ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Peneza Achangia Milioni 2.5 kwa ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu

    MNEC wa CCM Taifa, Ndugu Joseph Peneza, amechangia milioni 2.5 kusaidia ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Nanyumbu. Akiwa mgeni rasmi kwenye Baraza la Jumuiya hiyo, Peneza pia alishiriki shughuli ya kuchimba msingi wa nyumba hiyo. Katika kuunga mkono jitihada za...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Asilimia 90 ya Watanzania wana imani na Lissu kuwa sio kibaraka wa CCM. Tofauti na Mbowe. Hii itawasumbua sana wanaCCM

    Wananchi wameanza kupata maono kama kuna mtu ameibuka kuwapambania juu ya maslahi yao na taifa lao. Tofauti na yule Jamaa aliyekuwa anaenda Ikulu kunywa juic za Ceres. Na hii inakuja kuleta upinzani mkubwa kwa CCM. Maana wananchi wanaiona CCM haina msaada kwao Idu wa Igunga.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40

    Mjane amtuhumu Mbunge wa Tanga, Ummy Mwalimu kwa kumtapeli shamba la ekari 40
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanachuo: CHADEMA haiwezi kuzuia uchaguzi, msimamo wetu CCM ni kushinda kwa kishindo

    Katibu Uhamasishaji wa UVCCM Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Akida Mnyamisi Akida akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Nuru FM.
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya maneno ya kufuru ya baadhi ya wana CCM!

    1)"Tuta Tawala Milele" Kumbuka Umilele ni wa Mungu pekee 2)"Tuta Tawala mpaka Yesu arudi" , Masihi wa BWANA anashirikishwa kwenye Siasa za ghiriba 3) "CCM kushinda sio lazima Mungu apende," Wanachagizana kuhujumu uchaguzi,wanaamini hata asiporidhia Mungu wanashinda. 4) "Unaiba kura Kwa njia za...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Kamba: Jokate ni nguvu mpya ya ushindi wa CCM 2025

    *JOKATE NI NGUVU MPYA YA USHINDI WA CCM 2025 * Kalamu ya: Mrisho H. Kamba – Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Wazazi CCM Taifa Ndugu Jokate Urban Mwegelo, Salamu nyingi za pongezi na heshima nyingi kwako. Natumaini ujumbe huu unakufikia ukiwa na afya njema na ari ileile ya kuwatumikia Watanzania...
  7. JamiiForums Tanzania Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

    Wanabodi Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe. Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yakamata mtandao, CCM yangu hoi

    Na Veronica France 🇹🇿 🇹🇿 Well, Dunia imebadilika sana, Dunia ya Leo Ktk Siasa lazima uwe na nguvu ya kudhibiti na kuendesha mitandao ya kijamii...huu Ni Wakati ambao tunaishihudia CCM ikiwa hoi bin taaban mitandaoni na Chadema ikishika Mitandao Yote, Nini Kimetokea? turejee Nyuma kidogo Katika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Polisi ndio watakuwa wahusika namba moja kuzuwia uchaguzi 2025! Kwa nini...!

    Wakati polisi wakiwa mabarabarani kwa hasira kusubiri waandamanaji wa kuzuia uchaguzi ili kuwafyatulia maji ya washawasha na lisasi za moto, naamini haitakuwa hivyo! Watu watakwenda kwenye vituo vya kupigia kura kwa amani na salama kabisa na bila kujulikana ni kina nani watahusika katika...
  10. JamiiForums Tanzania WANACHAMA WA CCM NI WANAFIKI

    ....
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joram Nkumbi ageuka kuwa chawa wa CCM? Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi

    Wakuu huyu Joram Nkumbi ulumbi wa lugha umemshinda sasa amegeukia kuwa chawa wa CCM. Amesimama jukwaani anamnadi Dkt. Nchimbi kwa Wananchi. "Mbele yetu yupo katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi ambaye yeye amepewa cheo kikubwa katikati yetu, ametuzidia mbali kabisa, na sisi tunaomba tumkopeshe...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wapinzani mnataka nini kama mlimpinga Magufuli aliyekuwa anafanya kazi kwa maslahi ya nchi?

