ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. L

    JamiiForums Tanzania Mtu mmoja anashikiliwa na jeshi la polisi mkoa wa Kigoma kwa tuhuma za mauaji ya Martin Runaku Mpemba aleyekuwa Diwani wa CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ni Kubwa sana kama hutafutwi na Jeshi la Polisi na wewe ni mtu Mwema. Lakini kama ukiingia kwenye 18 za jeshi la polisi kwa vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa sheria pamoja na kufanya jinai . Huwezi ukaukimbia Mkono wa Serikali. Hakuna mahali utakimbilia na...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya Lissu ilindwe kwa gharama yoyote kwasababu ndio njia pekee ya kuiondoa CCM kinyume na hapo watakaopoteza sio CHADEMA ni Watanzania

    Watanzania wanatakiwa wafahamu kina LISU, Heche, Mnyika nk hawana cha kupoteza hata CHADEMA ikifa leo. Watakaopoteza na kula hasara ni watanzania. Madhila yote yanayowapata sasa Watanzania chanzo ni CCM. Sasa LISU ndio muarobaini wenyewe ulioletwa na Mungu baada ya kumuokoa na Yale mauwaji...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Reforms wanazozitaka Chadema ni ngumu kiasi gani mpaka zisifanyiwe kazi? Mbona Reforms ni sehemu ya "4R" za Rais Samia lakini CCM wanapinga?

    Hili ni swali ambalo najiuliza. Kama 4R ni falsafa ya Raisi, kwanini chama chake kinapinga Reforms zinazopendekezwa na wapinzani? Badala ya kuchangamsha bongo zao namna ya kuyachukua mapendekezo ya Chadema, nguvu kubwa zaidi imeelekezwa katika kuwabeza, kuwatukana, kuwatisha, na kuwakatisha...
  4. JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani wa CCM Kiziguzigu auawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali Kigoma

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kiziguzigu Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma Mwl. Martin Runaku Mpemba, amefariki usiku wa Aprili 3 katika Kijiji cha Kibingo Kata ya Kiziguzigu, baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Kigoma, Christopher Palangyo...
  5. JamiiForums Tanzania Hekaya za George Soros na Utabiri wa Anguko la CCM

    Kwenu Wanajema, Huu ni uzi mchungu kwa wanaCCM wengi vitatange, kwa sababu nagusia anguko la CCM ambalo nimelichambua na kuliona. **** Picha ya George Soros Kwa wafuatiliaji wa medani za nchi za magharibi na watu wake, George Soros sio jina geni kulisikia. Ni mmoja wa watu waliobahatika...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Geita: Wanaopiga kampeni kabla ya wakati wanatengeneza migogoro kati ya wananchi na viongozi walioko madarakani

    Chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Geita kimekemea baadhi ya wanachama wake ambao wanaendesha kampeni za chini chini kabla ya wakati jambo ambalo linakiuka katiba ya chama Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Geita Nicholaus Kasendamila amesema hayo akiwa kijiji cha Nyankanga kata ya Nyamalimbe wilayani...
  7. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM tujipange naona vijana wameamua agenda yao ni 'No Reforms, No Election'

    Jana katika kipindi cha MALUMBANO YA HOJA iliyohusu NINI NAFASI YA VIJANA KWENYE UCHAGUZI 2025. Kwa kweli vijana walisema mengi kuhusu mustakabali wa nchi yetu kuelekea uchaguzi wa 2025. Kwanza waligusia Tume Huru ya Uchaguzi na wakasema kwa uwazi kuwa Tume hii si huru. Pili walisema kuwa ili...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kaza, hao CCM wanataka mgombea kama Bernard Membe

    https://youtu.be/_X_QgulWKlM?si=kz5G6jk79XVRX1R8 Safari hii hatutaki comed, tunataka uchaguzi kweli. Wewe Yanga unaenda kwenye match dhidi ya Simba ambayo refa na jopo lake lote wameteuliwa na Simba? Hayo ni matumizi ya akili kweli? Hao CCM wanataka mgombea kama Membe (RIP) uje jukwaani...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA waendelea kutimkia CCM, Kingozi wa BAVICHA Songea ahamia CCM, aitaja 'No Reforms No Election' asema ni maneno ya vita

    Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma, Khalifa Mtukura amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwa miongoni mwa wanachama 26 waliohama kutoka vyama vya upinzani. Mtukura ametangaza uamuzi huo wakati wa mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasaka Tonge, Mmemlazimisha Tundu Lissu Leo kutoa Siri ya kwanini Anapigania Mgawanyo wa Majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Mmewasanua CCM!

