ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es Salaam, ni wakati muafaka kuitokomeza CCM katika uchaguzi wa serikali ya mitaa kutokana na kero ya maji.

    Kutokana na hujuma inayofanywa na DAWASA katika suala zima la kupatikana kwa maji, ni vyema kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa ni vyema kuikataa CCM kusimamia utawala wa mitaa yetu.
  2. G

    JamiiForums Tanzania Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  3. JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli:- Watu wengi tupo CCM kwa maslahi yetu binafasi..!!!

    INTRODUCTION Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa. Baada ya salamu twende kwenye mada; BODY. Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata"" 1. Wapo ambao wamekosa ajira wakaona wakimbilie CCM 2. Wapo machawa na sababu zao wanazozijua wenyewe. Watu wengi wapo CCM wana...
  4. JamiiForums Tanzania CCM na Serikali Watanzania Wamewakosea Nini Hadi Kuamua Haya?.

    Ulimnofu. Asalaam alykhum. Bwana Yesu asifiwe. Kule DRC poleni kwa kuwakosa ndg waliofariki maji ziwa Kivu. Nisipoteze muda. Adani Group inaonekana ni kampuni imeundwa maalum si kutoa huduma ipasavyo nje ya nchi zawa kwao huko India. Nje ya India kampuni hilo halina tija na ufanisi kwenye...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia Siasa za Kenya zilivyofeli utakubali Ukweli' kuwa CCM ndio baba wa Siasa Afrika Mashariki!

    Huo ndio ukweli CCM ni baba wa Siasa za Africa Mashariki Ukiangalia sinema ya Ruto kumtoa Gachagua utagundua Siasa za Jirani zimefeli kwa haraka sana Makanga na Dereva wote Must Go 😂😂😂😂
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Ado Shaibu: ACT Wazalendo, CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani tuungane kuing'oa CCM madarakani

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu ametoa rai kwa CHADEMA na vyama vingine makini vya upinzani nchini kuungana kupigania mazingira ya kidemokrasia ikiwemo Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, mageuzi ya Jeshi la Polisi na uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zake, ambapo amesema kuwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Kuongoza wajumbe wa Secretarieti ziara nzito Mikoa ya Simiyu Na Shinyanga Tarehe 6-11 October

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi ataongoza Wajumbe wa Secretarieti kufanya ziara nzito sana ya ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya CCM,kusikiliza na kutatua papo kwa papo kero za wananchi pamoja na kuhamasisha watu kuiunga mkono CCM katika uchaguzi wa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  9. JamiiForums Tanzania Adam Kimbisa anaweza na anatosha kuwa Makamu Mwenyekiti CCM bara kumsaidia Mwenyekiti CCM taifa

    Kwa maoni yangu, muungwana anastahili umakamu mwenyekiti wa CCM Taifa kuirithi mikoba ya Kinana, alieng'atuka kwa hiyari yake hivi karibuni. Hata hivyo hilo sio muhimu sana, but Kimbisa anafanya kazi nzuri mno, katika kukiongoza chama cha mapinduzi mkoa wa Dodoma. Ndugu ADAM KIMBISA, Aliwahi...
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Tumeamua Kumpa Mitano Tena Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Huo ndio uamuzi kutoka katika mioyo ya mamilioni ya wafuasi, wakereketwa,mashabiki na wanachama wa CCM Nchini kwote.kuwa ni lazima tumpe Miaka mitano Mama yetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  11. JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) yakemea vitendo vya utekaji, ukatili na mauaji yanayoendelea nchini

    Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) imekemea vitendo vya utekaji, ukatiili na mauaji yanayofanywa na genge la watu wasiojulikana na kulaani tukio la kuchukuliwa na kuuawa kikatili kwa kada wa Chadema, Ally Kibao. CCT ni Taasisi inayowakilisha Umoja wa Madhehebu ya Kikristo ya Kiprotestanti pia...
  12. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mstaafu Kikwete unaona huu moto wa 2025?

