ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ilipaswa kulinda Demokrasia ya kuchagua na kuchaguana ndani ya chama badala ya hivi ilivyofanyika

    Hizi ni salaam zangu kwa Katibu Mkuu wa CCM (ambaye kimsingi ndiye Mratibu Mkuu wa shughuli za chama. Pamoja na kwamba binafsi siyo mwanachama wa chama chochote cha siasa, ni muumini wa siasa za Tanzania kwa utanzania wangu na shabiki wa CCM kwa sababu kadha ambazo nitazieleza siku nyingine, leo...
  2. JamiiForums Tanzania Ndoto ya CCM ni kuona kila Mtanzania anakuwa Mjinga

  3. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kukataa tume huru ya uchaguzi, ni kukubali wazi kuwa huwa hawashindi bali wanapora uchaguzi

    CHADEMA wanachokitaka kupitia NO REFORM NO ELECTION siyo wao kupewa upendeleo, bali kuwa na uchaguzi huru na wa haki ili yeyote anayeshinda, awe ameshinda kwa haki. Na ili hilo liwezekane, kwanza, ni lazima Tume ya uchaguzi na wote wanaosimamia mchakato wa uchaguzi ni lazima wawe huru wasiokuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania wasema kwa sauti moja CHADEMA ndo Chama wanachokikubali Tanzania

    Habari hii iwafikie CCM na mapandikizi yao yote kuanzia G55, Covid 19, Wale waliofungua kesi Wazanzibar, ACT Wazalendo na Madalali wote wa kisiasa. Leo hii Television maarufu ya EATV imewauliza swali Watanzania kwenye page yake ya Facebook juu ya Chama gani cha siasa Wanakikubali. Post yenyewe...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Kanisa Tanzania ni wana CCM!

    Mwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya. Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kuwa wakati wa sakata la COVID 19, wapinzani walikaa upande wa shetani. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania No reform No Electiion ni Agenda ya Watanzania wote wenye akili timamu hata ccm wanalijua hilo

    Ni dhahiri kabisa moto wa reforms huwezi kuzimwa kwa kumkamata Tundu Lissu pekee labda wawafunge watanzania wote wanaojielewa na awamu hii wamechoka CCM hawakutegemea hii surprise.. Hapa CCM inajaribu kupambana na kila mtanzania litu ambacho hakitawezekana ndo maana presha ipo juu na hawajui...
  7. JamiiForums Tanzania Dr Slaa: Nimepata habari za ndani kabisa kuwa kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM na Serikali kwa kumkamata na kumfungulia kesi ya uhaini Tundu Lissu

    Dr. Wilbroad Peter Slaa anasema, amepata taarifa za ndani kabisa kutoka kwenye credible sources serikalini kuwa.. 1. Huko CCM na ndani ya "deep state" hakukaliki, viti vinawaka moto... 2. Wamegawanyika na kulaumiana wao kwa wao ndani ya CCM na Serikali kwa kutekeleza ukamataji huo wa hovyo...
  8. JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) inawatakia Watanzania wote hususani waumini wa dini ya kikristo Ijumaa Kuu njema. #π™†π™–π™―π™žπ™‰π™–π™π™©π™ͺ𝙏π™ͺπ™£π™–π™¨π™€π™£π™œπ™–π™ˆπ™—π™šπ™‘π™š
  9. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Licha ya mbwembwe na majigambo mengi ccm ni waoga sana wa uchaguzi huru na wa haki.

    Wanaccm wengi huamini kwamba chama chao ni chama imara na huilinganisha na miongoni mwa vyama imara sana hapa Africa na duniani. Ila jambo moja ambalo linawaondolea hizo sifa zote na kuwafanya wanyonge tena ni linapokuja suala la uchaguzi huru na wa haki usiokuwa na mauzauza kama...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM Rombo yatoa semina kwa wajumbe kuhusu mabadiliko ya katiba ya CCM 2025

    Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rombo, April 17, 2025 kimetoa Semina kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya chama hicho Wilaya, kuhusu Mabadiliko madogo yaliyofanyika ya Katiba ya Chama hicho kwa Mwaka huu 2025. Akizungumza mara baada ya semina Hiyo Katibu wa Siasa, Mafunzo na Uenezi wa chama Hicho...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ado Shaibu: CCM inashinda kwa mbeleko ya dola! Atoa msimamo wa ACT Wazalendo kushiriki Uchaguzi Oktoba 2025

