ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Prof. Adolf Mkenda pekee anaweza kukivusha CCM 2025

    Prof. Adolf Mkenda Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais. Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo usiyoyumba. Lakini kubwa zaidi Mkenda hana makundi ndani na nje ya CCM. Anajisimamia . Mkenda hana...
  2. JamiiForums Tanzania CCM achaneni na wahuni wapita njia wapeni nafasi wafia chama mmnawakatisha tamaa sana

    CCM ni chama kikubwa na kikongwe hakiwezi kuwa chama cha kitegemea wahamiaji waganga njaa toka upinzani ili kukisemea. Hao no waganga njaa wamekuja kula walivyoyelea jasho wanaccm kindakindaki. Mnawaumiza sana mnapowapuuza na kuwapa majukwaa na vyeo wale waliokuwa wakiwatukana majuzi tu hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Makalla: Wapo wanasiasa walikuja wakasema maneno ya uchochezi kwamba Serikali ya CCM inanyanyasa wavuvi

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema chanzo cha Ziwa Tanganyika kufungwa kwa muda ni kuongeza mazalia ya samaki na si kuwanyanyasa wananchi kama baadhi ya wanasiasa wanavyodai. Makala amesema hayo jana Jumapili Agosti 4, 2024 katika ziara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe Ahudhuria Ibada ya Mazishi ya Mama yake Halima Mdee

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe leo 05/08/2024 Amehudhuria ibada ya kuaga mwili wa Mama Theresia, ambaye ni Mama Mzazi wa Halima Mdee, aliyewahi kuwa mbunge wa Chadema kabla ya kuvuliwa uanachama kwa makosa ya Aibu ya Usaliti. Kwa sasa Halima Mdee hana chama ila ni Mbunge wa viti maalum...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Ahadi ya Rais samia, Kigoma kuwa lango kuu inatekelezwa kwa vitendo

    AHADI YA RAIS SAMIA KIGOMA KUWA LANGO KUU INATEKELEZWA KWA VITENDO: NCHIMBI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema ahadi ya kuufungua Mkoa wa Kigoma kuwa lango kuu la biashara inaendelea kutekelezwa kwa vitendo. Balozi Nchimbi amesema ahadi hiyo...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Je, Yanga ni CCM na SIMBA ni CHADEMA? Ninashawishika kuamini hivyo kwa rangi za bendera zao

    Nimetafakari na kuona mwelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.
  7. JamiiForums Tanzania TFF mmeruhusu siasa za CCM kwa Mkapa, leo msiwaonee CHADEMA

    Uwanja wa Mkapa kwa muda mrefu Sana umekuwa ni kama jukwaa la CCM la kufanyia siasa zake wakati wa mechi za Mpira wa miguu. Imekuwa ni kawaida Kwa Wana CCM kuingia uwanjani hapo na mabango ya chama Chao au hata wakati mwingine wakiwa wamevaa sare za chama Chao. Hayo yote yakiendelea huku TFF...
  8. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanasiasa aliyejibrand akiwa upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM, hiki kitamtesa sana Mchungaji Msigwa

    Mwanasiasa yoyote aliyejenga jina lake Kisiasa akiwa Chama cha upinzani hawezi kung'aa akihamia CCM. Mifano ni mingi akina Julius Mtatiro, Nassari, Lijualikali. Ndio Sababu unawaona akina Dr Slaa, Zitto Kabwe,James Mbatia, Lwakatare nk wameamua kubakia Upinzani japo kwa namna moja au nyingine...
  9. JamiiForums Tanzania CCM sasa tuache kumdhalilisha Msigwa. Inatosha. Ameomba msamaha

    Hakuwahi fanyiwa vitendo hiki huko chadema. Huku kwetu kiumri amezeeka kimatendo amerudi utotoni. Aibu sana.
  10. JamiiForums Tanzania Moja ya Taaluma ambayo inaendelea kuwaweka CCM Madarakani Ualimu Wangekua kama Madaktari na wanasheria CCM ingekua out zaman sana

    Sipo hapa kudhibitisha hili..hili lipo wazi na lishadhibitika mara nyingi sana. TLS ashawahi shinda Lissu Jana kashinda Mwambukusi hawa wote waliwabwaga Machawa wa Ccm. The same Madaktari washawahi itikisa hii Nchi hadi wakaanza wafanyia ukatili NB:Yule Daktar Ulimboka. Hii Nchi taaluma moja...
  11. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa uwe unasema na yale ulotendewa na CCM

    Namshauri huyo anayejiita Mchungaji Msigwa kuwa wakati anaitangaza vibaya CHADEMA iliyomlea na kumkuza kisiasa awe anasema na yale aliyofanyowa na serikali ya CCM wakati akiwa CHADEMA ikiwa ni pamoja na kuwekwa ndani mara kwa mara na kubambikiwa kesi. Anaendesha siasa taka hivyo kuonekana no...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara baada ya Mzee Kinana kujiuzulu?

