ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Tundu Lissu aliwahi kusema chama chake ni CCM

  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna Mwana CCM alitaka kufungua shauri kupinga fomu moja ya uchaguzi wa kugombea rais CCM. Aliishia wapi?

    Mwenye taarifa atujuze Malisa atinga kortini kupinga Samia kuwa mgombea urais
  3. JamiiForums Tanzania CCM wameamua kutafuta kura kwa nguvu, yaani nchi nzima imepata zero 68 pekee?

    Sio poa, ziro 68 kwa zamani ilikuwa ni ziro ya shule mbili kubwa pekee lakini sasa hivi ni nchi nzima. Yaani kupata ziro unakuwa celebrity, maana mko wachache sana. Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Dr. Said Mohammed ametangaza matokeo ya kidago cha...
  4. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanzania 2025: Kwa nini watia nia wengi wanakimbilia CCM?

    Mbio za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zinazidi kushika kasi. Ni uchaguzi ambao Watanzania watamchagua rais wa Jamhuri ya Muugano, wabunge, madiwani na upande wa Zanzibar, watachagua rais, wawakilishi na nafasi sawa na za Tanzania bara. Huu ni uchaguzi wa saba tangu kurudi kwa mfumo wa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Arusha watolea ufafanuzi Diwani aliyedaiwa kuhonga Mchele na Sabuni ili apitishwe "Vikao vinaendelea"

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa ufafanuzi kuhusu madai yanayomkabili aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbureni, Faraja Maliaki, ambaye hivi karibuni ilisambaa video kwenye mitandao kijamii inayoonesha baadhi ya wanachama wa CCM kurudisha zawadi alizowapa wakidai kuwa ni rushwa ili...
  6. JamiiForums Tanzania Nimejiuliza sana. Inakuwaje Watanzania pamoja na hali duni namna hii bado wanaikubali CCM? au kuna janja huwa inafanyika?

    Sasa hivi kila mtanzania analia kuwa hali ni ngumu na maisha yapo duni kabisa. Mama ntilie wanalia, walimu wanalia, polisi wanalia, fundi ujenzi wanalia. Hali ngumu na maisha yapo hovyo. Chama ambacho hakijaweka misingi ya kuwakwamua kiuchumi wananchi wake, inakuwaje kinakubalika? Au huwa...
  7. JamiiForums Tanzania CCM imekosa Mvuto hadi imefika hatua inajipendekeza kwenye Mikusanyiko ya watu wengine

    GT CCM ina hali mbaya sana kwa kweli kinachoibeba hadi sasa ni kwamba watanzania siyo watu wa kudhubutu vinginevyo tungekuwa tuanongea mengine. Sasa unajua CCM ikiitisha mkutano.wa hadhara bila kubeba watu kwenye malori au.kuwahonga watu hela wahudhurie mkutano ni ngumu kuwapata, kwa mantiki...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndo silaha nne za CCM za kuitawala Tanzania

    Simba na Yanga - hii inatumika kupumbaza Watanzania Taasisi za dini Kama Mwamposa , Shekh kishiki , n.k Bodaboda - hii inajulikana kazi yake ni kuua Viloba na Sungura - hii inajulikana Kazi yake ni kuua uwezo wa Vijana kufikiri vizuri.
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM na jeshi la Polisi wamejizatiti kukabiliana na mabadiliko wakidhani sisi tunafanana na Wakenya niwaambie tu kuwa mabadiliko yanakuja

    Assalam alaykum Mie nimekuwa nafwatilia mtifuano wa wanaharakati wa mabadiliko haswa Chadema na jeshi la Polisi na vyombo vingine Huwa nashangaa sana CCM wanadhani kuwa mabadiliko yanaletwa na watu kuingia barabarani na kupambana na askari wao Hali hii inawaganya kuwa weka askari...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa: Watia nia wameanza kuchafuana, wanatuchafua mpaka viongozi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa, Fadhil Maganya, amesema baadhi ya watia nia wa nafasi mbalimbali ndani ya chama hicho, hasa ubunge, wamekuwa wakieneza tuhuma za uongo dhidi yake ili kujipatia nafasi hizo. Akizungumza katika mazishi ya Jackson Yuma, aliyekuwa Mwenyekiti wa Jumuiya...
  11. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga. Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Samia, ''Nitamteua Mpina Ubunge'', Pia Kikwete , "Samia atakapomaliza 2030". Je CCM imeshatangaza Rais kabla ya Uchaguzi?

