ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 CCM walilazimika kuingiza cdm kwa nguvu bungeni ili kuweka sawa mahesabu na mabeberu, 2025 mahesabu yanaanziwa mbali kwa G55?

    Najaribu kufikiria tu serikali haichukulii kiwepesi suala la MABEBERU si kama wanavyo tuaminisha kwamba sisi ni nchi huru! Tatizo ni kwamba Hila nyingi hufanywa ili kuridhisha MABEBERU kwamba Demokrasia ipo safi jambo ambalo halisaidii nchi! Kwanini CDM hawatakiwi kupatiwa kilicho haki yao hadi...
  3. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Susan Lyimo: Jambo pekee ambalo CCM wamebaki nalo ni kukimbiza mwenge mchana, wanadai unaleta amani basi waupeleke Congo

    Susan Lyimo Mwenyekiti wa BAZECHA amesema kuwa jambo pekee ambalo CCM wamebakiwa nalo ni kukimbiza mwenge mchana huku wakidai unaleta amani basi waupeleke Congo ukalete amani huko. Aidha amewataka wanaoitwa mabalozi huko vijijini huku wakiwa na bendera za CCM juu ya nyumba zao kuukuu...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa IDU waazimia kwa pamoja, Tundu Lissu aachiwe mara Moja. Mke wa Lissu ahutubia

    CCM na Genge lake, walikaa Wakaona wamkamate Naibu Katibu Mkuu, ili ashindee kutoa Hotuba kwenye Mkutano wa IDU Nchini Ubelgiji. ( Unaweza jiuliza Mkuu, Hivi CCM na Genge lake hamna mwenye Akili, yaan Kwa Dunia ya Leo, unamkwamisha MTU safari ili asipate fursa ya kufikisha mawazo na Maoni ?)...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM tambueni ya kuwa CHADEMA ni joka kubwa lenye vichwa vingi.. Ukikata kimoja vinachipua vingine

    Kuna ujinga mkubwa sana unafanywa na ccm kwa kutumia kodi zetu kutaka kukidhoofidha na kukiua kabisa CHADEMA Hawa waliobuni hii project sijui ni akina nani huko ccm Hivi kweli mpaka Leo ccm inashindwa kujua kwamba CHADEMA sio TLP? CHADEMA sio CUF? CHADEMA sio NCCR- MAGEUZI? Wanadhani na...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Sangu, kielelezo Cha ma CCM na Dola, katika Utawala wa Sheria, alipaswa kua tayari Kaondoshwa kwenye Uwaziri

    Moja ya matatizo yalozaliwa na CCM na Dola ni Viongozi kua Miungu watu. Kwa Fikra za huyu Naibu Waziri , Anayejiita TISS, Kitengo Cha kumlinda Rais, Sijui nayeye anahusika kwenye kupitisha Wagombea, mara yeye ni Mafia, mara atawapoteza washindan wake , ni kielelezo tosha Cha namna gan tuna...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri Deus Sangu: Mimi ni mafia, nitawashughulikia wanaotaka kugombea jimbo la Kwela

    Mbunge wa Jimbo la Kwela, Deus Sangu, ametangaza hadharani kuwa yuko tayari kutumia mbinu kali kushughulikia watakaothubutu kugombea ubunge katika jimbo hilo. Aidha, ametishia kuwashambulia na kuwaumiza watu wanaochapisha taarifa kumhusu kwenye mitandao ya kijamii. Katika kauli zake, Sangu...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya kurudia kumsikiliza Askofu Gwajima , nadhani kuna siku WanaCCM watashangaa na kuyakataa yanayofanywa na CCM

    Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu nchi . https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=GtfXB0S5pr4kfI6P...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CHADEMA Bariadi na wengine 83 wajiunga na CCM

    Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Bwana Charles Nduhi Lyaganda amejiunga na Chama Cha Mapinduzi CCM akiambatana na Wanachama wengine 83 wa Chama hicho. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa Kadi ya CCM, Lyaganda amewaambia wananchi kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti UWT Njombe asema watailinda CCM kwa gharama yoyote ile kama Simba na Yanga

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa wa Njombe, Dkt. Scholastika Kevela, amewataka wanawake kote mkoani humo kujiandaa kwa uchaguzi mkuu ujao, akisisitiza kuwa chini ya serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuna atakayeweza kuvuruga mchakato wa uchaguzi. Dkt. Kevela...
  11. JamiiForums Tanzania Msomi Unapataje Muda wa Kulumbana na Wanasiasa? Heche Yuko Sahihi. Tunazalisha Mabingwa wa Kukariri

    Kauli ya makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche, kuhusu mfumo wa elimu wa Tanzania kuzalisha "mabingwa wa kukariri" badala ya wasomi halisi ni ukweli usiyo namashaka. Vijana machawa walijikusanya na kutoa majibu kwa kauli hiyo, wakidai kuwa amekosea na kuidhalilisha Elimu ya Tanganyika. Na...
  12. JamiiForums Tanzania Lissu Anaingia Kwa Moto – This Time CCM You Ain’t Ready for This Smoke!

