ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya siasa vinavyojipiga kifua mitandaoni huwa vinaumbuka sana wakienda kuonana na wananchi ana kwa ana

    Huwa vina kutana na hali ya kushangaza sana, ngumu na tofauti kabisa na majivuno, majigambo na ujasiri wa mitandaoni.. Field huwa vinakuwa vidogo zaidi ya piritoni, dhaifu sana, vimenyong'onyea mno, havina watu wala hamasa hata kidogo. Wao hushangaa wananchi na wananchi huwashangaa wao...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Iwapo Msigwa angemshinda Sugu yote haya angesema na kukimbilia CCM. Anyamaze kulinda heshima yake

    Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM itakuja kugawanyika na kuzalisha chama kingine cha upinzani na hapo ndo itakua mwanzo wa upinzani imara

    90% ya watanzania wote ni ccm. ukichekiki mwenendo wa ccm watu wengi wanataka vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa kwa kura. CCM kuna watu wengi sana ambao wanakosa teuzi ila wanavumilia tu.kwa machungu makada wote wa ccm wazee kwa vijana shabaha yao ni teuzi ili watafune keki ya nchi tatizo...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiwa na Akili timamu hutomshangaa Msigwa kuhamia CCM ila ukiwa Juha hakika utamshangaa mno

    Wiki tatu zilizopita hapa hapa JamiiForums niliandika na kutahadhirisha kuwa CHADEMA hakuko salama mkadhihaki. Sijui ni kwanini mnashindwa Kukubali kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu hakuwapa Utajiri wa Mali na Pesa bali kawapa ule wa Akili Kubwa, Maono na Maarifa mengi ya Kiuchambuzi...
  5. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM balozi Nchimbi

    BARUA YA WANABIHARAMULO KWA BALOZI NCHIMBI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA UTANGULIZI Mh balozi tumesikia kuwa unakuja kufanya ziara hapa Biharamulo tunakukaribisha wilayani kwetu Biharamulo ,kuja kwako ni neema ya kutatua matatizo makubwa ya kiungozi/kiutawala ya chama chetu hapa wilayani...
  6. JamiiForums Tanzania Ujuzi wa chama cha mapinduzi {CCM} kwenye ukingo wa siasa

    Ni jambo la kawaida sana wanasiasa haswa wa hapa kwetu Tanzania kuhama chama A kwenda B na kadhalika. Lakini jambo la kujiuliza ni nyakati na namna muhusika anavyoenda kwenye chama husika. Yapo maswali ya kujiuliza kuhusu aina ya wanasiasa hawa na namna watanzania tunavyopumbazwa na watu...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikisema humu CDM ni CCM blakini hamsiki!!

    CDM ni makinikia ya CCM hivyo mtu ahami cdm kwenda ccm au ccm lwenda cdm bali anabadirisha ofisi tu. Hakuna upinzani TZ.
  8. JamiiForums Tanzania Rev Msigwa, Karibu CCM ila Usisahau hilli Ni Baada ya Dau Kifikiwa

    CCM inazidi KUVUNA. Hali tete Chadema. Ukitafakari sana unaweza kudhani mpinzani halisi ni Luhaga Mpina kumbe Peter Msigwa ndiye CCM kindakindaki. Najua hujaelewa. Iko hivi; ndani ya CCM wanaamini Luhanga Mpina amekuwa mpinzani dhidi ya serikali ya CCM ambayo kimsingi ndiye iliyompa kibali cha...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Udikteta wa Mbowe watajwa chama kutoimarika

    Nafasi ya Mwenyekiti kwamba inaitwa Mwenyekiti wa maisha hata makamu anachagua yeye yale mnayoyaona ni kiini macho kuwa kuna DEMOKRASIA. Na kwamba ni kijana wa CCM, yale makelele mkiona anaanza ujue asali inakuwa haijamfikia, akishalamba analala usingizi wa pono. Pia soma: Aliyekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Mpina analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CCM lakini hajahama wakati Msigwa analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CHADEMA na akahama!