    Rais Mstaafu Kikwete nakusalim kwa jina la jamuhuri ya Muungano. Ama kwa hakika nimekaa nikatafakari nakitafakuri nikasema niandike jambo kwenye JamiiForums labda watuwako wanaweza kukupa usome ukapata nawe tafakuri zaidi kuelekea 2025. Huwa mara nyingi naikumbuka basically moja ya speech zako...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Inaonekana kuongoza Tanzania ni kazi rahisi sana ila kupata hako kanafasi ndio tatizo ndio maana CCM wanakabia juu

    Yaani kuongoza Tanzania ni kazi nyepesi sana ingawa tunaaminishwa kuwa ni kazi ngumu, jambo kubwa ni upate madaraka kwa njia yoyote Tanzania wekeza sana kwenye Simba na Yanga, tengeneza machawa wa kutosha. Hayo hapo yanatosha kuwafanya Watanzania wakaongozwa kama kondoo sijajua kama ni kukata...
  14. JamiiForums Tanzania Plate namba CCM ziko wapi

    Hizi nambari za magari zinazoanzia na herufi "CCM" mbona hazionekani barabarani
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA mko wapi? CCM wanapita mashuleni na kuandikisha watoto wa shule za msingi na sekondari wote kama wanachama wao kwa mfumo wa kidigitali

    CHADEMA na ACT WAZALENDO mko wapi nyie? Msije mkasema hatukuwaambia... Watoto wangu wawili (kidato cha 1 & 2) wanaosoma shule moja ya kutwa hapa Shinyanga Manispaa wamefika nyumbani jana na kuniambia kuwa CCM walifika shuleni na pikipiki zao za kijani na kumtumia mwalimu mkuu wao awalazimishe...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

    Hivi ni kawaida kwamba miezi mitatu sasa imepita tangu ajiuzulu lakini hawajaweka mrithi wake shida Iko wapi?!?
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ally Hapi: Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta aue wananchi, pamoja na kusamehewa bado wanaeneza uchochezi, hawafai kuongoza nchi

    Wakuu, == Wakati anahutubia Wananchi wa Jimbo la Msalala, Katibu Mkuu wa Umoja wa wazazi jumuiya ya CCM Taifa Ally Hapi alieleza kuwa kuna kipindi Mbowe alitaka kulipua vituo vya mafuta lakini Rais Samia alimsamehe. Hapi alidokeza kuwa Mbowe alikuwa na nia ovu ya kuleta taharuki nchini kwa...
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ally Hapi: Vyama vingine ni watoto shughuli za watu wazima hawataziweza, uchaguzi serikali za mitaa Isaka Kahama chagueni CCM

    Wakuu, Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi? ====== "Tushikamane na serikali yetu na chama chetu CCM katika chaguzi zinazikuja za serikali za mitaa, tuwachague wagombea wanaotokana na CCM...
  19. JamiiForums Tanzania CCM mmejiandaeje soko la mafuta likitikiswa na vita za Israel?

    Tunajua mko bize kuwaza mnashindaje kwa kishindo cha furushi la mwizi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa. Ingawa tangu muanze "kushinda kwa kishindo" sisi watanzania hatuoni kishindo chochote cha kimaendeleo kwenye maisha yetu. Israel kaanzisha vita huko Mashariki ya kati, na kwa mtazamo tu...
  20. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM pekee imekamilisha maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, huku vyama vingine vikiandaa visingizio vya kushindwa

    Vyama vingine baada ya wanachama wao kugoma kushiriki maandamano haramu yaliyopigwa marufuku na kudhibitiwa na polisi, wame nyong'onyea, wamesinyaa na wamekua kama wamepigwa ganzi hivi, Lakini pia ni kama wamepoteza uelekeo kabisa. Na kwasababu hiyo eti sasa wanalumbana washiriki au wasishiriki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…