojali UTU...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Faris Buruhani: Hata iweje CCM haiwezi kutoka madarakani hadi mwisho wa dunia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema chama hicho kitaendelea kubaki madarakani na hakitotoka kamwe. Akizungumza Februari 14, 2026 wakati akihojiwa na Chief Odemba kupitia kipindi cha Medani Kuu, Buruhani amesema, “Hata iweje CCM haitatoka...
  16. JamiiForums Tanzania Quick question

    Wikend kama hii umeamua kuitoa out familia yako. Let's say umewapeleka mlimani city hivi. Katika mizunguko mle ndani, watoto zako wa kike wanaomba uwapitishe washroom. Mkifika, wanaingia ndani. Kidogo unaliona shoga mbavu linaelekea toilet walipo wanao
  17. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ushauri wangu kwa Rais Samia na CCM kuhusu ushindi wao wa kidemokrasia katika Uchanguzi Mkuu 2025

    Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa haki. Hata siku moja msikate shauri kwamba mtu aliechaguliwa kidemokrasia na wengi ndio mwenye haki...
  18. JamiiForums Tanzania Ndizi 200, ndizi mia mbili…

    Hapo ukipita lazima ugeuke hata kama umevaa suti 😄 🤣 Imagine umevaa suti yako, unageuza shingo sababu ya ndizi za mia 2.
  19. JamiiForums Tanzania Sina chuki na CHADEMA wala CCM, niliyoandika yalikuwa madhaifu ya kila Chama, vyama vya Siasa vinachochea maendeleo, yaliyotokea Oktoba 29 yasijirudie

    Hakuna Chama Takatifu cha Siasa duniani, kila Chama kima madhaifu yake, kinachotakiwa kufanyika ni kusahihishana, kusamehana na kusonga mbele Niliyoandika katika nyuzi zangu zilizopita yalikuwa ni madhaifu ya kila Chama na sii udalali wa siasa au uchawa kwa lugha ya mtaani Binafasi sina chuki...
  20. JamiiForums Tanzania Huu Hapa Utapeli wa Serikali ya CCM

    Hakuna jambo linauma kama kufukuzwa kazi katika kipindi ambacho hujajiandaa. Tumaini linalobaki ni kwenye savings na pension. Lakini baadae wakati wa kufuatilia pension unajikuta katika maumivu zaidi ya ile ya kufukuzwa kazi. Najiuliza Sheria iliyounda NSSF ilipitiswa na nani na kwa bunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…