    Je, kuendelea kuamini itikadi za kisiasa bado ni relevant kwa karne hii ya siasa za kisasa zaidi? Hapana. Nini kifanyike? Achana na itikadi za kisiasa. Baki kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Kila siku msaidie Rais wako. Rais ni nchi. Rais ni wananchi. Ukimsaidia Rais umesaidia nchi. Umewasaidia...
  11. JamiiForums Tanzania Lissu, Heche, Wenje, Garubindi, Bulaya, Mdee etl KARIBUNI CCM TUTAWAPOKEA - KAZI ZIPO NYINGI

    Watanzania, SALAAM! Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu wanayoitumia wakiwa CDM ni kubwa sana ukilinganisha na rewards wanayopata. Hawa wanafaa kuja kusaidia...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Msigwa kafuata ulaji CCM, ni lazima apewe cheo

    Msigwa sio wa kwanza kuondoka CHADEMA kuhamia CCM. Wapo waliotangulia kabla yake, kwa hiyo tunasema amefuata nyayo za wenzake akina Waitara, Silinde na wengine wengi. Kwa upande wa CHADEMA hili ni pigo kwa namna yoyote ambavyo watalichukulia, lakini kwa CCM ni mtaji. Na mitaji kama hii huwa CCM...
  14. JamiiForums Tanzania Lissu akiunda chama chake nitakuwa wakwanza kujiunga kwenye chama chake. Hii itakuwa CCM Z kama Gen Z

    Kwema Wakuu! Lisu anasubiri nini? Kwa huanzishi chama watu tujiunge. Bila shaka itakuwa CCM Z kama Gen Z kwa maana kwa jinsi niwaonavyo watanzania karibia wote DNA zao ni CCM ila tunataka tuwafanyie Blood Transfusion ya mabadiliko yenye tija. Kwa kweli sijui kama Blood Transfusion itaweza...
  15. JamiiForums Tanzania Ujio wa Mchungaji Msigwa CCM umekosa mashamshamu

    Heshima sana wanajamvi. Mchg Msigwa kahamia CCM baada ya kushindwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kanda na Mh Sugu. Mchg Msigwa kaenda CCM baada ya kushindwa na kukubali kushindwa,lakini siku mbili baada ya kutoa pongezi kubwa kwa Mh Sugu alianza kubwabwaja na kutoa shutuma dhidi ya uongozi pasipo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tubashiri: Msigwa atapata uteuzi gani CCM, for sure kuna nafasi ameahidiwa kumbuka alishasema Magufuli alimuahidi Uwaziri

    Moderators naomba msifute uzi huu. Ngoja tutabiri (tu bet)Msigwa atapata nafasi gani ya uteuzi CCM Mimi nasema atapewa nafasi ya kuwaumiza chadema kama Mkuu wa wilaya/ Mkuu wa mkoa aweze kuwasweka ndani maana atakuwa ni mwenyekiti wa ulinzi wa wilaya/Mkoa.
  17. JamiiForums Tanzania Chama chenye siasa safi Africa ni ccm

    Habari wana Jamvi. Nathubutu kusema Chama chenye siasa safi Africa ni Ccm. Vyama vingi vilivyopigania Uhuru vimekufa ni Ccm pekee imebakia. Hii ni kwasababu ya Sera zake Bora na Imara Umahili wa viongozi wake ndio sababu ya Ccm kudumu muda mrefu bila kuyumba. Ccm Imara ndio chanzo cha Amani Yetu
  18. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe, Mwanasiasa aliyerushiwa mishale mingi na "makamanda" akapambana ndani ya upinzani huku wale waliokuwa wakijifanya makamanda wakienda CCM

    Wahenga walisema. Umdhaniaye siye kumbe ndiye, na umdhaniaye ndiye kumbe siye Hawa wafuatao watu walikuwa wakiwaona wapinzani kwelikweli huku Zitto akitukanwa kuwa ni CCM 1. Petrobas Katambi 2. Lijualikali 3. Silinde 3. Peneza 4. Mashinji 5. Peter Msigwa Wengine wakasaliti chama waziwazi...
  19. P

    JamiiForums Tanzania MKIAMBIWA SIASA NI BIASHARA MUWE MNAELEWA: MSIGWA HUYOOO CCM

    Siasa ni biashara nzuri sana. Binafsi naipenda. Msigwa baada ya kuona ugumu wa kufanya biashara CHADEMA ameamua kutimkia CCM. Nadhani wananchi maskini na wanyonge mna la kujifunza hapo.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kuja kwa Msigwa CCM tayari teuzi inamuhusu

    msigwa atakua mkuu wa mkoa,au mkuu,wa wilaya au cheo chochote chenye mshahara wa 5m+ amechanga karata vizuri alikua na option mbili abaki chadema akose pesa au aende ccm apate pesa. sadly ni kwamba kuna wanaccm kindakindaki yani wafia chama ambao nafas/iteuzi yao imechukuliwa tayari na mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…