Hii mechi imekuwa na sintofahamu nyingi ni wapi itafanyika, Caf walishatoa ratiba Simba wanalijua hilo na TFF wanayo taarifa kamili ni wapi mchezo huo utafanyika
Maajabu ni kwamba Simba na TFF ni kama wanaisaidia serikali kupoteza ukweli kuwa uwanja wa Benjamin Mkapa ni mbovu sehemu ya kuchezea...