    Hivi hivi Ndugu zangu, Ukweli ni kwamba , Yale Mabadiliko ya Sheria za Vyama vingi mwaka 1992, yalipoondoa Sheria ya Ugawaji majimbo kulingana na Idadi ya Watu, Kwa wakati ule wa Chama Kimoja, na Upinzani wa kawaida, Sheria hiyo iliondoshwa Si Kwa sababu Kura nyingi zilikua Mjini , La Hashaa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reform no election inafaida nyingi kwa wana CCM wasiokuwa na God father wakupitisha majina yao kwenye mchujo

    Mfumo wa CCM wakupata wagombea hautegemei kukubalika kwa wagombea kwa wanachama. Ni mfumo unaotegemea unajipendekeza vipi kwa wakubwa. Mfumo huu umepelekea wanaccm wengi wenye akili na nguvu kuogopa kukisemea chama badala yake wanaokisemea chama kwa sasa ni wana habari, wasanii, baadhi ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 CCM Mlikosea sana uchaguzi serikali za mtaa 2024

    1. Mbowe rafiki yenu angekuwepo leo 2. No reform no election isingekuwepo leo 3. Lissu na Heche wasingekuwepo kwenye uwenyekiti leo 4. Chadema Nimo isngekuwepo leo wangekuwa wanasubiri pesa za serikali Kwasababu yamefanywa na Mkwe wetu wa Tamisemi hamsemi lakini ni kosa kubwa kimpangilio. Na...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Namna pekee ya chama changu CCM kukabiliana na "No reform no election" ni kufanya uchaguzi kidigitali zaidi!

    Kama upinzani utakomaa na no reform no election ni rasmi vituo vya kupiga kura vya kawaida kutatokea vurugu ambazo zitaharibu utulivu na polisi hawawezi tuliza ghasia vituo vyote nchi nzima! Namna pekee ni kutumia vifaa vya electronic kama sim kupiga kura,yaani Kila raia mwenye sifa za kupiga...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachosumbua Watanzania ni muundo wa CCM ambayo huwezi kutofautisha CCM na Serikali kwenye nafasi za kiutendaji, kichama na kiutawala

    Katika muktadha wa siasa za Tanzania, moja ya changamoto kubwa inayokabili nchi ni muundo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Muundo huu umejenga hali ambapo ni vigumu kutofautisha kati ya CCM na serikali. Katika nafasi za kiutendaji, kichama, na kiutawala, kuna ukaribu mkubwa ambao unakwamisha...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamechanganyikiwa. Hali tete sana

    Nimeelezwa na mnyetishaji wangu kuwa kimbunga cha vijukuu wawili wa Mungu, Tundu Lissu na John Heche kimeleta tafrani isiyo ya kawaida huko CCM. Support kubwa waliyopata CHADEMA kwenye mikutano waliyofanya Kanda ya Nyasa tu inasemwa kusababisha watu kulala na viatu huko CCM. Kujitokeza kwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani

    Gwajina yupo CCM kwa nguo tu Moyo wake upo upinzani. Heche anaongea haya haya lakini machawa wamampiga madongo Je anayo ongea Gwajima hapa anampinga nani? https://youtu.be/2gvSQKmNeWw?si=xBlSbTN1zgqnahP_
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Buchosa: Makada 8 CHADEMA watimkia CCM, Shigongo amtaka mmoja wao kueleza mateso aliyoyapitia CHADEMA

    Makada nane wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Buchosa wamekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hatua hii imetokana na kuridhishwa na kazi zinazotekelezwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan pamoja na Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo. Miongoni mwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe amekamatwa na serikali ya CCM?

    Mkuu wa Mkoa ni kiongozi wa watu wote, taasisi zote na vikundi vyote. Anapokuwa anatumia pesa ya watu wote kuwapa Tabora United inayoshiriki ligi kuu sawa na timu nyingine sio sawa. Hii ni tofauti na goli la mama ambalo linatolewa kwa timu yoyote inayoshiriki mashindano makubwa. Mkuu wa mkoa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Wewe unayesema twende kwenye uchaguzi bila mabadiliko unaiunga mkono CCM

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche ameeleza kuwa No reforms No election ni ya Watanzania wote ndiyo maana hadi viongozi wa dini wanaiongelea. Kama wewe huungi mkono mabadiliko maana yake unaiunga mkono CCM. Ikumbukwe kuwa kuna kundi huko CHADEMA limesema wao hawaungi mkono Ajenda hii na...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Mwenyekiti wa CCM Dodoma, Kimbisa: Chama chetu kimeishiwa pumzi, haiwezekani tukaenda uchaguzi 2025 tukiwa tumeishiwa pumzi

    Mwenyekiti wa CCM, Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa, wakati akiomba kura za uenyekiti na kunadi sera zake kwa wajumbe mnamo Novemba 21, 2022. Alidai kuwa CCM mkoani humo kimekata pumzi na hawawezi kwenda kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba 2025 kwa Chama kilichoishiwa pumzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…