    Katibu Mkuu wa ACT-Wazalendo Ado Shaibu amesema CCM inashinda kwa mbeleko ya dola, akitoa msimamo wa ACT Wazalendo kuhusu Uchaguzi https://www.youtube.com/live/F0cmJ6K7t5E Kuhusu G-55 na Wabunge 19 "Tutawapokea, umezungumza kuhusu Kundi la G-55, mtu yeyote anayetaka kujiunga na ACT Wazalendo...
  12. JamiiForums Tanzania Na wasiwasi na Harusi ya JUX na pesa zinachezewa na CCM kutoka serikali

    Lisemwalo lipo mtakuja kusikia Ripot nyengine ya CAG kuhusu ccm inavyotumia pesa vibaya kwa kutumia wasanii. JUX uwezo wa kukatia tiketi watu wote au waliokuja naijeria ni uwongo na wote waliokwenda kule hawana pesa za kuchezea. Usijeshangaa pesa walizopata ni kuishawishi CCM ya serikali kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwita Waitara aliyewahi kububujikwa na machozi bungeni asema Ushindi upo, CCM imepata kibali kutoka kwa Mungu

    Wakuu huyu mbunge aliyewahi kulia kwa kububujikwa machozi lukuki ambaye ni Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara amesema tarehe 28 watavuta fomu na ushindi upo kutokana na yale yaliyotekelezwa Amesema Jimbo la Tarime Vijijini lipo tayari kwa ajili ya uchaguzi huku akisema wanajiandaa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Chama changu semeni kwa nini hatutaki tume huru ya uchaguzi

    Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi. Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?. CC: Wasirra Warioba, Amos Makalla, J.M.Kikwete Wapenda...
  15. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira apokelewa Sikonge, awasilisha ujumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM

    WASIRA APOKELEWA SIKONGE, AWASILISHA UJUMBE WA MKUTANO MKUU MAALUMU WA CCM Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili wilayani Sikonge Mkoa wa Tabora na kushiriki mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya wilaya hiyo. Wasira amewasili wilayani humo leo Aprili 17, 2025 akiwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kunamtu humu aliwahi kuandika Mbowe anafabya kazi na CCM na akasema hamtaamini ni miaka 2 sasa imepita

    Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini. Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa asanteni kuthibitisha kuwa Oktoba 2025 kama Uchaguzi Upo; Samia NDIO, Wabunge wa CCM Wote NO

    Hamfai na hamna sifa ya kurudi. Hilo mnalithibitisha wenyewe ndani ya bunge. Kila anayezungumza anasifia kila jambo kuwa Rais Samia kafanya yeye sasa nyie mmefanya nini kutumiza wajibu wenu? Msije mkasema wajibu wenu ni kupiga makofi kwa kila kiletwacho na serikali. Yale ya wajibu wenu...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushauri wa bure kwa CCM: Tunaelewa Mmechanganyikiwa na Chadema, Ila tumieni fedha zenu kwa akili

    Ni ukweli usiopingika kuwa CCM sasa wanaiogopa CHADEMA kuliko hata namna wanavyomwogopa Mungu. Ukweli huu unatokana na ukweli kuwa, ni dhahili kuwa Watanzania wote sasa hivi wameona na wameelewa kuwa Chama cha Kweli cha Siasa ambacho kipo kwa ajili ya kuwapigania kweli ili kuwapatia maisha bora...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: CCM haijiweki yenyewe madarakani, Watanzania ndio wanaamua

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla amesema madai kwamba Chama Cha Mapinduzi kinajiweka madarakani ni dhana potofu. Akizungumza katika mkutano wa hadhara mjini Newala mkoani Mtwara leo Jumanne Aprili 16, 2025, Makalla amesema: "Wapo wanaosema wamekichoka CCM...
  20. JamiiForums Tanzania Dereva yule yule wa Miaka 26 anakuta kuna mabadiliko nchini mwake China ila Tanzania tunachekesha sana halafu CCM kinga yao amani na ujinga

    Mwanaume aliye kwenye picha anaitwa Han Junjia, dereva wa treni kutoka China. Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1996, ikimuonesha akiwa amesimama mbele ya treni ya mvuke aina ya SY-class. Picha ya pili ilipigwa miaka 26 baadaye, ambapo anaonekana akiwa mbele ya treni ya kisasa ya mwendokasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…