Wakuu,
Akizungumza leo CAG Charles Kichere alisema
"Mheshimiwa Rais, niongee sasa hivi kuhusu kampuni yetu ya ndege. Mheshimiwa Rais, Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeendelea kupata hasara, ambapo kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ilipata hasara ya shilingi bilioni 191.19, ikiwa ni ongezeko la...