ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania CCM ndicho chama kilicho na Demokrasia bora na yenye nidhamu kubwa kuliko vyama vya upinzani Tanzania

    Hakika nasadiki kusema hivyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza! CCM wanasiasa bora sana na zenye demokrasia nzuri na sio kuchafuana kama walivyo wale wengine kila kukicha wao ni kupakazana matope huyu kafanye lile tena hata bila kuweka ushahidi. Yani siasa zisizo za adabu na zilizokosa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

    Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360, Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi. Yaonekana alikuja na...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna uhaba wa mabasi ya mwendokasi halafu tunaona CCM mnashusha mabasi mapya ya chama, kuweni na aibu

    CCm ndio Serikali yenyewe Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuondoa Usultani, umalkia na umangimeza wapo na Lissu ili chama kiwe cha Wote. Je, CHADEMA ikifanikkwa tutarajie vuguvugu upande wa CCM?

    Mpo Salama bandugu! Moja ya mambo yanayofanya hii nchi ionekane ni ngumu ni pamoja na mtu kupewa sifa za Uongo. Mfano; nchi hii kuna watu utaambiwa wanaushawishi au wanapendwa lakini ukifuatilia uhalisia wa Jambo hilo sio kweli. Utagundua sio kwamba wanapendwa Bali wanatumia Rushwa na kuhonga...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ya Makala imepigwa pigo na CHADEMA

    Kusema ukweli, CCM ya Makala iko hoi. Haina kabisa ubunifu, Imenunua magali mengi na kutengeneza misafara mirefu na foleni zisizo namaana lakini mitandaoni ni CHADEMA tupu. Wana CCM wanahoji, kulikoni huko CCM iko kama hina uchaguzi?. Kwani Makala hawezi achia ngazi ili chama kipone?. Aingia...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mizengo Peter Pinda ndiye Makamu M/kiti CCM Bara

    Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bwana Mizengo Peter Pinda, ndiye Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara anayetarajiwa kutangazwa hivi karibuni. Ndugu Mizengo anatarajiwa kupigiwa kura za ndiyo ama hapana mapema hivi karibuni kwenye Mkutano Mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika hivi...
  7. JamiiForums Tanzania Wakati CCM wanashangilia mabasi, CHADEMA wanatafakari nani anafaa kuwa kiongozi wao!!

    Utofauti wa fikra na jinsi ya matumizi sahihi ya akili kati ya Wana CCM na CHADEMA, unazidi kudhihirika kadri siku zinavyozidi kwenda. Wakati CHADEMA nchi nzima wako kwenye mijadala mizito ya nani anafaa kuwa kiongozi wao, CCM wamezama kwenye kushangilia mabasi yaliyobandikwa Stika za chama...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CCM tumejipanga Uchaguzi Mkuu kushinda kwa kishindo

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla amesema Chama hicho kimejipanga kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi Mkuu unatarajiwa kufanyika mwaka huu 2025. "Mimi niseme huyo mwenye uafadhali angekuwa CCM, hatuwezi kuwa na mgombea ambaye yuko Chama kingine, hatuwezi kuchagua upande...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ule mkutano wa CCM umeishia wapi? Au ni kikao cha siri?

    Juzi kati hapo CCM walitangaza mkutano wa kamati kuu ya chama. Sisikii lolote likiendelea kuna yeyote mwenye taarifa? Au ni kikao cha siri?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM wanataka Mbowe aendelee kuwa Mwenyekiti CHADEMA?

    Wanataka Mbowe ambaye amekuwa siku hizi kama hangati aendelee kwasababu ameshaonekana kuchoka na kujisahau 1. Wanataka waendelee kuiba kura 2. Watataka Wenje aendelee kuhonga wanaharakati wote wa chini 3. Wanaogopa ushindani 4. Hawataki katiba mpya 5. Wanataka wabunge fake 19 waendelee kuwepo...
  11. JamiiForums Tanzania Kurudi CCM kwa Peter Msigwa ni kuandaa njia kwa mwenyewe ajae atakayejiunga soon?

