Wasalaam.
Zaidi ya miaka 60 tangu Tanzania iwe chini ya mtawala CCM lakini kila uchaguzi mpaka leo ahadi za CCM ni kuleta maji, kujenga barabara na kujenga zahanati.
Ni wakati sasa watanzania mmshituke kuhusu hizi ahadi maana hazitekelezeki mpaka itafika miaka 100 bado hakutakua na hizo huduma...