ccm taifa

The Chama Cha Mapinduzi (CCM) presidential primaries, 2015 took place in July 2015 to determine CCM's nominee for the Presidency of Tanzania for the 2015 election. The Chama Cha Mapinduzi (Party of the Revolution) is the country's dominant ruling party, and the longest reigning ruling party in Africa.Incumbent president and 2010 nominee Jakaya Kikwete is ineligible for re-election due to term limits. He is looking forward to his retirement, and has described the presidency as being both "stressful and thankless". Kikwete, who also serves as the party's National Chairman, said that he was not backing anyone as his preferred and chosen successor.More than forty candidates (including 12 Cabinet Members) collected the nomination forms. On 12 July, Minister of Works John Magufuli was selected as the party's presidential nominee, and is most likely to win the presidential election.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Chipukizi CCM Taifa Isaac M. Nchemba amewaasa Watanzania kuipenda na kuilinda Tanzania

    Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Chipukizi CCM Taifa Ndg. Isaac M. Nchemba amewaasa Watanzania kuipenda na kuilinda nchi ya Tanzania kwakuwa kupitia upendo ndipo uzalendo wa kuijenga nchi kimaendeleo kwa mtu mmoja kunatokea pia amewaasa wazazi na walezi kuwaonjesha watoto tunu hiyo ya uzalendo kwa...
  2. M

    Chato: Wananchi hawamtaki Manunga awe mwenyekiti wa halmashauri. CCM Taifa wanalazimisha

    Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70. Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi. Kapembe ameahinda kwa kura nyingi. Kwa nini Manunga anapigiwa debe ?
  3. Roving Journalist

    PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Z2GEtzscmaY https://www.youtube.com/watch?v=2cTVOqAW2xg Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
  4. Just Pray

    GE2025 Ummy Mwalimu: Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani

    Na Ummy Mwalimu kutoka kwenye ukurasa wake mtandao wa Instagram Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH. ---- Ndugu zangu wanaTanga...
  5. Just Pray

    GE2025 Rais Samia akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma leo 23 Agosti, 2025

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika mkoani Dodoma tarehe 23 Agosti, 2025.
  6. GENTAMYCINE

    Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
  7. Waufukweni

    GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka." "Lakini hatutapokea...
  8. Tlaatlaah

    Kila la kheri vikao vya kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa.

    Kwa unyenyekevu mkubwa niko tayari kuupokea kwa mikono miwili uamuzi wenu thabiti kwa ustawi na maslahi mapana ya chama cha mapinduzi. Hakuna cha kupoteza. Asante sana wa jumbe wa mikutano mikuu ya CCM katika kata zote zaidi ya 17 katika Jimbo langu, kwa imani na mapenzi yenu makubwa mno kwangu...
  9. Tlaatlaah

    Mkutano Mkuu wa CCM Taifa ndio chombo cha Juu zaidi Tanzania kinachoweza kubadili au kubatilisha matumizi ya katiba yake au hata katiba ya nchi

    Na ndio maana mkutano mkuu maalumu wa CCM pale makao makuu Dodoma mapema mwaka huu2025, uliamua, ukaridhia na kuidhinisha mabadiliko ya katiba ya CCM bila tatizo lolote na vile vile mkutano mkuu huo huo wa CCM taifa, ukajadili, ukaamua, ukaridhia mapendekezo ya wajumbe wa mkutano mkuu huo wa...
  10. mkuuwakaya

    Kwamba Mwenyekiti wa CCM Taifa amejipitisha kuwa mgombea urais kwa mlango wa uani/jikoni? Na Msajili kajikalia kimyaaa kama hamna kilichotokea

    Kama kichwa cha mada kinavyojieleza. Hali hii ndugu zangu haitapita hivi hivi, hata kama mgombea ambaye amepitishwa na JK atapita hapo Oktoba. Hali hii itaendelea kukitafuna chama chetu na kuleta mgawanyiko mkubwa. USHAURI: Tufuate utaratibu wa watu kwenda kuchukua fomu, na kama tutakubaliana...
  11. DodomaTZ

