ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    JamiiForums Tanzania CCM waliwanunua wabunge na viongozi wa juu wa chadema na wakaunga juhudi. Vipi washindwe kwa hawa wenyeviti/makatibu wa chadema wa mikoa na wilaya?

    Ukweli mchungu ni kwamba viongozi na wanachama wote wa chadema ni maskini (mafukara). Wenye fedha zao huwa wanaficha mbawa zao ccm ili biashara na ukwasi wao visibughudhiwe. Ndiyo maana hata Mbowe alikuwa anaitumia chadema kama jumba la sanaa kwa kujifanya mpinzani. Na ndiyo maana hata baadhi...
  2. JamiiForums Tanzania Wasifu wa Hayati David Msuya; Alikuwa Mwanachama CCM Asiye na Tabia za CCM

    Jana nimesikiliza kwa makini sana wasifu wa aliyekuwa Makamu wa kwanza wa Rais na Waziri mkuu marehemu Cleopa Msuya. Nilibaki mdomo wazi baada ya kusikia baadhi ya SIFA zake zikisemwa mbele ya Rais na viongozi wengine wa serikali na CCM. Nilivutiwa sana na kauli mbili ambazo zilionyesha...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Haikuwa sahihi Samia Suluhu alivyotangazwa mapema kuwa mgombea urais 2025 kupitia CCM

    Siwezi kutoa maoni, kwa sababu hili ni jambo tu ambalo wananchi watalijadili kuanzia kesho asubuhi. Kwa hiyo hainihusu mimi kutoa maoni. Flyover zimejengwa,barabara zimejengwa,shule zimejengwa. Sawa,lakini lakini sasa lazima human rights record ya huyu Rais na serikali yake hii. Na unapoelekea...
  4. JamiiForums Tanzania CCM inaamua ni lini Chadema wakae kwa amani bila kuzozana Kama 2013 had 2015. Na CCM ndo inaamua ni lini Chadema wakosane Kama ilivo 2024 up to 2025

    Bila Salam. Bila utangulizi. CCM ni dude kubwa Sana la kipuuzi limewakalisha Chadema na mbowe for 30 yrs, kumbe mbowe alikua mamluki. 🤣🤣🤣. CHADEMA hawalali Wala hawafanyi move yoyote bila kuwa influenced na CCM. Ile kesi ya jgaidi ya mbowe tuseme ilikua scripted... Sasa hii ya uhaini...
  5. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tuwe makini, huku kuhama Chama kila wilaya kunakoendelea nadhani kuna mkono wa CCM

    Kila dakika chache nasoma habari za watu kuhama CHADEMA, hili jambo linafikirisha sana. Sidhani kama ni suala la ombwe la uongozi ndani ya CHADEMA tu. Yawezekana kuna mamluki wa CCM wamefanikiwa kupenya kwenye safu za juu za uongozi wa CHADEMA na wanafanya kwa makusudi makosa ya ubaguzi kwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania CCM mmeingia kwenye history, mmetengeneza dikteta mwanamke wa kwanza Afrika

    Ukimuangalia sura yake unaweza ukadanganyika lakini Samia Suluhu ni mwanamke katili rais Afrika kwa sasa. Madikteta wenzake Afrika mashariki Yoweri Museveni wa Uganda na Kagame wa Rwanda kwa sasa hawamfikii Samia kwa ukandamizaji wa wapinzani wake wa kisiasa. Mpinzani wake wa chama kikuu cha...
  7. JamiiForums Tanzania Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mwakani

    Huku CHADEMA vs CCM, Kule Ibraah vs Harmonize, wadaku huu ni muda wa kujilia vyenu, nina hakika mapipa yenu yatajaa habari za kuwafikisha mpaka mwakani Ebana Ibraah anadai kidogo Harmonize ambutue na mkonge wake alipomuita Chumbani
  8. JamiiForums Tanzania Hata CHADEMA wakichukua nchi bado wapinzani wataendelea kutekwa na kupotea. Wapinzani sio lazima wawe CHADEMA hata CCM ni wapinzani kwa CHADEMA

    Nimeona kada wa chadema singida akipigwa na kupoteza fahamu ndani ya kikao Cha ndani Cha chadema, na wanaompiga wanasikika wakisema huyu ni team Mbowe huyu mshughulikieni !! Sijajua kama CHADEMA wakichukua nchi watu wataacha kupotea! Maana najua kwa Sasa ndani ya CHADEMA kuna wapinzani...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zaidi ya Wanachama 100 wa Chadema Wajiunga na CCM Arusha

    Wanachama zaidi ya mia moja wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kutoka kata za Engutoto na Lemara Jijini Arusha, wamepokelewa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi kwenye Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo unaofanyika leo kwenye Viwanja vya soko kuu Jijini...
  10. JamiiForums Tanzania Ila hawa watu (CCM) wanashawishi, yaani utajikuta unachukua Kadi bila kulazimishwa

    Jamani tuache utani, hawa watu (CCM) wanashawishi, hebu tazama hii picha;👇 yaani utajikuta unawapost tu kwasababu ndogo ndogo. Unajua kizuri kinajiuza...hebu nisiandike sana tazama hii picha inavyoshawishi kuchukua kadi, unaweza kujikuta unaiprint na kuiweka sebuleni👇
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CCM Sengerema awachana Chadema kuna mgogoro ndani ya chama hicho

    Katibu wa CCM Wilaya ya Sengerema, Rashid Semindu amewachana wapinzani hususan Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kueleza kuwa kuna mgogoro ndani ya chama hicho. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  12. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Au wote tuhamie chama tawala?

