cag

  1. M

    Sijasikia Zitto Kabwe na chama chake wakitangaza uchambuzi wao wa Ripoti ya CAG

    Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa bahati nzuri report ya CAG ipo kila mwaka na report ya awamu hii yote inagusa utawala wa Samia...
  2. Posho na Mishahara ya Wabunge 19 waliofukuzwa uanachama nao ni wizi ambao CAG ulipaswa kuuzungumzia

    Wadau hamjambo? Nadhani kupokea posho au mishahara ukiwa huna sifa za kazi yako ni wizi. Ndio maana watumishi wa vyeti fake yaliwakumba na kufukuzwa kazi na ripoti ya CAG ilionesha kiasi gani cha fedha za umma zilipotea na kuokolewa baada ya kuwafukuza. Nimeshangazwa na Ripoti ya CAG...
  3. M

    TAKUKURU wachunguzwe na CAG, wabadhirifu wa mamilioni wanyongwe

    Nimejiuliza kwanini hao TAKUKURU ofisi yao haikaguliwi na CAG. Hii nikwasababu ndani ya ofisi hiyo kuna walarushwa na wabadhirifu. Kuna kesi wamezikaliatu wala hawapepesi macho kuzipitia. Huu ufujaji unaotokea TAKUKURU wanamahali wamepwaya. Nchi nzima inanuka ubadhirifu, mikataba hewa...
  4. N

    Baada ya CAG kuendelea kuibua upigaji wa pesa za umma tozo zisitishwe

    Habari wakuu wa JF, Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
  5. Serikali kutoa mikopo kwa wavuvi na wakuzaji viumbe maji; CAG hujatupatia ubadhilifu wa mradi huu

    Habarini ndugu? Kuna mwenye taarifa za ripoti ya CAG katika eneo hili la huu mradi? Hawa WAHUJUMU UCHUMI tangu bunge hili DHAIFU lilipopitisha bajeti ya mradi huu kwa mwaka wa fedha 2022/2023 bado HAKUNA CHOCHOTE KILICHOFANYIKA HADI SASA. Wavuvi tumeendelea kupigwa "BLAH BLAH" tu tangu mwezi...
  6. Je, ilikuwa ni sahihi Kupokea Madudu ya nchi kutoka kwa CAG jana wakati Usiku tunampokea Mgeni mkubwa Duniani?

    Au Tukio hilo (Ratiba ile) iliwekwa Kimkakati (Kimakusudi) ili Mgeni mkubwa Duniani akija ajue kuwa tunasimamia vyema Fedha zetu ili tumuombe nyingine nyingi au avutiwe tu hata Mwenyewe kutusaidia bila Masharti nasi tuendelee Kujenga Mahekalu yetu Mbweni, Madale, Mbezi Beach, Kawe Beach, Masaki...
  7. M

    Wizi unaofanywa Halmashauri ni matokeo ya madiwani wasiowajibika

    Halmashauri ni mali ya wananchi na wanamiliki Halmashauri kupitia Baraza la Madiwani. Halmshauri inasimamiwa moja kwa moja na Madiwani, inasikitisha sana Halmashauri ndipo pesa zinapigwa sana, huku wasimamizi wapo kila siku na wanaendelea kula posho za vikao. Tatizo la kuibiwa ni matokeo ya...
  8. Ninatarajia IGP Camillus Wambura atatuletea taarifa ya kuwakamata watuhumiwa wote baada ya ripoti ya CAG na matamshi ya Rais Samia

    Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana. Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka...
  9. CAG Ripoti: Matumizi NHIF yanazidi michango ya Wanachama

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema ukaguzi umebaini kuwa matumizi kutoa huduma kwa wanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya yamekuwa makubwa ikilinganishwa na michango yao. Katika mwaka 2021/2022 mfuko umepata hasara ya Sh189.65 bilioni...
  10. S

    Bunge na Watanzania kwa ujumla, tulichukua hatua gani kwa waliohusika na madudu katika Ripoti Ya CAG iliopita? Another political silly season!

    Binafsi sishangai haya yaliobainishwa katika Ripoti ya CAG ya 2021/2022, bali nawashangaa wanaoshangaa yaliyoibuliwa katika ripoti hii. Kama `Bunge lenye wajibu wa kuisimamia serikali halikuchukua hatua kuhakikisha waliousika na ubadhirifu na ufisadi katika ripoti iliyopita wanachakuliwa hatua...
  11. S

    Bosi wa Reli, ATCL na TANESCO mnasubiri nini ofisini?

    Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je mnasubiri nini? ATCL “Kuna mradi hapa tumetengeneza Ndege ya mizigo ambayo tunakaribia kuipokea...
  12. Tuna Rais asiyepuuza ripoti ya CAG. Hongera Rais Samia

    Nimemkumbuka Mzee wetu Prof Assad. Nimekumbuka alivyoondolewa madarakani kwa mabavu, nimekumbuka ile IST yake siku anaondoka ofisini. Nimekumbuka pia kwamba RIPOTI YA CAG ilikuwa inaogopwa na Serikali na kupingwa vikali. Nimekumbuka wapinzani kuishi kama digidigi pale wanapojaribu kujadili yale...
  13. Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
  14. Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  15. J

    Nimemsikiliza CAG na nakubaliana na Mchungaji Msigwa Serikalini kuna Upigaji mkubwa kila mahali

    Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa? Ramadhan kareem! cc: Mchungaji Msigwa Chadema
  16. Ripoti ya CAG kuhusu zilipo Fedha za 'Plea Bargain' inatoka lini?

    Wakati bado wananchi wakiwa kwenye sintofahamu ya nini kilitokea kwenye utaratibu wa kumaliza kesi za uhujumu uchumi uliotumika na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Hayati Rais Magufuli, swali jipya linaibuka zikiwa zimebaki siku chache mwezi Machi 2023 kumalizika na hakuna taarifa yoyote...
  17. Ukaguzi wa CAG 2021: Halmashauri zilizopata Hati Mbaya zimepungua

    Mwaka wa fedha 2020/21 Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG) kuhusu ukaguzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2020/21 zinaonesha kuimarika ikiwa ni kielelezo kuimarika kwa usimamizi wa fedha katika ngazi hiyo. Halmashauri zilizopata Hati...
  18. T

    CAG, utaainisha hasara inayotokana na siku ya leo 17 Machi kwa Serikali na Taasisi zake!

    Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini! Wamefanya mgomo wa chini chini! Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge...
  19. Mwigulu na CAG nani amedanganya umma suala la malipo ya Bilioni 350 kwa Symbion?

    Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
  20. CAG Alihitimisha awamu ya Magufuli, kazi kwa Samia

    By Luqman Maloto RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha 2020-2021, imehitimisha awamu ya Dk John Magufuli. Ukaguzi ujao utaanza kummulika Rais Samia Suluhu Hassan. Taifa lilitangaziwa kifo cha Magufuli Machi 17, 2021. Kipindi ambacho bajeti ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…