bwege

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ujumbe wa Seleman Bungara '' Bwege'' kwenda kwa Zitto Kabwe

    Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini Seleman Bungara 'Bwege' ameandika kwenye mitandao ya kijamii na kueleza kuwa masikitiko yake ya kutomuona Zitto Kabwe, Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT-Wazalendo. "Tunajua Tundu Lissu ni rafiki yako wa karibu sana alipopigwa risasi 16 ulisafiri kwenda Kenya...
  2. Bwege: Katiba, Falsafa ya vyama vyote zipo vizuri ila shida ni viongozi wa vyama wanapenda kusikilizwa wao

    Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Seleman Bungara "Bwege kupitia ACT Wazalendo ameweka wazi kuondoka kwake kwenye chama hicho na kuhamia CHADEMA akisema viongozi wanashindwa kufuata Katiba na falsafa iliyopo Soma Pia: Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA Bwege alikihama ACT Wazalendo siku chache...
  3. E

    Bwege ajiondoa ACT, atimkia CHADEMA

    Mwanasiasa machachari na aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini, Senior Selemani Said Ally Bungara, maarufu "Bwege," ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama cha ACT Wazalendo kuanzia jana, Februari 18, 2026. Katika taarifa yake aliyoitoa kwa umma, Bwege ameeleza kuwa uamuzi huo umetokana na...
  4. Mbunge Mstaafu Bwege: Serikali isingeweza fungia hata Msikiti mmoja. Siku hiyo kungechafuka sana

    Nakubaliana na Mbunge wangu aliyemaliza muda wake. Huyu jamaa huwa hajui kuuma uma maneno. Nina wasiwasi pia si mtu wa Pwani. Nakubaliana naye Serikali ingejaribu kufungia msikiti mmoja tu kingewaka. Siku hiyo ndo Kahaba na Makahaba wenzake wangeona cha moto. Maana ni ukahaba tu unaofanya mtu...
  5. R

    PostGE2025 Bwege: Watawala wanataka kutugawa ili watutawale kirahisi

    "Kuna kitu kimetengenezwa katika nchi hii na watawala ile sera yao susi inaitwa wagawanye watawale ndiyo ambao wanatumia hao watawala ambao wanauroho wa madaraka ninaomba watanzania hiyo sera tuipige vita tutengeneze umoja, ushirikiano tuwe wa moja ili tuiondoe mbegu hiyo mbaya ambayo inapandwa...
  6. Bwege: Waroho wa madaraka wasitufarakanishe kidini

    "KUNA watu wanatengeneza makusudi mgawanyiko kwa maslahi binafsi, tusikubali kugawanyika kwa kuwa sisi sote ni watoto wa Adam na Hawa., tusigawanywe na hawa wataka madaraka na wanaotaka matajiri kwa njia za haramu, kuna kikundi kina madaraka na utajiri ndio wanaotugambanisha. Hawa watu wapo...
  7. W

    Dorothy Semu: Hoja tofauti za Bwege tunazipokea

    "Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama na wengine kuja na hoja ambazo haziendani na misingi ya chama". "Sisi tunaamini katika kumjenga...
  8. Ushauri wa Bwege kwa wanaotaka kuandamana 29/25

    Bwege aomba Watanzania wasiandamane Oktoba 29, 'Hakuna anayeweza kuzuia mabadiliko'.
  9. M

    GE2025 Bwege: Aliyosema Kapteni Tesha ni malalamiko ya wananchi, nakubaliana naye isipokuwa suala la jeshi kuchukua nchi

    Selemani Said Bungara 'Bwege' Ameyasema akizungumza na waandishi wa habari Manzese, jijini Dar es Salaam, Oktoba 18, 2025 amesema anakubaliana na hoja zote alizotoa Kapteni Tesha kwani ameongea yaleyale ambayo yamekuwa yakilalamikiwa na wanaharakati wa demokrasia pamoja na wananchi kwa ujumla...
  10. M

    GE2025 Bwege: Nimeamini maneno ya CHADEMA 'No Reforms, No Election' baada ya mgombea Urais kupitia chama changu ACT Wazalendo kuenguliwa

    Selemani Said Bungara 'Bwege' amesema alikuwa anashiriki katika uchaguzi na kukiuza chama chake cha ACT Wazalendo, lakini tokea Mgombea wa Urais kupitia Chama chake, Luhaga Mpina aenguliwe ameona ni kama wagombea wote wa udiwani na ubunge kupitia chama ACT Wazalendo wameenguliwa kwasababu...
  11. W

