Mbunge wa Kasulu Mjini, Prof. Joyce Ndalichako, amehoji ni lini Serikali itakamilisha kazi ya kupeleka umeme katika maeneo ambayo nguzo zilichimbwa tangu mwaka 2025 lakini hadi sasa hakuna kinachoendelea.
Ndalichako ameyasema hayo leo, Agosti 26, 2026, wakati akiuliza swali katika Wizara ya...
Bwawa la Mwalimu Nyerere likikamilika umeme utashuka bei
Gesi ya Mtwara itasambazwa mikoani kila nyumba.
Taasisi za umma mwisho 2025 kutumia kuni
Kwenye msafara wangu mawaziri watapanda basi la pamoja.
Ifikapo mwaka...wizara zote ziwe zimehamia dodoma
Bima za afya kwa wote
Maji kutoka ziwa...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere amegusia changamoto za Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na kueleza kuwa umesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48 kutokana na kushindwa katika Baraza la Usuluhishi.
Ameeleza hayo katika Ripoti ya ofisi...
Polepole: Bwawa la Mwalimu Nyerere lilipaswa kukamilka 2021 lakini kulikuwepo na mchezo pale, yupo waziri pale aliporudi na mkandarasi alikuwa anazungumza naye moja kwa moja anaruka mpaka mshauri tuliomuweka wenyewe. Na pale kuna mgogoro na tutadaiwa deni mkubwa sana
MRADI WA KUZALISHA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE UMEKAMILIKA
Kukamilika kwa mradi wa uzalishaji umeme katika Bwawa la Julius Nyerere ni utekelezaji wa ilani ya CCM ibara ya 63 (a).
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala...
YAMETIMIA, BWAWA LA MWALIMU NYERERE LAKAMILIKA, SASA KUANZA KUZALISHA MEGAWATT 2,115
Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JHPP), ambao umegharimu Shilingi Trilioni 6.5, leo umefikia hatua muhimu baada ya mitambo yote tisa kuanza kuzalisha umeme wenye uwezo wa megawati 2,115.
Mradi huu utaleta...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Mashine ya tisa ya mtambo wa kuzalisha umeme katika Bwawa la Julius Nyerere Machi 22, 2025 imekabidhiwa na kuunganishwa kwenye Grid ya Taifa. Amesisitiza kuwa kutokana na ongezeko hilo la megawati za umeme Bwawa la Kuzalisha...
Inasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem.
Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones...
Kuna mambo yanafikirisha sana asee, gharama za umeme Bado zilezile, badhaa Bado na bei ileile, uchumi wetu raia Bado uleule!. Ni kwanini tulijenga hili bwawa ili tuwashie taa? Viwanda havijengwi kama tulivyoaminishwa shida nini wajomba?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.