ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais , nitaanza na kufuta Simba , Yanga , Ccm na baadae kuwafunga wakamalia wote gerezani kwa muda wa mwaka mmoja.

    Endapo mwaka 2040 nikitangazwa Kama Rais Nitafuta Kamali Simba Yanga Ccm. Pia wakamalia wote watafungwa gerezani mwaka mmoja . Na sitoruhsu unywaji wa pombe bali wine tu
  2. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Simiyu mmemsikia Mzee Wassira?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara,Stephen Wassira alifanya ziara katika mkoa wa Simiyu kuanzia Machi 28-30 mwaka huu kwa kutembelea wilaya zote za mkoa huo ambazo ni Maswa, Meatu, Itilima,Bariadi na Busega. Akiwa wilayani Maswa ambapo akizungumza na wanachama wa Chama Cha...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pamoja na kuwa na viongozi wa kikale, mawazo na sera za kikale, inakuwaje CCM inaendelea kuwa madarakani

    Dada na kaka wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kama vile KANU, MCP, UNIP na wengine walishasahaulika. Ajabu, CCM bado inatesa. Je, pamoja na ukale wake kiutawala na kisera, nini siri ya CCM kuendelea kuwa madarakani. Ina maana watanzania wanapenda mambo ya kikale kuliko ya kisasa?
  4. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi apokelewa kwa shangwe, vyama vya upinzani vyamiminika CCM ili kupata fursa ya kushiriki uchaguzi 2025

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, mkoani Ruvuma imeanza kwa kishindo, huku mamia ya wanachama wa vyama vya upinzani wakihama na kujiunga na CCM. Katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jumatano, 2 Aprili 2025, katika Uwanja wa Shule ya Msingi...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ilshindwa mwaka 1995 , ikashindwa 2010 na ikashindwa 2015 , ila ubovu mkubwa wa mifumo ya uchaguzi ndo unaibeba CCM

    Kwanza hongera Kikwete mwaka 2005 ulishinda kihalali Na hongera Mkapa 2000 ulishind kihalali . Baada ya hapo CCM. Haijawahi kushinda uchguzi wowote
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM itashinda Kwa Kishindo Uchaguzi Mkuu wa Oktoba

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  7. JamiiForums Tanzania Uchaguzi huu ni vita kati ya matajiri, CCM na nguvu ya UMMA, CHADEMA vs CCM, Wananchi watakubali CCM irudi?

    Ukitazama hali halisi ilivyo sasa ni wazi kabisa matajiri, watu wenye uchumi mzuri, biashara kubwa, na watu wa serikali ndo wanaridhika na mwenendo wa serikali kwa sasa. Sasahivi wanasukuma magari ya mill 300 na 400 kama wanaigiza ila ndo kweli hivo. Kula kwa urefu wa kamba ndo slogan ya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Silaha hii wanaitumia CCM dhidi ya upinzani na imewapa ushindi 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020 na mwaka huu 2025 wanakwenda kuitumia tena

    Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea. Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa ...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 ๐——๐—ž๐—ง. Nchimbi anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma

    ๐——๐—ž๐—ง. ๐—ก๐—–๐—›๐—œ๐— ๐—•๐—œ ๐—ž๐—จ๐—”๐—ก๐—ญ๐—” ๐—ž๐—จ๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—ฅ๐—จ๐— ๐—” ๐— ๐—ž๐—ข๐—”๐—ก๐—œ ๐—ฅ๐—จ๐—ฉ๐—จ๐— ๐—” ๐™‰๐™ž ๐™ฏ๐™ž๐™–๐™ง๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ ๐™ž๐™ ๐™–๐™ฏ๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™จ๐™ž๐™ ๐™ช 5 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi , anatarajia kuanzia ziara yake ya kikazi katika Mkoa wa Ruvuma ambapo tarehe 2 Aprili 2025 atakuwepo Tunduru, 3 Aprili atakuwepo Namtumbo, 5 Aprili...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kuthaminiwa na kupata cheo ndani ya cha cha CCM serikali

    Kama wewe uko ndani ya CCM na unategemea kupata vyeo au kuwa mkubwa huko mbeleni eti kwa kuwasifia Viongozi wako na kuwatukana Viongozi wa upinzani,basi sahau,maana utakuwa kama Lucas Mwamshamba, Njia rahisi wewe nenda upinzani,hasa Chama Cha Chadema,vumilia kule hata miaka mitano halafu anzisha...
  11. JamiiForums Tanzania Maswali kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Kuhusu Sheria ya kuanza kwa utaratibu wa vitinmaalum CCM 2030

