ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mapya sakata la Lusako: Polisi wafunga reply kwenye account yao

    Kwenye taarifa ya polisi kuhusu tetesi za kutekwa kwa Alphonce LUSAKO ,Account ya Twitter ya polisi Imefungwa reply. Cha ajabu wale wote wenye vina saba vya CCM wameweza reply kwa kusifia tu.
  2. JamiiForums Tanzania Fungeni CCTV Camera kwenye maeneo yenu ili kujilinda na kulinda wengine

    Ukipanda basi ulizia Lina CCTV camera na inafanya kazi? Vituo vya kujazia mafuta tunaomba fungeni CCTV maana zitasaidia Sana mbele ya safari. Kama nyumba yako iko barabarani funga CCTV maana unaweza kuokoa maisha ya watu. Kwenye bar, mgahawa, hoteli, mtaa wenye maduka na shughuli nyingi...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Viongozi wengi waandamizi wa CHADEMA wakubali yaishe kwa amani, wengi wao wanatarajiwa kutimkia CCM kuliko vyama vingine vya siasa

    Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa? Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM...
  4. JamiiForums Tanzania Njombe: Watu 7 wakamatwa kwa kutishia kuwaua Mwenyekiti wa Mtaa, Katibu Kata wa CCM, Mtendaji Kata na Mtendaji wa Kijiji

    TAARIFA KWA UMMA. Jeshi la Polisi mkoa wa Njombe linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa linawashikilia watu saba kwa kosa la kutishia kuua kwa Maandishi huko katika kijiji cha Ngelenge Kata ya Luhuhu wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe watu hawa saba walitenda kosa hilo tarehe 3.12.2024 kwa kubandika...
  5. JamiiForums Tanzania Katibu Uenezi CCM Dodoma: Sio kila kifo kinahusiana na uhasama wa kisiasa. Kufa hakusimami katika kipindi cha Uchaguzi!

    Wakuu, Naona ile kauli ya kifo ni kifo inaendelea kufanyiwa kazi kazi ipasavyo na chama kimoja cha siasa hapa nchini. Hawa viongozi wa CCM huwa hawafanyiwagi vetting na kupewa semina on what cha kuzungumza na kwa wakati gani? ====== Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akabidhi Vyeti vya Mafunzo ya Udereva kwa Viongozi wa CCM Zaidi ya 150

    MBUNGE RUHORO AKABIDHI VYETI VYA MAFUNZO YA UDEREVA KWA VIONGOZI WA CCM ZAIDI YA 150 Ngara; 2/12/2024 Kufuatia kukamirika kwa mafunzo ya Udereva yaliyo tolewa na Chuo cha Lake Zone Driving College kwa Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Ngazi za Kata Wilayani Ngara Chini ya Uratibu wa CCM mkoa...
  7. JamiiForums Tanzania Hiki kikatuni kinaelezea ukweli kuhusu CCM na Polisi?

    Nimekiangalia hiki kikatuni, na kuunganisha alichokisema Jaji Warioba kwenye mkutano wake na wanahabari, kimenitafakarisha Sana. Wewe unaona kama kuna ukweli fulani kuhusu hil katuni? Tujadiliane.
  8. JamiiForums Tanzania Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

    Barua za vitisho zilizosambazwa na watu wasiojulikana zimesababisha taharuki kubwa katika ofisi mbalimbali za kata ya Ruhuhu, wilayani Ludewa, mkoani Njombe. Kwa mujibu wa kituo cha habari cha Kings FM, barua hizo ziliripotiwa kubandikwa usiku wa kuamkia Desemba 3, 2024, kwenye ofisi za...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 CCM yahimiza waliochaguliwa kuwatumikia wananchi

    Chama cha Mapinduzi mkoani Lindi kimewashukuru wananchi mkoani humo kwa kukipa ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27 mwaka huu. Akiongea na wananchi pamoja na wanachama wa chama cha Mapinduzi wakati wa mkutano uliofanyika jimbo la Lindi mjini, Katibu wa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Ikungi: Lissu epuka aibu nyingine 2025, usigombee Ubunge Ikungi

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ikungi mkoani Singida kimemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu kutogombea ubunge 2025 katika jimbo la Ikungi Mashariki ili kuepuka kupata aibu kama ilivyojitokeza katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024. Katibu wa...
  11. JamiiForums Tanzania CCM wilaya ya Same imebariki hii laana?

