ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Hongera Rais kwa kukemea mauaji ya kada wa CHADEMA, Polisi ni vema itupe majibu kana kwamba kada huyo alikuwa ni wa CCM

    Friends and Enemies, Nimeifurahia kauli ya Mh RAIS ya KUTOA pole Kwa Msiba wa Ndug Ally KADA wa CHADEMA kilichotokea hivi karibuni. Inna Lillah waina illay Rajiun. Rais Samia amefanya jambo jema Kwa kutoa kauli hiyo Kwa wakati na kujiweka mbali na kando na vitendo hivyo vya udhalim na...
  2. JamiiForums Tanzania Tukiweza kutenganisha Serikali na Chama ndipo Nchi itakaa sawa na mambo ya hovyo ikiwemo mauaji yatakoma

    Tuliosoma vyuo vikuu tuliona. Vijana waliokuwa UVCCM ndo wengi wao walikuja kuajiriwa Serikalini na kuingizwa kwenye vyombo vya dola ikiwemo usalama wa Taifa. Mimi niliosoma nao waliokuwa mstari wa mbele huko UVCCM wengi saivi ndo Watendaji Wakuu katika taasisi mbalimbali za Serikali na wana...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi apinga kauli ya Mwenyekiti wa UVCCM Kagera aliyeahidi "kuwapoteza" wakosoaji wa serikali

    Ndio hivyo, kiongozi anatakiwa kupinga mambo ya kijinga hadharani. Tunasubiri la kijana wa Arusha. --- Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emmanuel Nchimbi amekemea kauli zinazoweza kutolewa na vijana wa chama hicho juu ya kuwapoteza watu wanaowapinga: “Huyu ni kijana wetu kasema...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali na Polisi mnahamasisha wananchi kujichukulia sheria mkononi, msipodhibiti watu wasiyojulikana gharama yake itakuwa kubwa mbeleni

    Wakuu salam, Tumeshuhudia na bado tunaendelea kuona matukio mbalimbali ambayo yanahusisha watu kutekwa huku wahanga wakubwa wakiwa ni wale ambao wanakosoa au kupinga mambo fulani kwenye mamlaka mbalimbali za serikali, wachache wanapatikana na wengine bado inaendelea kuwa kitendawili. Mbaya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa hili la Ali Kibao hakuna yoyote ndani ya CHADEMA aliye salama!

    Hamko salama nyie nyote, Viongozi chukueni tahadhali, chukueni tahadhali na kaeni mtafakari kama chama nini kifanyike? Nini kifanyike? Usalama wenu ukoje be it Mbowe, Mnyika Heche, Lissu, Lema to mention but a few! Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Anachofanya Mchungaji Msigwa ni kuibomoa CCM huku akiijenga CHADEMA. Kwanini anatumia akili ndogo badala ya kubwa kama alivyokuwa CHADEMA?

    Mtizamo wangu kisiasa na ushauri wangu kwa chama cha Mapinduzi nikumwomba Msigwa asiendelee kuhojiwa kwenye vyombo vya habari. Kadri anavyohojiwa ndivyo anawafanya wana CCM waonekane wana akili ndogo. Mkakati huu alionao kwa wachambuzi wanapaswa kujiuliza kwanini wanachama wa CCM wanampuuza...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Peter Msigwa afichua madudu ya CHADEMA: Chama kimekuwa kama SACCOS, Mbowe anakimbiwa na kila mtu

    Habari zenu wanabodi, Kwenye mahojiano na Chief Odembo kwenye kipindi cha Medani Za Siasa, Mch. Peter Msigwa amezidi kutupia mawe Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Msigwa kwenye mahojiano hayo alifananisha CHADEMA na SACCOS kutokana na namna ambavyo chama hicho kinaongozwa kama biashara...
  8. JamiiForums Tanzania Je, Msigwa ndani ya CCM ni assert ama ni liability?

    Inaelekea kukamilika miezi miwili ama zaidi tangu Mchungaji Peter Msigwa ahame CHADEMA na kutimkia CCM baada ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa. Huko CCM alipokelewa kwa vifijo na nderemo nyingi na wakuu wa chama chawala karibia wote Nyimbo za mlete Msigwa zilisikika wakati...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ali Kibao

    TAARIFA KWA UMMA Jana Septemba 6,2024 zilisambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwa jioni maeneo ya Tegeta Jijini Dar es Salaam, mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ally Mohamed Kibao, akiwa safarini na basi la Tashrif alichukuliwa na kushushwa toka kwenye basi hilo na watu ambao...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Fadhili Maganya: CCM hatuna mpango wa kutoka madarakani, ushindi kwetu ni lazima