    Hii game ya 2025 siyo ya kitoto tena. Lissu siyo tu mgombea, ni revolution on two legs. Jamaa amepitia risasi 16 na bado yuko kwenye ground anapigania haki – y’all can’t kill that kind of spirit! Kumkamata Lissu sio weakness, ni kumpa nguvu ya tsunami. Mnamsukuma moja kwa moja kwenye moyo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ni wazi sasa CCM mnajulikana kama wanavyo julikana nchi zilizoshindwa nchi kidemokrasia

    Ccm wanazani kuwa habari zao zipo ndani hapa TZ. Nchi nyingi zishajua kuwa hapa TZ hakuna la maana. Washatujua kuwa CCM ni genge la wahuni na wajinga. Tukicheka congo,sudani na kwengine basi na sisi tunachekwa kwa mengi
  14. JamiiForums Tanzania Majibu ya CHATGPT : Kwanini Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA?

    Swali lako linaelekea kwenye mada nyeti ya kisiasa nchini Tanzania, na linahitaji kutazamwa kwa umakini, kwa kuzingatia ukweli, muktadha wa kihistoria, na mitazamo tofauti. Kwa nini watu wengine wanasema Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inaipendelea CCM na kukihujumu CHADEMA? Hapa kuna sababu...
  15. JamiiForums Tanzania Watakaopitishwa na CCM ndio watakua Wabunge, Kura ya Mwananchi kiini macho!

    1. Ndugu Mgombea, pambana (kwa fedha na kijadi-UCHAWI) upitishwe kwenye Chama. 2. Mengine ni kukamilisha ratiba tu. 3. Kura za Wazalendo aka Wanyonge ni kiini macho tu. Asanteni.
  16. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mzee Wassira?

    Sio kawaida yake Mzee Tyson kukaa kimya nyakati ngumu kama hizi, asingekubali Vijana akina Mnyika, Lema na Heche wasumbue Kiasi hiki, angejitokeza na kujibu mapigo. Je nini kimemsibu? Yupo kweli? Au "yupo"?? Jitokeze Mzeee uokoe jahazi Hali ni mbaya Sana
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 MwanaCCM: Mashoga wamezidi na ndani ya chama wapo. Tutasimama vipi kwenye majukwaa kuomba kura?

    Huyu bidada mwanaccm akilalamika uwepo wa Mashoga ndani ya Chama. Kuwa wamezidi kipimo kwa sasa ni wengi. Na haumi umi maneno. Anaongea kwa kujiamini kabisa suala hili ambalo kwa ccm ni la kawaida sana. Pia soma > Waitara ataka Wabunge wapimwe Ushoga kabla ya kuingia Bungeni
  18. JamiiForums Tanzania CCM na project mfu zilizochanganyikiwa

    Siku hizi kuna press conference karibia kila siku za mikoa mbalimbali za viongozi wa CHADEMA mikoani kukikimbia chama cha CHADEMA... Jamani hata kama chama hakipendwi mbona huu utaratibu umenyooka sana na uko so systimastically!? Yaani unaona kabisa ni script za kuandaliwa😂😂😂 Halafu sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Fahamu kwa undani vita kati ya CHADEMA vs CCM

    Mambo yanayondelea CHADEMA inawezekana yakaonekana mageni machoni mwa watu wengi CHADEMA ina vita mbili, vita ya kwanza kati ya CDM ya sasa na iliyopita CDM ya sasa imeshindwa kuvaana na iliyopita nadhani sababu kubwa ni maslahi ya Chama na Nchi Vita hii ingeweza kuisha kwa njia tatu, ya...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tuburudike kidogo: Kwa hakika CCM hawana Furaha, CHADEMA ni wanyonge ila wana furaha

    Tuburudike kidogo na Video hii, Kwa Hakika CCM hawana Furaha ,Licha ya CHADEMA Kuwa wanyonge ila wanafuraha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…