    GE2025 Bwege: Sitashiriki kampeni yoyote ya ACT hadi nitakapojua hatma ya Luhaga Mpina

    Wakuu Bwege anazidi kutema nyogo, wakati kifanya mahojiano na Mwanahalisi amesema kutokana na uzembe uliofanyw ana chama chake na kupelekea Luhaga Mpina kuenguliwa kugombea Urais umemfanya achukue maamuzi ya kutoshiriki kampeni yoyote ya ACT Wazalendo popote pale hadi pale Mpina...
  12. GE2025 Bwege amshinikiza Zitto kujibu tuhuma za CCM, adai kufukuzwa baada ya uchaguzi wa Oktoba

    Kada wa Chama cha ACT-Wazalendo na aliyewahi kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Seleman Bungura maarufu kama Bwege, akizungumza na kituo cha Mwanahalisi TV leo Septemba 28, 2025, amesema kuwa Zitto Kabwe anatakiwa kujitokeza na kujibu tuhuma zinazodai kuwa yeye ni sehemu ya "CCM B"...
  13. W

    GE2025 Bwege: Hakuna mpinzani wa kweli anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu, walimuhonga wakashindwa, walitaka kumuua wakashindwa

    Wakuu Mzee Bwege katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni amekiri kuwa hakuna mpinzani wa kweli kwa sasa nchini anayetaka mabadiliko zaidi ya Lissu na ndiyo maana walijaribu kumuhona wakashindwa, wakataka kumuua wakashindwa kwa sasa wamemuweka ndani napo watishindwa. Soma pia >> GE2025 -...
  14. W

    GE2025 Bwege amtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itakuwa chama kama Polepole anavyokisemaga

    Wakuu Bungala anaendelea kupiga kwenye mshono, amemtaka Zitto ajisafishe la sivyo hatoaminika tena na ACT itapoteza mvuto wake. Bwege ameunga dots kwa yaliyotukia Kigoma hivi karibuni ambapo Baba Levo na Rais walikuwa wakimuongelea Zitto na kuoenekana kama kijana wa nyumbani (CCM). Soma pia >...
  15. W

    GE2025 Bwege: Heche aliniambia walitaka kwenda ACT lakini Zitto aliwakataa kwa kuwa wangemuaharibia kwani aliahidiwa mambo mazito na Rais

    Mwanachama wa ACT Selemani Bungala Maarufu kama Bwege anaeleza kuwa wakati mambo yanatokota kipindi cha Mbowe pale CHADEMA, Heche na wenzake walitaka kuhamia ACT Wazalendo lakini Zitto aliwakataa kwa sababu wangeendeleza siasa zao za maneno makali na hivyo kumuharibia kwa Rais ambaye alikuwa...
  16. Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
  17. Mh. Bwege ategua kitendawili cha Anna Komu wa WADEMA na Monalisa Ndala wa ACT

    https://vm.tiktok.com/ZMArjpvGV/ https://vm.tiktok.com/ZMArjvR83/ https://vm.tiktok.com/ZMArjpXkm/
  18. GE2025 Bwege: Kwenye vyama vya upinzani kuna madalali ambao wanatoka CCM

    Sulemani Saidi Ally Bungara, maarufu kama Bwege, ni mmoja wa wanasiasa wa Tanzania waliotambulika kwa ucheshi, ujasiri, na kauli zenye msisimko. Akizungumza na waandishi wa habari katika nyakati tofauti, Bwege amekuwa akitoa kauli zenye uzito wa kisiasa, kijamii, na hata kiitikadi. Soma Pia...
  19. GE2025 Bwege: Vyama vyote vya upinzani vilipaswa kuungana kususia uchaguzi kudai reforms

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi kusimamia 'No Reforms, No Election' na kwamba vyama vyote vya upinzani nchini ikiwemo chama chake ilipaswa...
  20. Kuna jamaa alikuwa anataka kunichomesha kwa Viongozi

    Nlimkaribisha kazini miaka ya 2013. Leo hii ananipigia simu anaweka loud speaker wakubwa zangu wanisikie aki record kutaka nishikisha moto. Jamaa huyu kisa ni last week nliponda kuwa tumekosa weledi tunawatumia wanasiasa ambao hata akili hawana katika huu uchaguzi wanajulikana ni mapandikizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…