    Mimi nabashiri Msigwa:p:p:p:p PIA SOMA - Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti (CCM) Ajiuzulu, Rais Samia Suluhu Aridhia
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushindi wa Boniphace Mwabukusi unatupa matumaini huenda 2025 CCM ikaondoka kwa kishindo

    Tukipoteza woga wetu wanapoteza nguvu zao, Ushindi wa wakili Mwabukusi umeshangiliwa na watu wengi, hii ni ishara kuwa Wanaoisapot CCM ni wale wanaonufaika nayo tu ambao kimsingi ni wachache. Hivyo tukiungana mwaka 2025 , watanzania wote tukaiadhibu CCM kwenye boksi la kura, hawataamini...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi aonya makundi yanayoanza kuibuka ndani ya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameagiza viongozi, Wanachama na Jumuiya zote ndani CCM kuvunja makundi yaliyoanza kuripotiwa ndani ya chama hicho. Amewataka kuacha mara moja tabia hiyo kabla ya chama hakijachukua hatua stahiki kwani vitendo hivyo...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Matokeo uchaguzi TLS: Ni kivuli cha mchuano mkali kati ya CHADEMA vijana wa GEN Z vs CCM ya wazee wa Establishment

    UPDATES: Kama ilivyotarajiwa na wengi, Adv. Boniface Mwabukusi akiwakilisha young lawyers maarufu kama GEN Z - CHADEMA ameshinda kwa kishindo kikuu na kuwa Rais wa TLS kwa miaka mitatu 2024 - 2026 kwa kuwapiga kipigo cha mbwa mwizi wazee wa mfumo corrupt yaani CCM ESTABLISHMENT Juhudi kubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kitakachowakera watanzania hadi waichukie kweli kweli CCM?

    Kwa ubaya wanaofanyiwa watanzania na CCM lakini wametulia tuliii... Inashangaza Sana. Hadi nawaza ni kitu gani kibaya ambacho CCM hawajawafanyia wabongo kitakachowakera awa watanzania wenzangu hadi waichukie CCM KIKWELI KWELI? Ni nini!???
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba Mbunge wa Bumbuli (CCM), Bumbuli wanasema hivi

    Kwako mbunge wa Bumbuli January Makamba, 1. Uliwaahidi kuwatengenezea uwanja pale Toghotwe! Ukaishia kuuchimba uwanja ule bila kuumalizia hilo haliwezi kukuacha salama. Ni bora ungeuacha ulivyokuwa uwanja ule ingekusaidi. Wanawake Bumbuli uliwadanganya. Wao walikaa kimya wakijua ungetenda...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM inawajibika vizuri sana kwa wananchi

    Hakuna mbadala wake Tanzania, kimipango, kiuongozi au kimaono... Hazina ya wanachama na viongozi wake makini, mahiri na madhubuti ni kiashiria muhimu sana sana cha dhamira njema ya CCM katika kuwatumikia wananchi.. Kuwajibika kwa wananchi kwa dhati katika kuleta maendeleo kwa waTanzania...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafikiri CCM wamefanikiwa. Swali Ni upinzani umefeli wapi?

    Sasa hivi CCM inazungumzwa kila mahali kwenye mitandao, mashambani, maofisini na hata kwenye mikutano ya wapinzani wenyewe wanaizungumza CCM. KATIKA hili wacha tukipongeze kitengo cha propaganda. Sio kwamba mtaani hakuna njaa, Ila Kuna namna hakuna jinsi Tena. Sasa sijui kimetokea Nini...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa yanayoendelea maana yake "CCM" imegawanyika vipande vipande na wana hali mbaya kushinda hata CHADEMA waliokuwa wanadaiwa wamevurugana kisa Msigwa

    Kwa Mbungi linaloendelea ndani ya CCM sijui kama hakutakua na kumalizana Juu kwa Juu inaonekana huku ambako ni makazi mapya ya Bwana Msigwa kunawaka moto kuliko Kule alikotoka bwana msigwa. Hali ya kugawanyika ni kubwa mno na kwa kuangalia Upepo wao hawa jamaa wa kijani wanaweza hata kuanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…