ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Piga picha nini Msajili wa vyama angeifanyia CHADEMA kama ingepitisha mgombea Urais kwa mwendokasi bila kutoa fursa kwa wanachama wengine?

    PIGA PICHA NINI MSAJILI ANGEIFANYIA CHADEMA KAMA INGEPITISHA MGOMBEA URAS KWA MWENDOKASI BILA KUTOA FURSA KWA WANACHAMA WENGINE?
  2. JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi, Msajili wa vyama vya Siasa, ulipo huoni Aibu wee Mzee? Tazama CCM wanavyokuumbua , umegeuka kua Muhuni katika Tanzania ya Wasomi!!

    Ni kupitia Ofisi yako na Kesi za Uchwara Uchwara ,umeizuia CHADEMA kufanya Shughuli zake za Kisiasa Kwa sababu za kijinga kabisa. Lakini CCM wenyewe ,Kwa Sasa wamewaonyesha Watanzania kua, sio tu kukiuka Katiba yao ya Chama, wamekiuka Katiba ya TAIFA. Mzee Butiku kasema CCM wamekiuka, Mzee...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini kuikosoa CHADEMA inawezekana lakini CCM watu wanatishiwa?

    Kila siku ndugu na jamaa ya watu wanaoikosoa CCM wamekuwa wanatoa tahadhari kwa ndugu zao kuwa kuikosoa CCM si jambo salama. Lakini sijawahi kusikia mtu yeyote alipewa tahadhari na ndugu, jamaa na marafiki zake kuwa kuikosoa CHADEMA ni jambo la hatari. Nischoelewa ni kwa nini CCM inayosemwa...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM kwanza na taifa baadae ya Humphrey Polepole

    Na Dr Mutatis Mutandis Nimefuatilia kiukaribu sana sakata hili linalomhusu ndugu Humphrey Polepole nilichoking'amua ni kuwa ndugu Polepole (wa leo) kwake CCM ndiye mzaliwa wa kwanza na Taifa ni mtoto wa kuasili (adopted child). Kwa hiyo mapenzi yake, roho yake, liwazo lake ni CCM kwanza...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tume iko wapi kukibana CCM na mgombea wake ili kutengua uteuzi wake? Tume itende haki

    Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea vyama pinzani Tunapozungumza leo, Chadema imesimamishwa mikutano, luzuku na hata kiongozi yoyote...
  6. JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa kumwaga oil chafu kwa utaratibu wa CCM

    Kwa mujibu wa Polepole. Ni utaratibu wa CCM. Mimi ni CCM, Rais wangu Mama Samia, miaka kumi imetosha, baada ya Nyerere hakuna aliekaa Ikulu zaidi ya miaka 10
  7. JamiiForums Tanzania CCM anzisheni mchakato wa kutafuta mgombea wa urais ili waombaji watafute wadhamini mapema acheni kushupaza shingo.

    Huu ni ushauri tu maana imeandikwa kwenye "ashupaye shingo atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa" inatoka katika Biblia, hasa katika kitabu cha: "Mtu ashupaye shingo baada ya kukemewa mara nyingi, atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa." "Atavunjika ghafula" maana yake ni kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania Mwaka 2020: Hayati Magufuli alichukua fomu ya kuwania Urais ya CCM; kusaka wadhamini na kuidhinishwa

    Iko kwenye kumbukumbu, Hayati Magufuli alichukua fomu ya ndani ya CCM na kusaka wadhamini kabla ya kuidhinishwa na chama chake. Alipata wadhamini 1,023,911 katika mikoa aliyotafuta na kupata wadhamini hao. Kwakuwa alikuwa mwanachama pekee aliyechukua fomu ndani ya CCM kwa nafasi ya Urais...
  9. JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa ameandika kwenye mtandao wa X kuwa Wana CCM wanapitia wakati mgumu

  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole yuko sahihi kuhusu utaratibu CCM kukiukwa; Ilani ya uchaguzi ya CCM iko wapi, na ikiletwa Samia ataisimamia kwa kipindi kimoja tu akiwa rais?