    Ukimchunguza Peter Msigwa, kidhabu na muongo wa mwaka, durusu hata marafiki na wandani wake ambao bado wako Chadema. Ukishawajua, jiulize, je Msigwa, swahiba wa Jiwe, alikwenda kuandaa njia kwa ajili yao kurudi nyumbani? Je ni mpango wa muda mrefu wa kuiua CHADEMA? Kumbuka, Nyerere aliwahi...
  12. JamiiForums Tanzania CCM wanachekesha Sana, wanakwenda kuchagua bila kujua watamchagua nani!

    Kwa siku mbili kati ya tarehe 18,19/01/2025, CCM itakuwa na mkutano wake maalum huko Dodoma. Kwenye mkutano huo, pamoja na mambo mengine, wajumbe watapiga kura ya kumthibitisha (siyo kumchagua ) Makamo Mwenyekiti wa chama hicho kwa upande wa Tanganyika. Leo siku tatu kabla ya mkutano huo...
  13. JamiiForums Tanzania Tofauti ya CCM na CHADEMA: CCM wanatumia Show Off ya Magari, mabango na Wasanii kutangaza Mkutano wao,Chadema wanatumia midahalo yenye hoja nzito!

    Mwenye macho haambiwi tazama. Kuna mikutano miwili. Wa CCM Dodoma na hii ya uchaguzi wa CHADEMA wakipanga safu yao ya uongozi. Kwa upande wa CCM tunaona hakuna hoja za msingi kuufanya mkutano wao uwe na mvuto zaidi ya show off ya mabasi, mabango kila sehemu huko Dodoma na matumizi ya wasanii...
  14. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mkutano Mkuu maalum wa CCM, Dodoma yageuka kuwa kijani tupu

    Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe tafakari kwanini CCM wanakutaka wewe? Wakati wewe ni mpinzani wao? Ujue kanuni ya maisha adui anapokushauri jambo jua anashauri anguko lako

    CHADEMA shikilieni hapo hapo nendeni na Lissu kitendo cha ccm kuonyesha upande hiyo ni alarm tosha kwenu kwamba upande wa adui yenu ndio upande mbaya kwenu nawashauri muende na Lissu. CCM wameajiri machawa kibao mitandaoni kumpigia debe MBOWE! Je kwanini? Je Wana maslahi Gani na MBOWE dhidi ya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Pesa za jana zilitoka wapi?, alizodakwa nazo mjumbe Uchaguzi wa BAVICHA

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, Tundu Lissu akizungumza kwenye Kikao amehoji; "Wananisema kuwa sina Pesa, siwezi kuendesha Chama, hebu watueleze pesa za Jana usiku zilitoka kwa nani? Tumeshuhudia vitendo vya rushwa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA" Soma, Pia: • Kimeumana! mjumbe adakwa akidaiwa kugawa...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu akishinda tunatarajia CCM italazimika kuibua akiba yake ya makada wenye akili. Machawa nafasi yao inaweza kuwa hatarini

    Tupo salama wote! Wakati CCM ipo Kimya ikiangalia yanayoendelea CHADEMA na mara kadhaa kwa Siri huenda ikijihusisha na mambo hayo kuyaingilia. Ikiwa Mbowe atashinda hakuna mabadiliko yoyote ambayo CCM itafanya. Mbinu zitakazotumika zitakuwa zilezile walizotumia kwa Miaka 20 kwani Mbowe ndiye...
  18. JamiiForums Tanzania CCM haitatamalaki katika utukufu tena

    Sikumbuki ni lini baada ya uchafuzi mkubwa wa kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa, CCM ilisikika tena popote! Hata matukio ya kutengenezwa ili kuiweka ccm kwenye ramani ya mijadala yalikufa mimba changa... CCM imeumilaliza mwaka 2024 kinyonge na kwa udhaifu mkubwa.. Bila nuru usoni wala...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Duru: Sugu, Wenje, Kigaila na Mwalimu kuhamia CCM

    Kwa mujibu wa mnyetishaji aliye karibu na mmoja wa wale Wabunge (Covid 19) amedai Wajumbe hao wa Kamati Kuu ya Chadema wameshakubaliana endapo Lissu ataibuka mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa Chadema Taifa pasi na kusubiri hata siku moja mbele watatangaza kuhamia CCM. Moja ya mke wake si Mbunge...
  20. S

    JamiiForums Tanzania CCM mnaikumbuka hii?

    ..
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…