butiku

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. POTOSHI Mzee Butiku: #D9 "Maandamano yapo tutake tusitake"

    https://twitter.com/HildaNewton21/status/1996865619875258696?t=kTtbk6cA19VvLqGt_NKA-A&s=19
  2. R

    Butiku naye ameanza kuwa CHAWA, ànabariki genocide!

    Hajawahi kukemea mauaji, leo anaitisha kongamano eti la Amani. Ni upumbavu kabisa. Je, amehongwa na wauaji awatetee...to normalize killings? Mtanisamehe nimetumia lugha kali...moyo wangu unaumia sana kuona mzee kama yule anakuwa hivi!
  3. K

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha

    Polepole kutelekezwa na wenzake wakina Bashiru, Butiku na Warioba inasikitisha. Sasa na wenyewe wanaogopa kutekwa! yaani hata kusema kitu kuhusu mtu ambaye Mama yake anaenda kulia mahakamani! Kesho nani atakuwa salama
  4. R

    Mzee Butiku kimekupata nini? Au tayari umelamba asali

    Heshima uliyojijengea miaka 85 ya umri wako umeiharibu ndaninya dakila 10 za press yako. Ulaaniwe milele na Nyerere akupige kofi huko aliko. Nyote semeni AMEN.
  5. M

    Mzee Butiku na Warioba, Ongeeni kuhusu Polepole kudaiwa kutekwa

    Mkikaa kimya wakati kijana wenu katekwa, ina maana mmemsaliti. Na huenda nyie ndio mmetoa taarifa za uwepo wa Polepole TZ. Hasa mzee Butiku, Watanzania tunafikiri Wewe ndiye umemsaliti Polepole. Na kimya chako kinazidi kutu fanya tuendelee kuamini hivyo.
  6. Mzee Butiku, Polepole katekwa uko kimya hahaha !! Tumekufuta katika wazee wa taifa hili

    Ndio Furaha yako ?! . Naona kale ka Asili ka 'Kizanaki' , ukigeugeu na Kujipendekeza ndiko kamekuharibia. Hautakubalika tena na Watanzania , Wala hautaheshimiwa Tena na Watanzania , TUMEKUFUTA na kukuondoa katika Orodha ya Wazee Makini wa TAIFA hili. Wewe Sasa ni Mmoja ya Wazee wahuni ...
  7. M

    GE2025 Butiku usipokemea anayopitia Polepole, Umeshiriki kuivunja Tanzania

    Butiku jana ulisema Jeshi lisiingilie Siasa, Ila Hakuna namna kwenye this terror regime. Tulitaka tuvuke huu mkwamo kwa kutunza heshima yenu, ila ameshindwa kuwacontrol hawa wahuni wake na wamekuwa rougue Kama Butiku hutakemea hili, usitushauri kwa litakalokuwa "Gloves are off". We need to...
  8. Mzee Butiku ulishauri walikudharau na Wakakupuuza, Leo Capt Tesha kajitoa Muhanga, usitukatishe tamaa, ni heri ukakaa kimya, Watanzania watakudharau

    Mzee bila shaka ulitumia muda mwingi sana kwenye Vyombo vya habari kuhubiri MABADILIKO MABADILIKO . Ulipuuzwa, na wakakuambia Mzee umeshastaafu, kama kwa kutulia. Mzee Butiku kama ni mema ya Nchi hiii umeyala ya kutosha Hadi Sasa unzeeka Sina uhakika kama unaweza kua na miaka 10 ya kuendelea...
  9. D

    Kuhusu ndevu ama mavazi, hoja za Butiku ni dhaifu mno

    Nadhani Mzee Butiku kapaniki tu maana anajua mtiti aliokabiliana nao kaka yake mwaka 1964 jeshi lilipoasi. Lakini hawa hapa ni Wanajeshi mashuhuri kabisa sasa aje hapa Butiku aseme wao kuwa na ndevu ama kuvaa “pull neck” kumewapunguzia sifa gani? Fidel Castro Paul Kagame Assimi Goïta
  10. Kwahiyo Mzee Butiku , Kwa Maoni yako unayohisi yana Busara, nini Hatima ya Watanzania kuanzia 2026 ikiwa Samia ataendelea?.

