ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana: Kwani CCM, CHADEMA imewakosea nini kikubwa

    Ni wazi na ni dhahiri mtajivua uwajibikaji na ushiriki kwenye kuihujumu CHADEMA.. lakini sasa ni too much hata viziwi na vipofu wanajua Je mwamko mkubwa wa tonetone Je ni moto mkali wa NO REFORMS NO ELECTION? Je ni nyomi zinazozidi kufurisha viwanja kwenye mikutano ya hadhara? Case study Dodoma...
  2. JamiiForums Tanzania Nilidhani CCM wameimaliza CHADEMA baada ya CHAUMMA kupata ufadhili kumbe bado wanaiogopa CHADEMA

    Kama CCM haina hofu na CHADEMA hii vuta ni kuvute dhidi ya CHADEMA tusingeiona. Mission CHAUMMA imefeli na sasa hivi hii sio CHAGADEMA ni CHADEMA. Kama huna hofu na mtu asiye lolote kwa nini uhangaike? Mara kamatakamata, mara muwapige mawe. Operation Chaumma imefeli.
  3. JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

    Hamjambo Wote! Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji. Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu. CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yasepa na kijiji Kigoma Kusini, nyomi lake lawashtua CHADEMA, ACT na CCM

    Wakuu Ni muendelezo wa C4C ya CHAUMMA na muitikio umekua mkubwa Pengine sera zao za ubwabwa zinavuta wananchi uchaguzi wa October 2025 ==== Mapokezi ya Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa Mh. Wakili Msomi Hashim Rungwe kwenye eneo la Sunuka, Jimbo la Kigoma Kusini ambapo ameambatana na Makamu Bara...
  5. JamiiForums Tanzania CCM Mbeya yatoa Rambirambi kwa Familia 28 zilizopoteza wapendwa katika Ajali ya Barabarani

    Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Mbeya kimetoa rambirambi yake kwa familia 28 zilizoondokewa na ndugu kufuatia ajali ya magari iliyotokea siku ya Jumamosi usiku. Soma: Watu 28 wafariki kwenye mteremko wa Mbalizi, mkoani Mbeya, wengine 9 wajeruhiwa Akiongea na wafiwa kwa niaba ya Mwenyekiti wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Nyie vyama "uchwara", akina ACT et al kama CCM wanafanya fujo kama leo kwenye mkutano, Je kwenye kupiga kura? Zitahesabiwa? Utatangazwa?

    ACT et al, tazama kilichotokea watu waliotumwana system... CHADEMA TAKE NOTE; Nawaza tu, nawaza tu, nawaza tu....Kitakachofuata ni kumpiga Heche risasi wakasingizia kuwa hawajui nani alipiga risasi maana polisi hawatakuwepo kama ilivyokuwa leo! Erythrocyte Ni kuchukua tahadhali tu!
  7. JamiiForums Tanzania Wanasiasa ndo wenye msemo wa mwisho,,, Injinia na Arafat wanawaza Ubunge huku watu wanasema hatuchezi

  8. JamiiForums Tanzania Mliopo Dar tafadhali tuambieni 'Mtume Mwamposa' kanisa lake sasa lipo wapi baada ya kuhama pale lilipokuwa Kawe?

    Je, kahamia pale jirani na Shule ya Feza / nyuma ya Shule ya Upili (Secondary) ya Ukwamani ambapo alipewa eneo au?
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama Cha mapinduzi CCM kitashinda Uchaguzi Mkuu 2025 Kwa kishindo

    Licha ya upinzani mkubwa wa sera na mipango mikubwa ya Chadema ni wazi CCM ni mshindi mpaka sasa Kwa sababu hawa Chadema wenye wafuasi wengi hawatashiriki uchaguzi. CCM Wana Hela za kutosha hawana tone Kwa tone, Wana vyombo vya ulinzi Wana watumishi wa Umma kama walimu ambao wao Kila kitu...
  10. JamiiForums Tanzania Yanga sc ina viongozi ambao ni wanachama wa CCM, wanaunga mkono uchaguzi bila marekebisho ya kikatiba, lakini wanadai reforms kwenye bodi ya ligi

    Wakati mwingine watu sijui wanatuchukuliaje, 100% ya viongozi wa Yanga ni CCM kindakindaki, wako tayari kushiriki uchaguzi mkuu bila marekebisho ya kikatiba , wako tayari kuona watu wakiendelea kuuawa katika ardhi hii ya Tanzania, lakini cha ajabu wanadai reforms kwenye muundo wa uendeshwaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe Viongozi Yanga Wanatumika Kupoteza Ari ya Upinzani Dhidi ya CCM?

    Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION? Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao. Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi mashehe wanaoitetea serikali ya CCM hawachanganyi dini na siasa?

    Kumezuka magenge ya mashehe wanaojifanya kuitetea serikali hata pale wanapopaswa kulaani. Je hawachanganyi dini na siasa au kufanya hivyo ni pale wanapojitokeza wanaoipinga? Je huu siyo unafiki na undumila kuwili? Je viongozi wa dini wanapomwalika rais au waziri mkuu kuhudhuria mambo yao...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitaahirisha uchaguzi ng'o

    CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitaahirisha uchaguzi ng'o kwa sababu kiliomba ridhaa ya kuongoza nchi kwa miaka mitano na kimeongoza vizuri kwa kuleta maendeleo chini ya serikali iliyoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan Hayo yameelezwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uongo wa Kizamani unaotumiwa na CCM kujaribu kuwadanganya wapiga kura ambao wengi walizaliwa 1990-2007

    Zamani CCM ilikuwa inatumia watu wa vijijini wasio na elimu na uwezo wa kuhoji wala kujaji chochote, walikuwa wakiaminisha watu kuwa bila wao CCM basi Tanzania haitakuwa na Amani, Na ninashangaa kwa kutumia wazee wa zamani , bado wanaendelea kutumia staili na propaganda za zamani ambazo ni...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Bwege: Walinipa kesi ya uongo kuwa mimi nataka niwaue viongozi wa serikali na CCM Mahakama ikatupilia mbali

    Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kilwa Kusini Mhe. Selemani Bungara (Bwege) akielezea maisha yake akiwa Bungeni na nje ya Bunge na hata kwenye kipindi hiki akiwa mpinzani.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nia Ya CCM Katiba iliyopo na NEC Mbovu ni kutawala milele, watoto wao na vitukuu viendelee kuongoza nchi, na kula pesa, hakuna uzalendo

    Natoa hoja nyepesi , lakini kama kuna ukweli juu ya hoja hizi. Nimekaa nimejiuliza nini mantiki ya CCM kuwa na katiba mbovu na utaratibu ,mbovu wa Uchaguzi, je toka wamekabidhiwa nchi na wakoloni inamaana ni kama walipewa hii nchi milele, na kwamba Nchii hii ni mali ya chama cha CCM na Familia...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA adui yenu ni CCM au CHADEMA? mmesahau kama mmeahidi kuiondoa CCM lakini kutwa ni CHADEMA, mmekula pesa ngapi?

    Wakuu CHAUMMA ni chama cha upinzani ambacho viongozi wake wengi wa sasa ni wale walioamua kuyasaliti mapambano kupitia CHADEMA. Ni kama usaliti wao umekuwa jumlajumla kiasi cha kutwa kuijadili na kuishambulia CHADEMA yenye kupambania masuala ya kitaifa ambaye wote adui yao mkuu ni CCM...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini CCM Audiences Wake Walio Wengi Ni Vijana Wasio na Uelekeo wa Kimaisha na watu maskini na wasiojua kesho yao

    Katika siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinakabiliwa na maswali mengi kuhusu hadhira yake na jinsi inavyoshughulikia masuala ya kijamii. Ni dhahiri kwamba vijana wengi, hasa wale wasio na uelekeo wa kimaisha, pamoja na makundi ya watu maskini, ndio wanaoonekana mara nyingi katika...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aliwahi kutoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuungana na CHADEMA, unadhani ni kwanini vyama vyote vya siasa vilipuuza wito huo wa lissu?

    Je, walijitathimini vizuri, wakagindua na wakaona mbali na hatimae wakajiepusha na anguko la vyama vyao kama ilivyoangukia pua Chadema chini ya ungozi wa Tundu Lisu mwenyewe? Au ni kwasasababu uropokaji, kukosa maono kwa Lisu, kukosa hekima na busara kwa huyo mtoa wito asie aminika na mwenye...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mlio karibu na Mwigulu Nchemba mfikishieni ujumbe wake; Propaganda zake mfu aishie kuwalisha wasiojielewa huko UVCCM

    Leo jioni Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amepost propaganda mfu wanazozitengeneza huko CCM kuwakebehi na kuwajengea picha mbaya Wanamageuzi wa kweli wa Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema eti wasiaminiwe kwa sababu familia zao zipo nje ya Tanzania. Napenda kutumia jukwaa hili kumwambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…