    GE2025 Khamis Mgeja amvaa Balozi Polepole, amtaka awaombe radhi Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

    Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Khamis Mgeja amemshukia Balozi Hamphrey Polepole, akimtaka awaombe radhi wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kwa kauli aliyoitoa yenye lengo la kukivuruga chama. Mgeja alisema hayo tarehe 21 Julai 2025 wakati akitoa maoni yake kuhusu kauli ya...
  12. K

    Ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa

    Kwa heshima na taadhima , Nina ombi la kukutana na katibu Mkuu wa CCM au Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa lengo la kufikisha salamu zangu njema kwa Chama Cha Mapinduzi Natanguliza shukrani za dhati kwa atakayesaidia kunifanikishia suala hili. Kwa mawasiliano: 0715804254
  13. Mikael Aweda

    Sekta ya habari imevamiwa, ni aibu. Mwenezi wa CCM Taifa ameongea na mwandishi wa habari na kukaribisha maswali. Hakuna swali lolote kuhusu Polepole

    Nimeangalia mwanzo mwisho wa Press conference ya Katibu mwenezi wa CCM TAIFA na WAANDISHI wa HABARI. Alipomaliza kutoa taarifa yake alikaribisha maswali kutoka kwa WAANDISHI wa HABARI. Kilichonishtua ni kwamba hakuna swali LOLOTE kuhusu Pole pole kujiuzulu. Wala hakuna swali kuhusu Chadema...
  14. peno hasegawa

    Mbunge wa CCM wa Jimbo lililoko shule hii ,ninaomba Kamati Kuu ya CCM Taifa isimpitishe kugombea ubunge 2025-2030

    Angalieni hii video! Jimbo hili,Wanamdai Samia Suluhu Hassani bila kupepesa macho. CC: Prof Adolf Mkenda
  15. L

    Ungependekeza nani awe Katibu Mkuu wa CCM baada ya Dkt Nchimbi kuanza majukumu ya Ugombea Mwenza na hatimaye Umakamu wa Rais?

    Ndugu zangu Watanzania, Mpaka sasa kila mmoja wetu anafahamu ya Kuwa Mheshimiwa Balozi Daktari Emmanueli Nchimbi Ndiye Mgombea Mwenza Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Lakini pia Ni ukweli ulio wazi kuwa Balozi Dkt...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Makalla: CCM kuzindua Ilani mpya ya 2025–2030 na kufanya marekebisho ya Katiba katika Mkutano Mkuu Maalumu Mei 29–30

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha...
  17. Ojuolegbha

    Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025

    Karibuni Dodoma wajumbe wa mkutano mkuu maalumu wa CCM Taifa , 29-30 Mei 2025
  18. kagoshima

    CCM mjitafakari. Mnafanya ukatili na unyanyasaji hadi nchi za Magharibi wana intervene?

    Level ya ukatili wa ccm umesikika hadi ngambo. Level ya maovu mnayofanya taratibu inavuka redline. Mko bize kufunga, kubambikia kesi, kuiba uchaguzi, kuteka ,kupoteza, kuua mpaka kuwashitua inchi za ulaya? Mmefikia hatua ya kutoamini hata mhimili wa kutafsiri sheria (mahakama) mnajichukuria...
  19. peno hasegawa

    Maswali kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa, Kuhusu Sheria ya kuanza kwa utaratibu wa vitinmaalum CCM 2030

    Swali la Kwanza Kuna wabunge wa viti maalum waliokuwa madarakani kuanzia mwaka 2020 hadi 2025, na sasa wanatarajia kugombea tena. Ikiwa watashinda, watakuwa madarakani hadi mwaka 2030. Swali langu ni: Je, hawa wabunge wakichukua fomu kuomba kugombea mwaka 2030, watakuwa wanakubali sheria mpya...
  20. J

    PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
Back
Top Bottom