    Katika kitu ambacho sikukielewa hapa Tanzania ni kipindi Rais Magufuli alipoingia madarakani wapinzani wakawa wanampinga kwa Kila anachokifanya, kufikia hatua ya Magufuli kuwachukia na sababu ilikua wanampinga maendeleo ya Kila kitu. Akishughulikia mafisadi wanamuita diktekta, mara katili...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM dhaifu na upinzani dhaifu ni chanzo cha taifa lililojaa machawa

    Na Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) CHADEMA/UPINZANI, ACHENI KUIONEA CCM. 1. Taifa hili bila CCM imara, litayumba sana. Sina hakika kama bado. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na kubaki salama. 3. CCM dhaifu...
  14. JamiiForums Tanzania John Mrema CCM hatukutaki kimbilia NCCR ukapigwe vumbi

    Kama ulikua Una wazo la kuja Veggies Sisi kwenye list yetu tumeshajaza vijana jobless wenye matarajio ya vyeo vya ulaji. Nakusihi wahi NCCR kama Selasini. ACT usijaribu maana sio mvaa kobazi
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa jumuiya ya wazazi CCM: Madiwani rudini kwa wananchi muwaeleze mlichofanya

    Katibu wa jumuiya ya wazazi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Hilary Kipingi amewataka madiwani wote katika wilaya hiyo kuhakikisha wanaandaa mikutano kuwaeleza wananchi mambo waliyoyatimiza katika kipindi chao cha uongozi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Moto wa No Reform No Election waibabua CCM, Masasi yalipuka kwa Shangwe

    Taarifa zingine za leo zinaonyesha kwamba Timu ya Chadema inayotoa Elimu ya Uchaguzi Huru na Haki huko Kanda ya Kusini imefika Masasi. Unaambiwa Moto uliowaka kwenye Mkutano wa Masasi haujawahi kutokea katika kipindi kirefu mno kwenye eneo hilo Kwa kifupi ni kwamba Wananchi wote wameelewa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wengi ukipiga nao stori wanasema CCM bila polisi hawawezi kushinda uchaguzi

    Ukijaribu kupiga stori na watu mbali mbali kuhusu uchaguzi, wengi sana wanasema CCM bila kutumia polisi dola hawawezi kushinda uchaguzi mkuu. Wengi wanasema kabisa wapo CCM kimsalahi ila kiitikadi wengi ni vyama vya upinzani, pia ni mazingira yanawalazimisha kuunga mkono CCM. Wananchi wengi...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maajabu: Kweli huu ni Wakati wa Mungu kuikomboa Tanzania. Angalia namna CCM na Mapandikizi yao yanavyokataliwa waziwazi na Wananchi!

    Tuache namna Wananchi wanavyoipokea vizuri kabisa kampeni ya No Reform No Election kwenye mikutano inayoendelea kuanzia Kanda ya Nyasa na sasa Kanda ya Kusini. Kuna namna Mungu anafanya jambo kuikomboa Tanzania dhidi ya siasa za kitapeli, ulaghai na dhuluma za Chama cha Mapinduzi na Mapandikizi...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa CCM Musoma Mjini wagomea maadhimisho ya Wazazi kwa sababu ya mvutano wa Kisiasa

    Baadhi ya Viongozi wa CCM wa Kata Matawi, pamoja na Wilaya wanadaiwa kugomea kushiriki maadhimisho ya Wiki ya Jumuia ya Wazazi ya Chama hicho, Jimbo la Musoma Mjini, kutokana na joto la kisiasa linalofukuta ndani ya chama hicho baina ya watia nia wa Ubunge pamoja na Mbunge aliyepo Madarakani...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Geita: Katibu Mwenezi awatetea vijana wanaotaka kugombea 2025, awataka viongozi kuacha kuwabeza

    Katibu Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Geita, Gabriel Nyasiru amewacharukia baadhi ya Viongozi na Wanachama wa Chama hicho kuacha tabia ya kulibeza kundi la Vijana kwa madai ya kutaka kuchukua Fomu za kugombea nafasi za Uongozi katika Uchaguzi Mkuu wa 2025 huku wakidai baadhi yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…