Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Nitafanya mambo matano muhimu.
1. Kuufanya Arusha kuwa Mji wa Taasisi za Kimataifa Afrika ambapo Taasisi zote za kimataifa zitapewa maeneo ya kujenga Ofisi zao na Makazi ya Wafanyakazi wao Arusha- Kupitia hili nina uhakika wa kuingiza fedha nyingi sana za kigeni pamoja na kutengeneza ajira za...
Sio kwamba navidharau hivi vyama vingine ila wasipojitathimini, wakaamua kujiunga na moja wapo wa hivyo vyama viwili vikubwa.
Tanzania kwa sasa, wataishia kuzunguka hapo hapo mambo yajayo kisiasa yanaonyesha hivi ndio vyama vitakavyokuwa vikipokezana utawala katika taifa hili la Tanzania...
Najua Chini ya uongozi dharimu wa CCM Raisi analindwa akiwa hai hadi kaburni. Sasa huu utaratibu wa kumsimanga hyati umeamzia wapi. Je, CCM inapata faída gani na haya yanayoandikwa au tuamini Kweli CCM huwa wanaua watu ikulu.
My Big concern ni kwa wanafamilia ya Magufuli maana Naona Mzee...
Mpaka Sasa sielewi ni kwanini CCM mpaka Sasa inaendelea kuiharamisha pombe aina ya gongo!!
Hivi CCM haiwezi kuifuta hii sheria kandamizi Ili watanzania maskini wapika pombe aina ya gongo waweze kujikwamua kiuchumi?
Hivi CCM wanaweza kutuambia uharamu wa pombe ya gongo unatokana na kitu gani...
Ukifuatilia kwa umakini na ukaribu zaidi, uelekeo wa siasa za Tanzania, utagundua kwamba,
Dr.Samia Suluhu Hassan, anakwenda kurekodi na kuandika historia mpya ya kuaminika zaidi kama Rais wa Tanzania, Lakini pia kukubalika zaidi kwa wanainchi kama mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, na...
CCM , CHADEMA,NCCR MAGEUZI na vyama vingine vyote vinaundwa na watanzania ingawa hawa watanzania wanakuwa na mitazamo tofauti kulingana na sera za vyama vyao .
Kipindi nakua nlikuwa naichukia sana CCM na kuwaona wale walio upinzani ndio wa maana sana ,nlikuja gundua yale ndio yalikuwa mawazo ya...
Mwenge wa uhuru tunaambiwa kwamba unaleta amani pasipo na amani, unaleta tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki.
Tanzania tumekuwa tukitumia mabilioni ya fedha za walipa Kodi kugharamia mbio za Mwenge nchi nzima.
Kwa kuwa Mozambique ni ndugu zetu wa damu, ni wakati sasa wa serikali ya...
Chama Cha mapinduzi CCM mkoa wa Njombe kimepiga marufuku wanachama wa chama hicho kujipitisha na kutoa zawadi,misaada au kitu chochote katika kipindi hiki bila kuridhiwa na vikao halali vya chama na kwamba hatua Kali za kinidhamu zitachukuliwa kwa atakayebainika.
Kupitia maazimio ya Kikao Cha...
Juzi tu hapa ccm walikuwa wanamsema MBOWE anajifanya anataka katiba mpya wakati yeye ameshindwa kuondoka madarakani Toka uchaguzi wa 1995 ni ajabu leo hii ccm imegeuka kuwa mtetezi wa mbowe swali langu je ccm na serikali yake Wana LISSU-PHOBIA?
Kama kuna kiongozi aliekuwa anawakemea watawala wanapoboronga tens hadharani, basi Nyerere alikuwa kiboko.
Kama kuna kiongozi aliekuwa anakemea rushwa ndani ya chama chake(CCM) tena hadharani, basi Nyerere alikuwa hana mfano
Nyerere alikemea wala rushwa, wauza mashirika ya umma, wanauza nchi...
BREAKING NEWS NJOMBE.
George Sanga na Wenzake wawili waliokuwa wanatuhumiwa kwa kesi ya mauaji wamechiwa huru na Mahakama.
Mungu ametenda haki imeshinda
George sanga na wenza wameachiwa huru Mahakama Kuu - Njombe
Wakili Dickson Matata, Joseph Mbilinyi wazungumza
Njombe. Mahakama Kuu Kanda...
Naona sasa mwaka wa Uchaguzi umewadia na mambo yamekuwa mengi kweli kweli.
Wanasiasa wengine wanaenda kutafuta malisho ya kijana kibichi
===================
Wanachama 18 wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, Wakiwemo Viongozi wa jumuiya mbalimbali za chama hicho Halmashauri ya Ushetu...
Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.
CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.
Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.
CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna...
1. Ahadi ya Kwanza ilikuwa ni Ikifika July 2024, manunuzi ya luku yatakuwa automated yaani ukinunua umeme hutokuwa na haja ya kuingiza token……zitaingia directly to your meter device
Hapa tulipigwa changa na utapeli
2. Umeme kukatika mwisho ilikuwa October 2024 kama alivyoahidi Mzee Doto...
Mwenyekiti wa CCM Kibaha akimsifia Mbowe na kumtakia aendelee kuwa mwenyekiti wa chadema vinginevyo chadema itakufa.
Huu urafiki unaooneshwa na ccm kwa Mbowe, hasa wakati huu wa uchaguzi wa mwenyekiti ndani ya chadema unatokana na nini?
Ni kweli kwamba Mbowe ni mwenzao?
Great Thinkers!
Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA, ningependa kumkaribisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Hakuna marefu yasiyo na ncha.Huu ni msemo wetu wa kiswahili ambao una maana pana sana.
Siasa za kusini mwa jangwa la Sahara zimeanza kuchukua njia ya tofauti kabisa siku za karibuni. Vyama vilivyopigania uhuru kwenye nchi za kusini mwa Afrika vimeanza kukabiliana na vuguvugu la mageuzi...
Baba Levo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameeleza kuwa;
Nimeiangalia GAME Kwa Upana Wake NA Kuangalia Kipato Cha Msanii Mmoja Mmoja Nimegundua Vitu Vitatu ..!
1 MZIKI HAUNA NGUVU YA KUKAA TREND WIKI TATU..!
Tafsiri Yake Ni Kwamba Msanii Anatumia NGUVU Kubwa Kupata HIT SONG Lakini Haidumu...