business

  1. JamiiForums Tanzania Hii ni biashara ya familia au utemi?

    Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k. Katika moja wapo ya wafanya biashara kuna mfanya biashara kiukweli yupo fresh, si haba, nje ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kujiajiri ni utumwa zaidi ya kuajiriwa, waliojiajiri wengi wanakosea kujiweka kundi moja na wamiliki wa biashara

    Nimekuwa nikiona sana kuna kukosekana kwa uelewa juu ya utofauti wa mtu aliejiajiri (self employed) na mmilliki wa biashara (cusiness owner) Mtu aliejiajiri ni mtu anaefanya shughuli zake yeye mwenyewe kwa asilimia kubwa ili kuzalisha kipato, mfano ni mangi mwenye duka, mtu mwenye duka anaeuza...
  3. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya usafirishaji nchi kavu (LATRA) iruhusu daladala za bei ya juu/first class ama business class

    Habari za muda huu wanabodi, Bila kuchelewa naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Hapa nchini Tanzania tunayo Mamlaka ya Usafirishaji nchi kavu iliyoundwa miaka ya karibuni kuratibu na kusimamia usafirishaji kwa nchi kavu. Mamlaka hii ndiyo yenye jukumu la kupanga na kusimamia gharama za...
  4. JamiiForums Tanzania Recruitment and Outsourcing Business - Fursa Rahisi

    Habari za wakati huu, Kila biashara huwa inakuwa na aina mbili za shughuli kwa kutegemea sector yake.(Nitachanganya lugha) Function za kwanza zinaitwa CORE FUNCTIONS(Shughuli za msingi ambazo hasa ndo zinafanya biashara iwepo yaani ndo zinaingiza pesa au kutengeneza value) Function za pili...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania World travel awards name Nairobi as Africa's leading business travel destination ahead of Lagos, Cairo, Johannesburg

    VICTOR OLUWOLE October 25, 2021 3:57 PM World Travel Awards – the leading authority that recognises and rewards excellence in travel and tourism – has named Nairobi the continent’s leading business travel destination during the 2021 Africa and Indian Ocean World Travel Awards. An aerial...
  6. JamiiForums Tanzania National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam at UNICEF

    National Business Analyst for innovation software prototypes Consultancy in Dar es Salaam, TANZANIA. Job no: 545553 Contract type: Consultancy Level: Consultancy Location: United Republic of Tanzania Categories: Knowledge Management UNICEF works in some of the world’s toughest places, to...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenye mtaji wa milioni 20 na hana business idea

    Hellow... Kuna fursa katika biashara ya kukopesha watu. Kama una mtaji wa milioni 20 na upo interested na hii biashara njo inbox tuyajenge zaidi. Wateja wapo wa uhakika waliochunjwa kabisa hawana longolongo za marejesho. Kama unaogopa risks za business tulia Tuli. Kama una tamaa ya kutajirika...
  8. JamiiForums Tanzania M-PESA Business Project Coordinator at Vodacom

    At Vodacom, we’re working hard to build a better future. A more connected, inclusive and sustainable world. As a dynamic global community, it’s our human spirit, together with technology, that empowers us to achieve this We challenge and innovate in order to connect people, businesses, and...
  9. JamiiForums Tanzania Realy Estate business brokarage partnership

    Habarini za pilika ndugu zangu Matumaini yangu zote tu wazima, Ndugu zangu nina plan na nia ya Dhati sana kufanya hiyo biashara hapo juu kwa mkoa kama Dodoma ni fastest city. ninataaluma nzuri na uzoefu zaidi ya miaka nane kwenye Globe companies kwa sasa nahitaji kuwa na kampuni ili niweke...
  10. JamiiForums Tanzania Her Royal smile-ness! Queen, Prince William and Prince Charles welcome business leaders, presidential envoys and tech entrepreneurs including Gates

    The Queen, Charles and Prince William warmly welcomed the business leaders and members of the Government including Foreign Secretary Liz Truss, who donned a cobalt blue ensemble, and International Trade Secretary Anne-Marie Trevelyan.
  11. JamiiForums Tanzania Business Development Manager at Bolt

