ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yasitisha ziara zake kupisha mchakato wa ndani wa kuwapata wagombea kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba 2025

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) CPA Amos Makalla amesema kuwa chama hicho kimesitisha ziara za viongozi wake mbalimbali ili kupisha mchakato wa ndani wa CCM wa kuwapata wagombea wa nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makala wagombea CCM kuanza kuchukua fomu tarehe 28 June, kwahiyo CCM Zanzibar wametengwa?

    Amos Makala gwiji la siasa na mbobezi wa magonjwa ya M- pox na Ebola amesema wagombea wa CCM wataanza kuchukua fomu tarehe 28 June baada ya raisi kulivunja bunge. Uku kwetu Zanzibar Raisi Mwinyi atalivunja Baraza la wawakilishi August 13. Kwa maana iyo uchaguzi ndani ya CCM Zanzibar utaanza...
  3. JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: CCM hatukati Mgombea ila tunateua wachache kati ya wengi

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira amesema kazi iliyobaki baada ya kuvunja Bunge ni kuendesha taratibu za namna ya kupata wagombea ubunge na kwamba Chama hicho hakitaka mgombea ila kitateua mmoja kati ya wengi. Wasira ameyasema hayo Juni 24,2025 alipokuwa akizungumza...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mohamed Kawaida: Vyama 18 vipo tayari kushiriki uchaguzi, tuchague viongozi wanaotoka CCM, October tunatiki

    Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesema kuwa vyama 18 kati ya 19 vya siasa vimeridhia kushiriki Uchaguzi ifikapo Oktoba 2025 ambapo ametaka Chama Cha Mapinduzi kuwa miongoni mwa vyama hivyo Aidha, ameongezea kwa kusema `sauti ya wengi ni sauti ya Mungu' huku akihusianisha...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: CCM itateua wagombea ubunge, sio kuwakata

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakitakuwa na utaratibu wa kuwakata wagombea bali kitateua wale wanaofaa kwa mujibu wa vigezo na taratibu za chama. Akizungumza Juni 24, 2025 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Stendi ya Zamani, Wasira...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kushangilia kupewa baiskeli ni dalili kuwa watanzania tumetopea kwenye umaskini!

    Ukiona mtu anaona kuwa kupewa baiskeli ni ukombozi wa maisha yake magumu, ujue jamii aliyomo ni maskini sana. Kuna wakati ada ya shilingi 20,000 na 70,000 kwenye shule za kutwa na bweni za Serikali ilipoondolewa na nchi nzima kulipuka kwa furaha, nilishangaa Sana. Leo hii tena CCM nchi nzima...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watia nia ya ubunge kupitia CCM kila mtia nia aende agombee kwenye jimbo alikozaliwa

    Naona wengi wa watia nia kupitia CCM wamerukia kwenye majimbo ambayo siyo asili yao walikozaliwa. Kuna mmoja 2020 alitia nia kwenye Jimbo fulani akashindwa kwenye kura ya maoni. Mwaka huu pia nimeona amerukia Jimbo fulani kupitia CCM. Nawashauri wajumbe wa majimbo hayo kupitia CCM wakataeni...
  8. M

    JamiiForums Tanzania CCM inajiandaa kukabiliana na mbwa waliyemfuga kwa kumnyima uhuru kwa kumweka bandani kiasi cha hata kwenda haja, wamemkadiria masaa

    Mbwa aliye huru ni rafiki wa kila mtu, labda umchokoze Mbwa aliyefungwa na kutiwa minyororo bandani, hana rafiki, hata anayempa chakula, siku atakapojua haki zake, atamtia majeraha, atamchapa meno mpaka boss wake Ndicho sisiem walichowafanya Watanzania, waliwafungia bandani miaka mingi huku...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ameeingia ktk 18 za CCM

    Nasikia anaenda kugombea ubunge Kupitia Act wazalendo temeke. Nategemea atapewa na tume ya uchaguzi kura 50 ktk kura elfu 24 za mgombea wa ccm. Huu ndio utakuwa mwisho wa ushawishi wake Tanzania. Kabla ya hapo nguvu ya Ponda ilikua kubwa si kwa waislam nje ya Bakwata lkn hata ktk kupigania haki.
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  11. JamiiForums Tanzania Kitila: Anayepinga "Watanzania wengi wanaiunga CCM" apinge kwa utafiti sio kwa hasira

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakiingii kwenye Uchaguzi bila utafiti na Utafiti umeonesha Watanzania wengi wanaunga mkono Serikali ya CCM na hali ni mazuri sana. Amesema hayo Bungeni leo Juni 24, 2025.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eric Shigongo kwa wananchi: Niliwaahidi Tshirt, nimeleta sijaleta?