    Nini Hatima ya Waliotekwa na Kufungwa na kuuwawa?. Nini Hatima ya Vyama vya siasa hasa CHADEMA ? Ni Hatima ya Tundu LISSU ?. Nini Hatima ya Walio, wanao na watakaoendelea kuikosoa Serikali Kwa namna mbovu inavyoendesha Nchi?. Nini Hatima ya Wazalendo ambao wanahitaji kuhakikisha...
  11. Mzee Butiku naye analinda kula yake kupitia MNF pale Rotana Johari Buildings amesahau matamko yake amelipwa Trilioni ngapi Watz M60 tumchangie?

    Kwa kifupi tu Andrew Nyerere mwenye Ubini na ihalali wa yale majengo alishamaliza kila kitu na ndiyo maana familia ya ndani ya Baba wa Taifa wapo kimya. Butiku asitake kula matapishi yake tuko imara kwa data aliwahi kuiponza Taasisi ya TPO leo anaona maslahi ya wanaye ni bora kuliko Taifa hafai...
  12. Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

    Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
  13. Mzee Butiku alituasa vijana tujihadhari na watawala wahuni leo hii naye kageuka kuwa Muhuni.

    GT Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu. Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini. Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni...
  14. M

    Baada ya kumsikiliza Askofu Gwajima leo nimeamua kuungana na Mzee Butiku kuwa wote tunyamaze twende kwenye Uchaguzi

    Mzee Butiku akihojiwa na Fakhia Middle huko Butiama kwenye kipindi cha kipima joto mwanzoni mwa mwezi huu, pamoja na kukiri na kukubali kuwa 1. Hakuna haki, 2. Uteuzi wa mgombea wa CCM ulikiuka katiba ya CCM 3. Polepole alimfuata kuongea nae 4. Watu kutekwa na kuuawa kisa siasa 5. Chadema...
  15. S

    Polepole utapigiwa simu na kina Mzee Warioba na Butiku wanaweza kuombwa kuongea na wewe ila kamwe usirudi nyuma. Sema tu uliilopanga

    Safari hii umeongea na umetamka wazi kuwa sasa ni bora hata CCM ife Taifa lipone kwa utakaloongea kwani Viburi vya viongozi vimezidi. Leo umetamka wazi kuwa viongozi wa CCM wamejaa Viburi hii inaonyesha sasa umefika mwisho wa uvumilivu na kuheshimu hawa viongozi wenye Viburi. Umetamka kuwa...
  16. M

    Wito kwa Jaji Warioba, Mangula, Butiku na wengineo Jitoeni kwenye CCM hii ya "Maokoto" Tujue kuwa nyie ni Wazalendo kweli!

    Salamu kwa Jaji Warioba, Mzee Butiku na wengine mnaoamini katika CCM iliyoasisiwa katika misingi ya mkulima na wafanyakazi. Nyie kwa miaka mingi mmekuwa ni tone la matumaini ndani ya nchi na chama kama kielelezo cha uadilifu, heshima na hekima. Lakini leo mnaona CCM inafanya mambo utadhani...
  17. M

    BUTIAMA: Joseph Butiku asema hakukubaliana na Uamuzi wa Hamprey Polepole

    JamiiCheck imefuatilia Taarifa hii na kubaini kuwa inapotosha uhalisia. Soma hapa Msikilize huyu Mzee ambaye Kwa record zake nyingi amejipambanua kwa ukweli na kuwa mtu wa kuaminika, Joseph Butiku ni Mzsee Msemakweli na Uelewa mpana. Msikilize,
  18. M

    PreGE2025 POTOSHI BUTIAMA: Mzee Butiku asema tangu awali hakukubaliana na Uhuni na Uendawazimu wa Humphrey Polepole

    Mzee Butiku asema, Ngoja nimwite Kwa lugha ya Mtaani Muhuni au Mwendawazimu na pengine si mwenzetu,
  19. GE2025 Butiku: No reforms no election ni kuvunja katiba ya nchi

    Hatimaye Mzee Butiku atofautiana na Mzee Waryoba kuhusu "NO REFORMS NO ELECTION" ya CHADEMA. Mzee Butiku ambaye ni mwenyekiti wa taasi ya Kigoda cha Mwl Nyerere kupitia Kipindi cha DKT 45 kinachorushwa na runinga ya ITV amewataka CHADEMA kuachana na hoja yao ya kususia uchaguzi kwani kufanya...
  20. Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…