Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
China ni taifa linalokuwa kwa kasi kiuchumi, na ni mshirika mkuu wa serikali ya Tanzania, wakati China wakikua kiteknolojia Tanzania tumejifunza na kujiuvunia nini kutoka kwa marafiki wetu wa muda mrefu, au kazi yetu kubwa ni kuteka na kuwaumiza viongozi wa dini wanaohubiri haki na amani...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia wa Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) David Kafulila amesema Serikali inapofanya Ubia haimaanishi inahamisha umiliki, na kwamba miradi ya Ubia ni mali ya Umma kabla ya Ubia, wakati na hata baada ya Ubia huo...
Maoni yametolewa, Ukweli unaonekana hata na mtoto mdogo anaweza kutambua changamoto kubwa inayoipa doa tume ya uchaguzi na kuifanya kuwa batili na isiyoweza kusimamia haki. TEC wametoa maoni yao, Waziri mkuu mstaafu Warioba ametoa msisitizo huo, vyama na taasisi mbalimbali wamesisitiza kwamba...
Wakijibu mbele ya waziri mkuu wajumbe wa mabaraza ya jumuiya za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Ruangwa Mei 3, 2025 wamesema hawamdai Rais samia na badala yake wamuahidi mitano tena. Waziri Majaliwa baada ya ahadi hiyo amesema atampigia Rais Samia ili kumfikishia salamu hizo.
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Ali Kawaida (MCC) amewahimiza wanachama wa CCM kudumisha umoja kuelekea Uchaguzi Mkuu na kuwakataa viongozi ambao wanawagawa na kuleta mpasuko kwa Wanachama.
Kawaida ameyasema hayo Mei 03, 2025 akihutubia maelfu ya Wakazi wa Wilaya ya Kahama katika mkutano wa...
Waziri Mkuu na mbunge wa Ruangwa ameeleza kuwa amekoshwa na mwamko wa vijana wa UVCCM (green guard) Ruangwa hali iliyopelekea akataka kutokwa na machozi mara baada ya kuona gwaride la vijana hao. Majaliwa amewapongeza vijana hao kwa mwamko huo. Ameyasema hayo Ameyasema hayo Mei 03, 2025 wakati...
Huu ni ukweli ulio wazi,
Leo kama Lissu ndiye angekuwa ni Rais wa nchi na kuwa chini ya sheria mbovu za uchaguzi zilizopo sasa, nina uhakika, wana ccm wakiongozwa na Samia ambaye ndiye Rais wetu, wangeingia barabarani kupinga sheria hizi mbovu pamoja na tume inayoundwa na Rais zinazokibeba...
Kamati ya Siasa ya halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi mkoa wa Njombe imetoa maelekezo kwa kamati za siasa wilaya zote mkoani humo kuwachukulia hatua wanachama na viongozi wote wa chama hicho wanaoandika maneno yenye kukejeli na kutukana viongozi mitandaoni.
Akitoa taarifa ya kikao cha...
John Forteo, Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenenzi wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Ruvuma ameitaka Jamii na Vyama vya Siasa nchini kuhakikisha wanafuata sheria za nchi zilizowekwa .
John Forteo ameyasema hayo wakati alipomuwakilisha Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Ruvuma Hemed Chale...
Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli.
Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
Chadema imefanya kosa kubwa kujitoa ktk mazungumzo na ccm. Ccm ndio yenye dola.
Tujifunze hapa kwa waislam walipokuwa hawana nguvu walifunga mkataba na wasiokuwa na waislam baada ya mazungumzo marefu.
Mkataba
Mkataba wa Hudaybiyyah ulikuwa ni makubaliano ya amani yaliyofanyika kati ya Mtume...
Nadhani CCM na viongozi wake kwanza watoke kwenye imani hiyo, inatakiwa iamini kwamba ni sawa na mzazi anaye zaa watoto wengine ni warefu na wengine wembaba na wanene wapo ila wote ni watoto wa mama mmoja sasa ukiona hupendi watoto wanene ukawabagua kwa kiasi hicho na ukawanyima haki zao.
Kama ingekuwa Ukatili na kuua na kutesa watu ni best approach ya kufanya Censorship….I think JPM would have been a Champion .
Binafsi mnajiexpose sana kitaifa na kimataifa which is not Healthy.
Madhara ya kujiexpose hata kwenye ulimwengu wa ki intelligence ni kukaribisha wahuni.
hamtoweza ku...
Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa.
Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari.
Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
Wanachama 44 wa CCM na CUF katika Kijiji cha Namiungo Wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wamejiunga na Chama cha ACT Wazalendo mbele ya Katibu Mkuu wa chama hicho Ado Shaibu jana tarehe 1 Mei 2025.
Wakizungumza baada ya kujiunga na chama hicho wamesema kuwa wamevutiwa na uzalendo wa Ado Shaibu...
YAH: KULAANI SHAMBULIO DHIDI YA PADRE DKT. CHARLES KITIMA
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, tukio lililotokea usiku wa Aprili 30, 2025, katika...
Muktadha wa kisiasa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC umegawanyika sana kutokana na mzozo uliotokana na kukataa kwa Rais Joseph Kabila kuondoka madarakani baada ya muda wake kumalizika karibu miaka miwili iliyopita. Katika jitihada za kutatua mkwamo huo, Kanisa Katoliki lenye...
"Kama M/Mwenyekiti CCM (Bara), nimepokea kwa masikitiko taarifa ya tukio la kihalifu dhidi ya Pr. Dkt. Kitima katika ofisi za Baraza la Maaskofu. Natoa pole zangu na kulaani kitendo hiki. Polisi wafanye uchunguzi wa kina, kuwabaini wahusika na kuwachukulia hatua kali za kisheria." - Makamu...
Hapana. Msituchukie wote. Mimi nina kadi ya CCM mwanachama toka mwaka 1985 madogo wengi wamekuja wamenikuta akina mwashamba hawa akina Tlatlaa, huyu mamasamia2025 ni mdada ambaye amekuja ccm miaka hii akidhani naye ni mwanasiasa.
Mimi nlipinga mambo ya hovyo ya kuuza nyumba za Serikali kwa bei...