    We are looking for a Business Development Manager to join our team. You’ll be the face of Bolt for Business, identifying potential clients, getting them excited about the possibilities, then negotiating and signing them. B4B has big targets, the product is evolving getting better and better and...
  12. JamiiForums Tanzania Your Business is as Good as your team

    Jaribu Kufikiri, Umehangaika kutafuta business opportunity kwa njia unayoifahamu wewe,ukatafuta mtaji,ukaajiri wafanyakazi ili mfanye kazi pamoja mjenge kampuni,mjenge maisha.Ila Kila mara unajikuta unahisi kuna kitu unakikosa katika katika timu yako.Kuna wakati unafikiri labda hawana uzoefu au...
  13. JamiiForums Tanzania Huwa unapata wazo gani unaposikia online business

    Uzi tayari. Mana utaambiwa ni hela unatengeneza huku umekaa tu
  14. JamiiForums Tanzania Huhitaji Boss Wala Ofisi Kutengeneza Milioni Kwa Mwezi (Be Your Own Boss Working From Anywhere)

    Tokea vizazi na vizazi Haijawahi kutokea wakati rahisi kuanzisha biashara kama wakati tuliopo sasahivi! Kabla ya kuendelea na huu uzi, naomba ondoa fikra potofu kuhusiana na online money making. Nimeona wengi wakicomment kwenye threads zangu kuhusiana namna ninavyochukulia easy kupata pesa...
  15. JamiiForums Tanzania Business information technology vs information technology.

    Wakuu naombeni ushauri wenu juu hizi kizi. Kati y business information technology na information technology ipi ni nzuri zaidi.. naingia degree mwaka wa kwanza (business information technology) pale UDSM na tayari nimeshai-confirm.. but wengine wanasema et information technology ni bora zaidii...
  16. JamiiForums Tanzania IT Business Manager – VAS & Products at Airtel Tanzania

    About us Airtel Tanzania PLC is one of the leading providers of telecommunications and mobile money services with operations across Tanzania. Headquartered in Dar es Salaam, Airtel Tanzania ranks amongst the top 3 mobile services providers in Tanzania in terms of subscribers. Airtel Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Ile pisi ni kali imenifanya mpaka niunde business card

    Mpaka sasa najiuliza hivi ni mimi kweli nimefikia hatua ya kupelekwa puta na pisi. Wakuu nipo Mwanza kuna pisi moja matata rangi nyeupe imenipiga ganzi nikienda kupata huduma kwenye moja ya taasisi za fedha hapa Mwanza. Mara ya kwanza nimeenda pale hakukuwa na foleni kubwa kwa hiyo nikapata...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa Bhana! Hivi ni One Stop Center au ni business as usual?

    Wiki jana nilikuwa Posta DAr kwenye hicho kituo ambacho wanasiasa wanakisifia eti ni "one stop center" ambacho kinahusisha Maafisa Biashara, watu wa Brela, RITA, TRA, NIDA, Benki ya CRDB na taasisi zingine. Ukweli hao watu baadhi yao wana maneno yale yale kama ambavyo walikuwa kwenye Ofisi...
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo ya biashara yako yanategemea tabia zako ulizonazo, hali halisi, na ujuzi uliokua nao

    Mara nyingi tukiwa tunatizamia kufanya biashara fulani ama jambo fulani, huwa tukijikuta tunakwama kwenye situations ambazo ama pengine tunafikiri hatuko vizuri bado, nimekwama sina mtaji, pengine kuna mtu anakuchezea unafikia kusema au siajakaa vizuri bado. Kuna michakato haswa ambayo lazima...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 My 3rd Year at the University - Boom to Business

    I have been risen from the family where I had neither brother nor sister to ask about the university, from where I need Tsh. 2000/= to travel toward where there were stationeries and internet cafes; with no TV, no Computer, no Smartphone, no Car, no Motorcycle; but blessed with food, shelter and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…