    Kama CCM,wilaya ya Same imebariki hii Lana,Kuna uwezekano hata utekaji mmeubariki.
  12. JamiiForums Tanzania Chimbuko la amani na utulivu Tanzania ni uimara wa CCM

    Uimara na umadhubuti wa CCM, chini ya mwenyekiti wa chama na mkuu wa nchi mwanamke ndiyo hasa msingi mkuu wa amani, umoja na mshikamano miongoni mwa waTanzania. CCM ndicho chama kilichobeba hatma, matumaini na mustakabali mwema, wa uhakika na salama wa umoja, amani na utulivu wa waTanzania...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea, watu wataona aibu kuvaa sare na kujitambulisha hadharani kama wanachama wa CCM

    Sisemi mengi, ila ukweli ndio huo na sababu kubwa ni matukio ya watu kutekwa na kuuwawa pamoja na vitendo vya wazi vya kupora uchaguzi na watu kuuwawa kwenye uchaguzi. CCM inajimaliza kwa kasi kuliko speed ya mwanga na hata vipofu wanaona. Kwa kifupi, CCM inaangamia kwa viongozi wake kukosa...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM imekata kauli na pumzi, inasubiri maamuzi ya wananchi tu

    Haiwezekani watanzania wooote wasijue kuwa CCM inafanya hila kwenye uchaguzi. CCM wanajua kuwa zama hizi sio zama za vya vyama vya ukombozi kutawala ila wasubiri ukakamavu wa watanzania na ukomavu wa vyama vingine vya siasa kuamua wafanye nini.
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dar: Abdul Nondo atekwa na Watu wasiojulikana katika mazingira ya utatanishi Kituo cha Mabasi cha Magufuli

    Mwanasiasa Abdull Nondo wa Chama Cha ACT Wazalendo amechukuliwa asubuhi ya Leo na wati waliomvamia akiwa kituo Cha basi Mbezi. Katika purukushani hiyo wahusika walidondosha pingu na sasa hatma yake haijulikani mpaka wakati huu ==== UPDATE JamiiForums imewasiliana na Naibu Katibu wa Habari na...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo maadui wa CCM na 'taifa' la wachumia tumbo

    Kwa CCM: Kila mwenye uwezo wa kuongea ni tishio kwao. Kila anayejitambua ni tishio kwao. Kila anayekosoa ni adui kwao. Kila anayekataa uchawa ni tishio kwao. Kila anayeshuku ni adui kwao. Kila anayefikiri ni adui kwao. Kila aliye safi ni adui kwao. Kila aliye na akili timamu ni adui kwao...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania mjifunze kukataa Ujinga. Hayati Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho. Kuhusu watekaji na wauaji, CCM na CHADEMA wahojiwe

    Sio lisemwalo liko sawa, kutomuelewa Magufuli inaakisi umasikini tulionao kwamba umeanzia kwenye vichwa vyetu Watanzania mjifunze kukataa Ujinga Magufuli hakuwa mbaya kiasi hicho na kuhusu watekaji, wauaji CCM na CHADEMA wahojiwe. The guy did everything for the country ndio ukweli huo.
  18. JamiiForums Tanzania Pongezi CCM, kwa Ushindi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Pongezi Pia Upinzani kwa kidogo mlichokipata, muwe na shukrani ili 2025 mpatiwe kikubwa!

    Wanabodi, Makala yangu gazeti la Nipashe ya leo 01/12/2024. Paskali
  19. JamiiForums Tanzania Ni muda sasa wa kuisusa CCM

    Haya matukio yaliyoanza kabla ya uchaguzi wa SM na baada ya uchaguzi yanadhibitisha kuwa sasa Chama kilichokuwa pendwa kimegeuka na kuwa Simba mla watu. CCM haipiganii kuua na kutekana kuishe bali inaona ni drama huku ikijisifu kuwa ni "ushindi wa kishindo". Kama tufanyavyo kwa Simba mlawatu...
  20. JamiiForums Tanzania CCM bwawa la Umeme Nyerere linazalisha Megawati ngapi mpaka Sasa.

    Pamoja na umeme kuwa na ugagaziko (Fluctuations) lakini bado wingi wa umeme na ujazo wake kwa watanzania una utata. Swali kwa CCM. Mpaka sasa bwawa la Mwalimu Nyerere linazalisha asilimia ngapi ya umeme uliokusudiwa kuzalishwa na bwawa hilo? Maana kata kata ya umeme imekuwa kama ni jambo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…