    Nimetafakari kuhusu kauli za Polepole akihojiana na Generali Ulimwengu, na kuona Polepole yuko right kabisa. Kimsingi, Samia hakupaswa kabisa kuwa sehemu ya uchaguzi huu unaokuja kama mgombea uraisi. Raisi Samia (nasikia kwa ushauri wa JMK) alilazimisha awamu hii iitwe awamu ya sita ili...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi maarufu 'walioasi' na kuitikisa CCM

    Julai 13, 2025 aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchni Cuba, Humphrey Polepole alitangaa kujiuzulu nafasi hiyo na nafasi nyingine za utumishi umma Jumapili akitaja sababu kadhaa za kufikia uamuzi huo ambao haukutarajiwa na wengi. Sababu kuu alizotaja ni ukiukwaji wa taratibu za chama cha CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ndio chombo cha Juu zaidi Tanzania kinachoweza kubadili au kubatilisha matumizi ya katiba yake au hata katiba ya nchi

    Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu huo huo wa CCM taifa, ukajadili, ukaamua, ukaridhia mapendekezo ya wajumbe wa mkutano mkuu huo wa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini

    Badala ya kuongelea mabadiliko ya katiba kuongelea tamaduni ambazo ndizo zimeleta umasikini Polepole hatutaki tamaduni za CCM zimeleta umasikini mkubwa nchini. Watanzania wanataka maendeleo na mabadiliko ya katiba
  15. JamiiForums Tanzania Jamani naomba ufafanuzi juu ya hii hoja kuwa CCM walivunja katiba kwa kikuka ibara ya 38(2)(a).Je mgombea wao wa urais ni batili?

    Soma kwa makini ibara ya 38(2)(a)👇
  16. K

    JamiiForums Tanzania Makosa mawili ya rais Samia yanayotugharimu

    Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
  17. JamiiForums Tanzania Yawezekana huyu ni mmoja wa kundi kubwa la waloiteka CCM, apendekeza rais Samia azingatie wale waloishia darasa la Saba na kidato cha nne

    Jakaya Kazungu Bakari ambae ajiita ni kada wa CCM, bila shaka ni mzaramo wa kutoka Pwani. Mambo anoongea yamekosa hekima na nidhamu na jamaa amekaa kishari mno. Msikilizeni. https://www.youtube.com/watch?v=w_usBdo-JBs&t=607s Huyu bwana, amemtaka pamoja na mambo mengine balozi Humphrey...
  18. JamiiForums Tanzania Mambo yanayotokea katika vikao vya CCM hayakuhusu.

    Kama upon mtafaruku,CCM watafanya Press Conference watasema kwamba wameshindwa kuelewana. Ya nini kuleta tetesi na uvumi? CCM wameshamchagua mgonbea na Nchimbi amepigilia msumari jana anasema mgonbea wa CCM ni Samia Suluhu.
  19. JamiiForums Tanzania Kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa amejipitisha kuwa mgombea urais kwa mlango wa uani/jikoni? Na Msajili kajikalia kimyaaa kama hamna kilichotokea

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Hali hii ndugu zangu haitapita hivi hivi, hata kama mgombea ambaye amepitishwa na JK atapita hapo Oktoba. Hali hii itaendelea kukitafuna chama chetu na kuleta mgawanyiko mkubwa. USHAURI: Tufuate utaratibu wa watu kwenda kuchukua fomu, na kama tutakubaliana...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa nini John Heche amekuwa akirejea kauli kwamba akipiga simu moja tu CCM anapata uwaziri, kuna ujumbe uliojificha anautoa?

    Kwa tafsiri yangu, Heche ana contact person ndani ya CCM ambaye amemuhakikishia jambo fulani, na pia mtu huyo wa CCM contact (asset) wake ni Heche ndani ya Chadema. Hii inamfanya anatutambia kila wakati. Siku za karibuni palizuka tetesi kwamba Heche anatumia gari ya kigogo wa CCM katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…