ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Vyeti vya Mafunzo ya Udereva kwa Viongozi wa CCM Zaidi ya 150

    MBUNGE RUHORO AKABIDHI VYETI VYA MAFUNZO YA UDEREVA KWA VIONGOZI WA CCM ZAIDI YA 150 Ngara; 2/12/2024 Kufuatia kukamirika kwa mafunzo ya Udereva yaliyo tolewa na Chuo cha Lake Zone Driving College kwa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi za Kata Wilayani Ngara Chini ya Uratibu wa CCM mkoa...
  2. JamiiForums Tanzania Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

    Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana. Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni? Tujadiliane.
  3. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM yahimiza waliochaguliwa kuwatumikia wananchi

    Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu. Akiongea na wananchi pamoja na wanachama wa chama cha Mapinduzi wakati wa mkutano uliofanyika jimbo la Lindi mjini, Katibu wa...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Ikungi: Lissu epuka aibu nyingine 2025, usigombee Ubunge Ikungi

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi mkoani Singida kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutogombea ubunge 2025 katika jimbo la Ikungi Mashariki ili kuepuka kupata aibu kama ilivyojitokeza katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024. Katibu wa...
  6. JamiiForums Tanzania CCM wilaya ya Same imebariki hii laana?

    Kama CCM,wilaya ya Same imebariki hii Lana,Kuna uwezekano hata utekaji mmeubariki.
  7. JamiiForums Tanzania Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

    Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania. CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea, watu wataona aibu kuvaa sare na kujitambulisha hadharani kama wanachama wa CCM

    Sisemi mengi, ila ukweli ndio huo na sababu kubwa ni matukio ya watu kutekwa na kuuwawa pamoja na vitendo vya wazi vya kupora uchaguzi na watu kuuwawa kwenye uchaguzi. CCM inajimaliza kwa kasi kuliko speed ya mwanga na hata vipofu wanaona. Kwa kifupi, CCM inaangamia kwa viongozi wake kukosa...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imekata kauli na pumzi, inasubiri maamuzi ya wananchi tu

    Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
  11. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo maadui wa CCM na 'taifa' la wachumia tumbo

    Kwa CCM: Kila mwenye uwezo wa kuongea ni tishio kwao. Kila anayejitambua ni tishio kwao. Kila anayekosoa ni adui kwao. Kila anayekataa uchawa ni tishio kwao. Kila anayeshuku ni adui kwao. Kila anayefikiri ni adui kwao. Kila aliye safi ni adui kwao. Kila aliye na akili timamu ni adui kwao...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

    Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe. The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
  13. JamiiForums Tanzania Pongezi CCM, kwa Ushindi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Pongezi Pia Upinzani kwa kidogo mlichokipata, muwe na shukrani ili 2025 mpatiwe kikubwa!

    Wanabodi, Makala yangu gazeti la Nipashe ya leo 01/12/2024. Paskali
  14. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa kuisusa CCM

    Haya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu. CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo". Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu...
  15. JamiiForums Tanzania CCM bwawa la Umeme Nyerere linazalisha Megawati ngapi mpaka Sasa.

    Pamoja na umeme kuwa na ugagaziko (Fluctuations) lakini bado wingi wa umeme na ujazo wake kwa watanzania una utata. Swali kwa CCM. Mpaka sasa bwawa la Mwalimu Nyerere linazalisha asilimia ngapi ya umeme uliokusudiwa kuzalishwa na bwawa hilo? Maana kata kata ya umeme imekuwa kama ni jambo la...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wakitekwa au kupotea viongozi wa CCM hawakemei au kulaani kwa wakati?

    Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea. Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
  17. JamiiForums Tanzania Je, CCM Imepotoka? Tunapokosea Njia Hatari!

    Ni swala la muda tu kabla ya hali ya sasa ya kutekwa na watu wasiojulikana kugeuka na kuanza kuathiri hata wale wa ndani ya CCM. Dalili hizi si nzuri kwa mustakabali wa chama na taifa. Kutoruhusu vyombo vya dola kuingilia siasa moja kwa moja ni msingi wa kulinda demokrasia na heshima ya chama...
  18. JamiiForums Tanzania Watendaji wa Halmashauri za Miji ndiyo huisaidia CCM kuchakachua chaguzi

    Kwa mtazamo wangu wavurugaji na wachakachuzi wakubwa wa chaguzi zetu hapa Tanzania, ni watendaji wa Vijiji, mitaa na Kata. Watendaji ndiyo mikono inayoyumiwa na CCM kuharibu chaguzi. Wakurugenzi wa Halmashauri za Miji wenyewe ni wapangaji na wanufaika wa uchakachuzi huo wa chaguzi zetu kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Ghafla CCM wanampenda Lissu. Yeye ataingia mtegoni?

    Tundu Lissu ni mwanasheria makini na mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu. Lakini natilia shaka kama yeye ni mwanasiasa mahiri na pia sijui kama yeye pia anajua nafasi yake aliyopo kisiasa. Wengi wetu tunajua kuwa tangu mwaka 2005 CHADEMA kwa mara ya kwanza kusimamisha mgombea uraisi, CCM...
  20. T

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kioga zaidi kwa ushindani wa kidemokrasia kinaongoza Kusini mwa Jangwa la Sahara na AfriKa kwa ujumla!!

    Kwa namna ccm inavyoendesha siasa zake binafsi ndani ya chama, yaani mnampa fomu mgombea mmoja. Ukiangalia kwa makini kilichojificha nyuma ya kituko hicho ni kuogopa changamoto za ushindani ndani ya chama ingawa changamoto hizo zingesaidia sana wananchi kupata chaguo bora la wakati ila wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…