    Nachoka kuwaza. Sasa nimeanza kuona giza… giza nene. Sio la usiku. Hapana. Ni giza la maisha. Giza la matumaini yaliyooza kabla hayajachanua. Giza la haki iliyonyongwa hadharani huku waliopaswa kulia wakishangilia. Moyo wangu huwaka moto wa huzuni kila ninapotazama mwenendo wa siasa zetu. Moto...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Tunahitajiana CCM bila upinzani thabiti haiwezi kuwa bora. Yafaa nini CCM ikishinda vita hii halafu wakafa watanzania wengi?

    Wasalaam wana JF wote. Chama cha Mapinduzi (CCM) kina kila sababu ya kubadili mbinu za kivita. Kama tetesi zinavyoenea kwamba kuna utekaji,kuumizana,kubambikiana kesi,kuuwawa nk mbinu hizi zote ni kwa minajili ya kusalia madarakani ,kwa mtazamo wangu ni liability kwa chama na taifa kuliko...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kua kwa mara ya kwanza, Dola na CCM ndio wamepata upinzani wa kweli

    Wakuu, Toka Uhuru, japo majaribio Kadhaa ya kumpindua Nyerere yalitokea, baada ya ujio wa Vyama vingi , CCM ilikua imezoea kua na Upinzani Uchwara tu, unaahidiwa kugombea Urais, ukikosa, wanakuteua U-RC. Wakati mwingine unamwagiwa Pesa tu basi. Kwa Ufupi hapakuwahi kutokea UPINZANI unaoitaka...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aibu yao CCM: Pamoja na figisu zote CHADEMA yazidi kukubaliwa na Wananchi kiwango cha kutisha

    Nawaonea huruma sana CCM. Wamelipa mamluki wao kujaribu kuleta kashkash Chadema ili Wananchi waone chama kimekufa wapi? Wananchi ndo wanazidi kuipenda Chadema zaidi ya jana. Wamemkamata Kiongozi Mkuu wa Chadema na kumuweka ndani, kutegemea Watanzania watarudi nyuma kuipenda Chadema ila wapi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanarumbana CCM wanachekelea Watanzania wanaumia, ni nani mtetezi wa kweli wa Watanzania?

    Nchi ipo katikakati ya majonzi. Viongozi wa dini wanavamiwa, wanataka kuuwawa wengine wanatishiwa maisha Wanaharakati wanateswa, wanapotezwa na wengine wanatupwa jera kinachobaki ni familia kuwalilia wasijue watanyamanza lini Katika katika ya majonzi mkuu wa jumba linalokusanya wawakilishi wa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kujenga 'Flyover' Tabata, Morocco, Mwenge, Magomeni kama Ilani ya CCM-2020/2025 ilivyoeleza umefikia wapi?

    Ili kupunguza changamoto ya foleni katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) 2020-2025 ilieleza kwamba itaanza/ kukamilisha barabara za juu (flyovers) kwenye makutano ya barabara mbalimbali. Baadhi ya maeneo yaliyoanishwa kwenye Ilani hiyo, makutano ya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Mnadhani CCM iliingia madarakani kwa kusonyana na kusuta a Kama wafanyavyo CHADEMA?

    Kila siku wakiamka ni mwendo wa kunyosheana vidole... Huyu kanunuliwa, yule katumwa, huyu mamruki, Yale namna GANI huyu namna Ile. Hivi watu emwa hii Tanzania wanadhani kuchukua nchi ni lelemama Sana ??? WanaCHADEMA wanaodhani upinzani unaposhinda pale Kenya, south, Zambia na nchi zingine...
  19. A

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tazama kimbunga cha No reforms no election Geita, Wenje aseme ahami chama, CCM hoi

    No reforms no election, leo ilikuwa mjini Katoro Geita, maelfu ya wananchi waiunga mkono. https://x.com/MariaSTsehai/status/1921221068045324414?t=vS8C8M6SsX_Rf2j8nb4cfQ&s=19 Wenje asema yeye ahami chama bado yupo chadema kupigania mageuzi...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CCM: Rais Samia mwachie Tundu Lissu (Msingida) inatia doa uongozi wako bora

    Mtazameni na msikilizeni huyu kada wa CCM kisha tia neno unapata ujumbe gani kupitia kwake kuhusu kesi ya Tundu Lissu.... Anamtaka Mwenyekiti wake taifa - CCM, Bi Samia Suluhu Hassan kumwachia Tundu Lissu kwa sbb eti "..inatia doa uongozi wake bora..!!" Kwa wajuvi wa mambo ya propaganda za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…