ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya Upinzani visije vikailaumu CCM kwa Chaguzi zinazokuja za mwaka 2024 na 2025

    Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo. Vyama vya upinzani siwaoni huku Mitaani kwetu wakijipanga kwa chaguzi hizi. Vyama vya upinzani msije...
  2. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Kweli walevi wa madaraka wamejaa sana CCM

    Ebu msikikizeni tena huyu mwanaccm anavyomwaga sifa za CCM kwenye chaguzi. Najiuliza hivi ule utaratibu wa kuwapeleka viongozi kwenye chuo cha uongozi watarajiwa haupo tena? Ipo wapi nguvu ya vetting kwa viongozi?
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ndaisaba achangiwa fedha za Kuchukua fomu ya Ubunge na Wanawake 400 wa Kabanga, Ngara, Kagera

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro achangiwa fedha za kuchukua fomu ya ubunge na wanawake zaidi ya 400 wa kabanga. Ngara; 02.09.2024 Wanawake zaidi ya 400 wa Mji mdogo wa Kabanga waliandaa Hafla ya kumpongeza Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. NDAISABA G RUHORO kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuiwakilisha...
  4. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM acheni kujiaibisha, yaani kabisa mmeamua kumshambulia Chief Odemba wakati Watanzania wanajua uozo wenu!

    Wakuu salam, CCM katika mbinu zote za kujisafisha na fedheha ya kukimbia mdahalo pamoja, maovu yenu kufichuka moja baada ya jingine kutoka kwa viongozi ambao ni wanachama wenu na kuhusishwa na ukatili wa polisi unaendelea nchini mkaona kabisa mbinu ya kumchafua Odemba ndio itawasafisha na...
  5. Mzito Kabwela

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ACT Wazalendo kuiingiza tena mkenge CHADEMA katika chaguzi 2024 na 2025?

    Nimepata taarifa za ndani kabisa kuwa Chama cha ACT Wazalendo ambacho mmoja wa waasisi wake ni kibaraka namba moja wa Chama cha Mapinduzi, wanampango wa kuwashawishi CHADEMA Wasigombee kwenye chaguzi zijazo kutokana na matamko ya viongozi wa CCM kuhusu chaguzi zilizopita. Hivi karibuni...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Richard Ligoha: Zamani nikiwa mjinga nilikuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA, sasa nimehamia CCM

    "Zamani nikiwa mjinga nilishawahi kuwa Mwenyekiti wa Vijana CHADEMA wilaya ya Iringa, lakini zamani hiyo hiyo, nikiwa mjinga zaidi nilishawahi kuwa Katibu wa CHADEMA jimbo la Isimani, nilikua mgombea wa Udiwani kata ya Mboliboli mwaka 2020 kupitia CHADEMA, Safari yangu kuikataa CHADEMA ilianza...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Ali Bananga: UVCCM tutalinda Chama, Wanachama na mali za CCM kwa gharama za damu zetu

    Katibu wa Siasa na Uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga amesema chama hicho kupitia jumuiya yake ya vijana (UVCCM) wamejipanga kujibu mapigo dhidi ya mtu yeyote wakiwemo makada wa vyama vya upinzani watakaotumia vibaya uhuru wa kufanya siasa kumtukana Rais wa...
  8. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Giza limetanda kwa wapinzani wa nchi hii, ni ngumu kushika dola

    Friends and Our Enemies, Kuongoza nchi siyo jambo la kufanya majaribu eti ili tuweze kuona yupi ni bora kuliko mwingine. Ni suala la maisha na kifo,huwezi kujaribu sumu kwa kuionja. Ni hadi pale wapinzani wa nchi hii watapofikia hatua ya kutuonyesha wazi wazi kwa vitendo kuwa ni mbadala...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM imefungamanishwa na DOLA ndio sababu haikusajiliwa 1992, Waziri aliyesema haiwezekani kuitoa CCM madarakani yuko sahihi!

    Ni mjinga tu anayeamini CCM inaweza kuondolewa madarakani katika Mazingira ya Katiba ya sasa Waziri aliyesema Ni lazima CCM ishinde yuko sahihi kwa 100% CCM ni Chama Dola ndio sababu kiiko Mahali kote Serikalini, Jeshini, Kanisani, Msikitini, Mpirani, Sokoni nk...nk Ni vema tukaukubali ukweli...
  10. Determinantor

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askari wa Jeshi la Polisi athibitisha jinsi wanavyosaidia kuiba kura ili CCM ibaki madarakani, ni aibu!

    Haya yanayotokea sasa hivi ni Kwa bahati mbaya, mazoea au ni planned? Polisi mwenye cheo kikubwa kama huyu anawezaje kutamka maneno mazito kama haya? Huku akifanya demonstration? Pia soma: ~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi...
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM iombe radhi kwa madhila uchaguzi Mkuu 2020

    Kutokana na yanayoendelea kwenye jamii, ingefaa Chama kitoke hadharani na kuomba msamaha kwa uchafu uliotendeka uchaguzi 2020. 1. Kukataliwa fomu za wagombea wa baadhi ya vyama (huku wagombea wa CCM kupita bila kupingwa). 2. Kuzima internet kwa siku kadhaa. 3. Kunyang'anywa vifaa kazi...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya kauli ya Nape na Ng'umbi CCM waone aibu kujisifu kushinda kwa kishindo

    Wanaccm wamekuwa wakijisifu sana eti ni chama kinakubalika na kinashinda uchaguzi kwa kishindo kwa sababu ya sera nzuri na kukubalika kwa wananchi kumbe ni waongo. Kwa kauli alizotoa nape hivi karibuni na za huyu mheshimiwa wa sasa natamani ccm wajionee aibu maana ni kama wamevuliwa nguo...
  14. W

    JamiiForums Tanzania CCM yawavua Uongozi Wanachama wawili kutokana na kukiuka maadili ya uongozi

    Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 1, 2024 Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla ametangaza uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwafuta uongozi wanachama wawili wa chama hicho. Kamati kuu ya CCM imewaondoa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Lindi...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada kasema ukweli kwamba ushindi wa CCM sio wa mungu kupenda, wapinzani wamehamaki!

    Nimeona Wapinzani wamehamaki kwa kauli ya huyu kada aliyesema ushindi wa chama chake hautegemei mungu kupenda! Huu ni ukweli mtupu, wapinzani lazima wajue madaraka hayapatikani kwa miujiza au kudra. Huwa nawacheka sana wapinzani wanapomsubiria mungu kwa kauli mbalimbali za kujifafariji ooh...
  16. President of China

    JamiiForums Tanzania Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024. CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu...
  17. Bila bila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kura muibe kama alivyokiri DC Ng'umbi, je, huko maporini huwa mnafanya vitu gani au huwa mnawapoteza wagombea?

    Hivi huwa mnajisikiaje hata baada ya kubadilisha matokeo halali ya uchaguzi au kuengua Wagombea wa upinzani bado mnawateka Wagombea hao na kuwatelekeza maporini waliwe na wanyama kama alivyokiri Leo aliyekuwa DC wa Longido Marco Ng'umbi? Ila nyie hata shetani inabidi aje kuchukua mafunzo...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mhe. Marko Henry Ng'umbi, Mkuu wa Wilaya ya Longido. Pia soma: ~ Kuelekea 2025 - Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania Mpya: Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.
  20. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baada ya CCM kuchukua manispaa ya Moshi (umeya) na ubunge 2020 maeneo karibia yote ya wazi yamechukuliwa

    Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana ila sahivi siishi kulikua na maeneo ya wazi mengi sana ila nilienda mwaka jana December nilishangaa...
Back
Top Bottom