    Wakuu, Yaani hawa wananchi wa Buchosa akili zao zinatakiwa kupigwa window kabisa, maana ni aibu sana kuambiwa maneno kama hayo na Mbunge alafu ukakaa chini ukasikiliza. Uko Marekani watu wapo busy kuwaahidi wananchi mambo ya Space Force na kwenda Mars, Mbunge anajitokeza anawaahidi wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania CCM ni matokeo ya muungano wa hiyari na wa kizalendo baina ya vyama vya upinzani nchini

    Uimara na umadhubuti wa CCM ya leo, ni matokeo ya muungano wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, vya ASP na TANU. Hii ikimaanisha , katika siasa za Tanzania, hakuna namna upinzani ulioparaganyika kama ulivyo sasa, kuutikisa umadhubuti wa upinzani uliounganika vizuri sana na kuzaa CCM. Ni...
  14. JamiiForums Tanzania CCM ni mfumo,mfumo unajengwa kwa zaidi ya Miaka 50..upinzani anzeni chini msikabie juu

    CCM bado itakaa madarakani kwa Miaka mingine zaidi ya 50 kwa sababu ya mfumo uliosukwa.imagine kuna kipindi kile chama kimoja siasa mpka jeshini wanajeshi wakiimba kidumu chama cha mapinduzi kidumu. Cha Kufanya sasa kwa mfano chadema wangejiwekea malengo ya muda mrefu kama ifuatavyo...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna Chama kipo Kigoma tu alafu kimekuja na slogan ya Oktoba Linda Kura. CCM wamewapelekea IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa. Aibu yao!!

    Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni hii. Walichosahau hawa wanasiasa maslahi/ madalali ni kuwa CCM ni kama vampire ambaye damu kwake ni...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    1. Askofu Josephat Gwajima- Kawe 2. Luhaga Mpina- Kisesa 3. Mrisho Gambo- Arusha Mjini 4. Prof. Ndakidemi- Moshi Vijijini 5. Dr Charles Kimei - Vunjo 6. Mwita waitara - Tarime Vijijini 7. Priscus Tarimo - Moshi Mjini 8. Godwin Mollel - Siha 9. January Makamba - Bumbuli
  17. JamiiForums Tanzania Dr Wilbroad P. Slaa: Afichua mpango wa siri CCM kuitaka CHADEMA iandae wagombea uchaguzi mkuu 2025

    https://youtu.be/DzhhwThYJOY?si=IRsW6tOKSbFXAH_f Very unfortunately kuwa, wanasema haya wakati kwa mlango wa nyuma wanawatesa CHADEMA walio kinyume na mawazo yao maovu.... Mfano; CCM wanawezaje kuwa na hoja ya namna hii wakati Mwenyekiti wa chama kikubwa CHADEMA, mshindani mkuu wa chama...
  18. JamiiForums Tanzania CCM na DOLA hawakuwahi na Hawana mbinu yoyote ya Kukabiliana na Taifa la Vijana wenye Elimu !! Mtaji wao ulikuwa ni Ujinga wa watanzania

    Wee hushangai kwann mpaka Leo Wakisimama gia yao ni Amani, CHADEMA wanataka kuleta Vita, wanataka kuleta Ushoga?, Unamsikia Wasira anasema Vijana hamjui Nchi ilikotoka, Mkoloni anatupa uhuru Nchi ilikua na Daktari Mmoja. Unaweza jiuliza, haya yanaongelewa na MTU Mzee mwenye miaka 88?? Yaan...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu mwenezi wa CCM Arusha: Gambo Aulizwe mke wake ni nani ndani wajumbe wa CCM

    Baada ya katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha kuulizwa kuhusiana na hela ambazo mke wa mbunge wa Arusha mjini mrisho Gambo alizigawa kwa wajumbe wa CCM akiwepo katibu mwenezi ndani ya kikao hicho Na mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo aligawa gesi na mke wake alitoa kama elfutano ya nauli ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa deni la Taifa lilipofikia, CCM Wakilazimisha kufanya Uchaguzi bila Reforms, Kati ya 2026-2029 Tanzania inaanguka kiuchumi rasmi

    Kwa sasa nchi yetu inakusanya takribani Trilioni 2.0- 2.7 kwenye makusanyo yake ya kila mwezi kwa mujibu wa takwimu za TRA. Wakati huo huo deni la Taifa limefikia Trilioni 107 plus interest hivyo kupelekea kila mwezi nchi yetu kutakiwa kulipa kiasi cha Trilioni 1.4 mpaka 1.7 kulipia deni la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…