Jamaa mbwe mbwe zote zile na kuahidi atarudi kabla ya uchaguzi kutoa tamko lakini mpaka sasa ameufyata kimya.
Sasa tumueleweje? Je naye amelambishwa asali?
Kapewa onyo na wakubwa wake wa kazi?
Kabadili maamuzi kwa mapenzi yake?
Au alikuwa anatafuta umaarufu (attention seeker)?
Kwema?
Kwanini Captain Tesha alitoka mbele ya kadamnasi na kuzungumza mambo mazito vile huku akitaja baadhi ya wanasiasa kuwa wazuiliwe kukimbia nchi?
Kwanini Captain Tesha alionya polisi watakazuia waandamanaji kuwa watakuja kuulizwa hapo baadaye?
Lengo lake hasa la kutoka hadharani ni lipi...
Kwa wale wataalam wa ruti za Dar ukitoka Tazara, kuelekea Airport ya Mwalimu Nyerere, unakutana na kambi ya Jeshi la Anga (Airwing) kabla hujafika Mamlaka ya Anga pale Banana jamaa anaweza akawa yuko zake pale.
Serikali yetu inapenda kukana Tatizo kuwa halipo.
Ila wananchi wanataka mabadiliko na wasipoyapata kwenye amani watayatafuta kwenye mazingira tofauti
Jiulize wingi wa vyumba chakavu nchini na urahisi wa kupata 3D printers ulivo ongezeka.
Hapo chini ni silaha rahisi kutengenezeka
Salaam kwenu Wana great thinker.
Naomba niwashirikishe kwenye mijadala huu KIJASUSI zaidi kwasababu jamii forum ni hom of great thinkers,hatuchukulii jambo juu juu.
Wakuu,Jana,sote tunatambua alijitokeza mtu aliyejitambulisha kama afisa wa JW mwenye cheo Cha captain kwa jina anaitwa TESHA...
"Tumeanza kuona mwenendo na mtiririko wa viumbe wakiwa wanakuja mitandaoni na kuandaa maudhui ya kuvuruga amani yetu"
"Captain Tesha anajaribu kuleta nywinywi, na nywinywinywi"
"Anataka tufuate katiba, kwa nini tufuate katiba? Katiba ni kitabu tu"
"Eti analalamika kuwa tunaua wakosoaji. Ni...
Ana leanings kidogo towards Chadema. Slight leanings.
Lakini analysis yake ya hali ya siasa ni quite accurate.Anaongea mambo yale yale ambayo Watanzania wanayazungumzia.
Nadhani everyone should be calm,na hawa vijana idealistic,kama huyu Captain Tesha,ambao wanafikiria nchi yetu...
Ni wazi sana sasa kuwa kumbe wananchi wanasubiri kwa hamu kubwa kupata habari njema za anguko la serikali hii ya CCM. Captain Tesha, askari wa JWTZ alikuwa amesubiwa kwa hamu kubwa asikike...
All in all, ni kuwa binafsi sikuwa na hili wala lile. Nimetoka kwenye mihangaiko yangu ya kutafuta...
https://www.youtube.com/watch?v=W05IF22nAfI
Kupitia YouTube, Kapteni Tesha anaanza kwa kusema..
"Habari za wakati huu watanzania Kwa majina naitwa K Tesha afisa kutoka jeshi la wananchi wa Tanzania katika kikosi [00:03] cha Saki kwa maana kwamba ni shule ya anga ya kijeshi Awali ya yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.