    "Kuna kitu naona kinapita mtandaoni ninafikiri cha katibu wa wilaya fulani, watu wanapiga kelele sana oooh ushindi ni lazima, sijui hivi sijui vile, hiyo inajulikana mbona! Ushindi wa Chama Cha Mapinduzi ni lazima, na CCM haina mpango wa kutoka madarakani kesho, kesho kutwa na miaka huko mbele...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Amos Makala apokelewa Wilayani Karatu, afanya mazungumzo na Viongozi wa CCM na serikali kutoka Ngorongoro

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu wa itikadi,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Makala Amepokelewa kwa shangwe, nderemo na vifijo vingi sana na maelfu ya wananchi wa Karatu katika uwanja wa mazingira bora wilayani Karatu. Ambapo ni muendelezo wa ziara yake katika kupokea...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaojadili Urais wa 2030 ilihali 2025 Kuna Uchaguzi mkuu, wanatuonaje Watanzania?

    Salaam, Shalom!! Nchini petu Tanzania , mwaka kesho 2025 kutakuwapo na uchaguzi mkuu Kwa ngazi zote, Udiwani, ubunge na nafasi ya Urais. Limeibuka kundi dogo la watu linaloanza kujadili habari za 2030 kana kwamba 2025 tayari Kuna kiongozi special amekwishawekwa tayari Kwa nafasi ya Urais...
  13. JamiiForums Tanzania Je, dhana kujitoa atika jambo unalofaidika nalo ndiyo msingi wa Haki? Hoja ya CCM kusimamia Uchaguzi Ikiwa ni Mnufaika

    Kuna ile dhana ya kiuongozi ambapo mtu anajitoa au ana declare interest kwenye jambo linalomhusu ili kusiwe na upendeleo nitatoa mifano ifuatayo. 1. MAHAKAMA Majaji huwa wanajitoa kwenye kesi aidha zinazowahusu au ambazo wao ni washtakiwa. 2. NECTA Baraza la mitihani huwa haliruhusu mwalimu...
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Jinsi Rais Samia anavyoitekeleza sura ya tano ya ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 155

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Sura ya tano ya ilani ya chama cha mapinduzi 2020-2025 imeeleza, kwanza mafanikio iliyoyapata katika sekta ya ulinzi na usalama katika awamu ya utekelezaji iliyopita, kisha ikaeleza ni mambo gani itayafanya katika sekta hiyo ikiwa chama...
  15. JamiiForums Tanzania Amosi Makalla amepwaya Ukatibu Mwenezi wa CCM

    Amos Makalla, aliyeteuliwa kama Katibu Mwenezi wa CCM, anaonekana kukosa mvuto kwa baadhi ya watu kutokana na sababu kadhaa zinazoweza kujadiliwa: 1. Uzoefu na Historia ya Kisiasa: Ingawa Makalla ana uzoefu katika siasa, baadhi ya watu wanaweza kuona kuwa hana nguvu au rekodi ya kipekee ya...
  16. Y

    JamiiForums Tanzania Chawaism: from being a political mockery to a trajectory that prognosticates a landslide for President Samia in approaching general elections

    Greetings from this part of Tanzania !. Chawaism has been a political mockery used by opposition politicians against those who offer their support either to the rulling party CCM, or directly to the political approaches of her Excellency President Samia. Genuinely speaking, there is nothing...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Itaendelea kubaki madarakani

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuaminiwa na watanzania kutokana na historia yake, uwezo wake wa kupatanisha itikadi za kisiasa, uimara wa miundombinu yake ya chama, Uongozi, na udhaifu wa vyama vya upinzani. CCM imefanikiwa kujenga misingi imara ya utawala na imesimamia maslahi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Siasa za kuropoka chini ya kivuli cha CCM: Serikali kupata maswali magumu

    Kumekuwa na tabia ya ajabu sana miaka ya hivi karibuni, yaani mtu akiwa tu na nafasi na kupewa "microphone" anajiona kama sijui yupo chini ya mwamvuli gani, wanajisahau kuwa CCM inawajibika kwa wananchi na badala yake wanawaona wananchi kama watumishi wa CCM. Kila taasisi, chama, kikundi au...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto Kabwe ashauri vyama vya Upinzani kusimamisha Mgombea mmoja wa Urais katika uchaguzi ujao

    Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe, akizungumza na Crown Fm ametoa rai yake kuhusu Upinzani kuungana na kuwa na mgombea mmoja. Akizungumzia jambo hilo Zitto amesema: Ni wakati Vyama vya upinzani kuweka pembeni tofauti zao na kukaa pamoja kurekebisha makosa yaliyopita kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa mwendo huu wa CCM na serikali kujitaja maovu yao, Wapinzani jipangeni 2025

    Ndugu zangu, Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini haki yenu coz kwa kukaa kimya mnawapa vichwa hao wanaofanyia dhulma. Fanyeni mpango kuhakikisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…