    Swali la Kwanza Kuna wabunge wa viti maalum waliokuwa madarakani kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, na sasa wanatarajia kugombea tena. Ikiwa watashinda, watakuwa madarakani hadi mwaka 2030. Swali langu ni: Je, hawa wabunge wakichukua fomu kuomba kugombea mwaka 2030, watakuwa wanakubali sheria mpya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CCM acheni kuisemea Tume Huru ya Uchaguzi

    Nakumbuka mwaka 2019/2020 aliyekuwa Rais wa wakati ule, John Pombe Magufuli ambaye pia alikuwa mgombea urais wa mwaka 2020 kupitia chama cha CCM alinukuliwa akisema "Uchaguzi utakuwa huru na wa haki". Yaliyotokea kutokana na uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 na uchaguzi mkuu wa mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake CCM Mbeya Lucia Sule afariki Dunia baada ya kukaa ICU siku 36

    Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mbeya Lucia Sule amefariki Dunia Usiku wa Machi 31, 2025 akiwa anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mkoani humo. Kifo chake kinahusishwa na ajari ya gari iliyotokea Tarehe 25, Februari...
  14. JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli ndiyo maana CCM huwa wanaiba

    Nimekutana na hii clip mitandaoni na kuisikiliza na kama ni ya kweli basi ndiyo maana CCM huwa wanaiba mali za umma. Kwenye Clip anaonekana Pereira Ame Silima akituhumiwa kuiba vitu toka kwa mke wake. Ingawa mkewe ni mtata, lakini asipuuzwe moja kwa moja!!
  15. JamiiForums Tanzania Mch. Kabigumila: Nguvu ya upinzani dhidi ya CCM/serikali kuongezeka maradufu mwezi April & Mei

    https://youtu.be/5eOakl1l_IE?si=gZ5mslJf7YS3AY9i โžกHuyu ni Mchungaji Dickson Kabigumila akitoa unabii kwa matukio ya kisiasa yatakayotokea ktk miezi mitatu ijayo... โžกAnasema ktk miezi mitatu ijayo; April - Juni, 2025 miongoni mwa mambo 10 yatakayotokea ni upinzani ukiongozwa na CHADEMA utapata...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM Dodoma watembelea vituo vya Watoto yatima, na kutoa Misaada

    Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, wakiongozwa na katibu wa chama hicho mkoa Bi Pili Augustino wametembelea vituo vya watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu kwa kutoa sandaka ya vitu mbalimbali ikiwemo Mchele, mafuta, maji, juisi, unga wa ngano, mbuzi na vingine...
  17. JamiiForums Tanzania CCM iache kutumia siasa kwenye nyumba za ibada

    Tumeshuhudia Abduli akiahidi kitita cha mchango wake kukarabati kanisa! Abduli mwanasiasa wa chini ya zulia amejijengea umaarufu wa kugawa vitita vya fedha hadharani huku wengi wetu hatujui biashara znayofanya zaidi ya kujua mtoto wa mama. Viongozi wa CCM ndio huajialika harakaharaka kwenye...
  18. A

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mnawalea sana wanachama wenu wanaokengeuka, igeni CCM

    Moja ya mambo ambayo ccm waga haivumilii ni kuona mwanachama anakengeuka na kwenda kinyume na makubaliano ya chama, ni mwanachama kuondoka mwenyewe kwenye chama au kufukuzwa uanachama. Makala kwa kujua weakness ya CHADEMA na kutokana na boko lake la ebola, sasa wanataka kutumia baadhi ya makada...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lord Denning: Faida Nne za 'No Reforms No Election' kwa Ma-RC, ma-RAS, ma-DC, ma-DAS, ma-DED, Mawaziri, Spika, Wabunge na Madiwani wa CCM

    Endapo viongozi wa CCM watakubali kuahirisha Uchaguzi mkuu sasa hivi ili kuanzisha mchakato wa Katiba kwa ajili ya kufanya mageuzi ya kimfumo yanayopiganiwa na Watanzania watafaidika na mambo manne kama ifuatavyo: Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kuwepo madarakani hadi hapo Katiba Mpya...
  20. JamiiForums Tanzania No Reform no Election ni kama njia ya kuwapa ushindi mkubwa CCM

    Kama mnasema hamtagomea uchaguzi wakati huohuo mnasema bila mabadiliko hakuna uchaguzi. Je utafiti umefanyika wa kutisha KUWA mbinu zenu zitasaidia mabadiliko ambayo yatasababisha uchaguzi huru na haki. Je utafiti umethibitisha kama reform isipofanyika mnauwezo wa kuzuia uchaguzi usifanyike...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