ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Miradi ya CCM iliyofanikiwa kuteka akili za wanaojiita great thinkers

    NCCR, TLP, CUF, CHADEMA, ACT n.k Siku wananchi wakijua umuhimu wa hii miradi kwa chama cha mapinduzi itakuwa mwanzo mzuri wa kujikomboa.
  2. JamiiForums Tanzania MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Leo CCM watalala usingizi mnono sana kwani wanayemmudu amechukua fomu ya kugombea.

    CCM hakuna mtu anawanyima usingizi kama Lissu. Hata siku ile Lissu anachukua fomu CCM walipata taabu sana. Wanamjua Lissu kuwa si mwepesi wa kukubali ujinga kwa lugha yoyote ile. Wakati ule maridhiano yakiendelea, Lissu aling'amua mapema kuwa kinachoendelea kwenye maridhiano ni danganya toto tu...
  4. JamiiForums Tanzania Mnaosema CCM wataendelea kushinda chaguzi kwa sababu ya Mbowe, ni lini uchaguzi huru umefanyika Tanzania

    Kuna dhana potofu inayojengwa kuwa kwa sababu Mbowe ameamua kushiriki uchaguzi kwa kugombea uenyekiti wa Taifa Chadema lazima atashinda na kwamba CCM watapata urahisi wa kushinda uchaguzi mkuu mwakani 2025! Eti Mbowe ni laini kwenye meza ya majadiliano! Kwamba Lissu angeachiwa ashinde uenyekiti...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu anaenda kumshinda Mbowe kwenye huu uchaguzi

    Sabato Njema Wakuu! Uamuzi wa Mbowe ni sahihi kwa HAKI yake ya kikatiba ila kwa heshima sio uamuzi sahihi. Kwani kushindwa kwake haitakuwa Jambo la kufurahisha na Jambo la heshima. Kustaafishwa kwa kuangukia pua haitakuwa historia nzuri kwa Mhe. Mbowe. Nina uhakika Lisu atamshinda Mbowe kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania hamna vyama vya upinzani , kijana usithubutu ! Ku-sacrifice maisha yako kisa siasa

    Nyote mmejionea kilichotokea leo kuwa siasa ni uongo . So usiandamane , usimwage damu na kutukana MTU kisa siasa.
  7. JamiiForums Tanzania Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

    Wanabodi, Leo nawaendeshea somo la kitu kinachoitwa assets and liabilities, kwenye siasa. Kwenye biashara assets ni mtaji na rasilimali na liabilities ni madeni, na hasara, biashara ikiwa nzuri, assets ni faida, biashara ikianguka, una dispose some of your assets into liabilities kuiokoa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania CCM Itavuna na kupokea Viongozi wengi Sana waandamizi na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika kwa uchaguzi wake Mapema Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Jiandaeni kisaikolojia,jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha na wengine machozi ya huzuni na Majuto hapo Mapema Mwakani. pale ambapo chama cha Mapinduzi kitakapo vuna na kupokea viongozi mbalimbali waandamizi pamoja na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika...
  9. JamiiForums Tanzania Uimara wa CCM utategemea upepo wa kisiasa ndani ya Chadema

    Huu ndiyo ukweli kuwa Chadema ikisambaratika CCM itakuwa imara kuliko wakati wo wote tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe. Ikitokea Mbowe akajitoa katika kinyang'anyiro cha kuwania tena kiti cha uenyekiti Taifa Chadema basi CCM itakuwa tumbo moto. Hii itawapa nguvu baadhi ya makada wa CCM...
  10. JamiiForums Tanzania Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Marium Mamuya: Ushindi wa serikali za mitaa CCM tumeutolea jasho

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa CCM na mlezi wa chama hicho mkoa wa Njombe, Marium Mamuya amesema ushindi mkubwa walioupata wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 haukuwa rahisi na unaashiria ugumu utakaopatikana kwenye Uchaguzi Mkuu hapo mwakani...
  11. JamiiForums Tanzania CCM hawakurupuki kwenye mambo yao na mtu akizingua anafinywa ndani huwezi kuta wanaparuana nje. Hapa ndio CHADEMA mnafeli

    Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh: Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani. CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au...
  12. JamiiForums Tanzania Why ccm is addicted with micro projects

    Ni kwanini ccm ina uraibu wa kufanya vimirad vidogo karne hii ya 21. Vijumba vya hivi vidogo ni vya miaka ya 60. Ukimtoa magufuli , ccm bado wanaishi mwaka 1960. Nawaza msinijie juu!!Nikiangalia dunia ilipo na miradi yetu haviendani
  13. JamiiForums Tanzania Peter Lijualikali huijengi CCM wilayani Nkasi unaiharibia. Ubabe hautasaidia CCM kupendwa

    ANAANDIKA MHE.ALFRED SOTOKA MWENYEKITI WA CHADEMA MKOA WA RUKWA. JESHI LA POLISI LATUMIWA NA DC LIJUALIKALI KUFANYA UNYAMA NA UKATILI WA KUTISHA. WATOTO WACHANGA WAACHWA MAJUMBANI, VIPIGO NA MATESO VYATAWALA WENGINE HAWAJULIKANI WALIPO HADI SASA. NTALAMILA Uchaguzi wa serikali za mitaa wa...
  14. JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa ccm mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa afariki dunia leo tarehe 20 dec 2024

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini awamu hii CCM inamhitaji zaidi Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema?

    Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa. Sisi awamu hii kama...
  16. JamiiForums Tanzania Kumbe hatuhitaji Katiba mpya kuwaondoa CCM madarakani, tatizo tunaongozwa na viongozi waroho

    Wakuu... Kumbe wala hatuhitaji Katiba Ili kuiondoa CCM madarakani kama tulivyokuwa tukiaminishwa,. Pamoja na Katiba mbovu tuliyo nayo sasa bado CCM wanaweza kung'oka madarakani , Tatizo letu ni Viongozi waroho wa Fedha na vyeo ndio wanaotuponza , wao ndio wanatukwamisha maana wamekubali...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Chadema kama ni sawa Mbowe kuendelea uenyekiti wanadamu wote tuna mapungufu, kwa nini si sawa CCM kuendelea kutawala maana vyama vyote vina mapungufu?

    Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema. Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Namna Mchugaji Msigwa anavyoiongelea CHADEMA unaweza kudhani CCM ni Mbinguni alafu CHADEMA ni duniani

    Hua namsikiliza sana Peter Msigwa na vichambo vyake dhidi ya CHADEMA sasa sijui tatizo ni ulimbukeni au ugeni au ushamba. Nijuavyo mimi vyama vyote vina matatizo. Ila ndugu Msigwa anataka kutuaminisha kwamba kwa yeye kugombana na CHADEMA basi CHADEMA haina jema hata Moja. Soma Pia: Mchungaji...
  19. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza! CCM inahitaji viongozi wa upinzani mfano wa kina Lipumba na kina Mbowe wengi, ili iendelee kutuchezea watanzania

    Ukichunguza sana, viongozi aina hii, wote huwa ni ndumila kuwili, mguu mmoja upinzani na mwingine chama tawala Ukifuatilia kwa umakini huu mtanange wa nani ni nani kati ya Mh. Mbowe na Mh. Lissu katika kinyang'anyilo cha Uwenyekiti wa Chadema Wanachama na wafuasi wa CCM, wanaombea kwa hali na...
  20. JamiiForums Tanzania Bagonza: Chadema ina mashabiki wengi kuliko wanachama. CCM ina wanachama wengi kuliko mashabiki.

    Askofu Dkt. Bagonza HONGERA CHADEMA, lakini.…… Mkutano wenu umeonyesha haya: - Chadema ina mashabiki wengi kuliko wanachama. CCM ina wanachama wengi kuliko mashabiki. - Kazi ya Chadema ni kubadili mashabiki kuwa wanachama, na ya CCM ni ya kuongeza mashabiki bila kupoteza wanachama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…