    Kwa yanayoendelea naona kabisa Kuwa CCM imeamua kuwa Mungu. Kauli za Viongozi wa CCM Zinaleta sintofahamu, wanaongea Kauli za uchochezi na zinazoweza leta Mgongano, CCM inaongea as if Rais wa TANZANIA KWA 2025-2030 kama kwamba Ameshatangazwa kuwa ni Samia. Nasema hivi wazi wazi huu ni UJINGA na...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Mayeye: CCM wakae pembeni waone wapinzani watafanya nini

    Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Fedha katika chama hicho, Kiza Mayeye, amesema licha ya rutuba ya ardhi ya Tukuyu na mvua nyingi zinazonyesha kila mwaka, wananchi wa eneo hilo bado wanaishi katika umasikini mkubwa. Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Kada wa CCM na sheikh anayefurahia Watanzania watekwe na kuuwawa ili kulinda Amani ya nchi

    Ndio kusema hajui kama kuna Mahakama? Amependekiza watu wakatwe vichwa ili amani iendelee kuwepo 👇
  15. JamiiForums Tanzania Uhai wa TUNDU LISSU uko hatarini, Maneno ya Sheikh ya 'Kukata Kichwa MTU mmoja' Kwa kisingizii Cha Amani ni Taa Nyekundu !!

    Ninawaonya Ninawaonya Ninawaonya, TUNDU LISSU mlimpiga Risasi 16 Mwilin mwake ili kumuua.. HAKUFA . Majuzi, Viongozi mbalimbali Nje na Ndani ya Nchi, wameelezea Taarifa nyeti juu ya Mpango wa KUMUUA TUNDU LISSU KWA SUMU. Msivyokua na Akili, Leo mnatumia Sheikh wenu mpuuzi katika kusanyiko la...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia, Nakushauri (Mimi kama Mwana CCM Mwenzako) tuahirishe Uchaguzi ili Tufanye Mabadiliko ya Katiba na Sheria

    Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo; 1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana, 2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka, 3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nini Kimesababisha Watia nia ya Ubunge CCM kushuka kwa idadi kutoka 10,000 za Mwaka 2020 hadi 4,000 za mwaka huu?

    Walijitokeza 10,367 nafasi za majimbo 264, CCM mwaka 2020. Mwaka huu wamefika 4,109 pekee. Nini kimejili? Sababu zinaweza kuwa; 1. Kukosekana mvuto kwa CCM, 2. Rushwa kutamalaki, 3. Kanuni za kura za maoni kutokuwa rafiki kwa Watia nia, 4. Na kadhalika.
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenenzi wa CCM Dodoma akosoa wanaokejeli wasanii kugombea

    Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amewakosoa vikali watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa vyama vya upinzani kwa kutoa kauli za kejeli dhidi ya baadhi ya wagombea wa nafasi za ubunge na udiwani. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  19. JamiiForums Tanzania Kuitoa CCM madarakani ni ngumu sana kwa kweli,labda atokee Rais chizi tu atakaeamua kuwa against na wao

    Just imagine baadhi ya wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama wana kadi za CCM na ndio maana wanadiriki kugombea ubunge kwa ticket ya CCM wakuu wa mihinili ya nchi kama spika wa bunge na jaji mkuu nao kumbe ni wana CCM. Kwa kweli CCM ni ngumu kuitoa madarakani sababu wana back up kubwa sana.
  20. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wagombea 14 wa Ubunge Jimbo la Mpina utata mtupu, Meatu wazua utata kwa wana CCM

    Taarifa za CCM Mkoa wa Simiyu kuwa kuna wagombea 14 wa Ubunge Jimbo la Kisesa waliochukua fomu na Wagombea 13 jimbo la Meatu zimeibua sintofahamu kubwa na baadhi ya wanachama kudai kuwa wagombea ni wa mchongo ili kuvuruga mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama. Minong'ono imekuwa mikubwa baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…