bungeni dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Ghati Chomete aungana na waombolezaji katika ibada ya kuaga mwili wa Lukuvi, bungeni Dodoma

    GHATI CHOMETE AUNGANA NA WAOMBOLEZAJI KATIKA IBADA YA KUAGA MWILI WA MHE. LUKUVI, BUNGENI DODOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, tarehe 27 Machi 2026 ameungana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), Spika wa Bunge...
  2. PreGE2025 Mbunge Chaurembo aitosa Mbagala, atangaza kugombea Ubunge jimbo jipya la Chamazi

    Mbunge wa Mbagala, Abdallah Chaurembo, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika Jimbo jipya la Chamazi kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Chaurembo ametoa kauli hiyo leo Juni 19, 2025, wakati akichangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka...
  3. Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026)

    Prof Sospeter Muhongo: LEO BUNGENI DODOMA (Mipango, Uwekezaji na Bajeti 2025/2026) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo amechangia mengi yakiwemo: *Uwekezaji uongezeke kwenye Elimu na Taasisi zake (2-3% ya Pato la Taifa, GDP) *Uwekezaji uongezeke kwenye Utafiti na...
  4. Wabunge wanajua Wajibu wao Bungeni? Huyu kawaombea makoti askari wa Mbeya

    Wakuu! Ni jambo la kusikitisha kuona jinsi ambavyo baadhi ya wabunge wetu bado hawajafahamu vizuri majukumu yao ya msingi kama wawakilishi wa wananchi. Katika kipindi hiki ambacho nchi inapitia changamoto nyingi kama ukosefu wa ajira, mfumuko wa bei, ubovu wa miundombinu, huduma duni za afya...
  5. Prof. Sospeter Muhongo, Leo bungeni Dodoma (Bajeti ya Wizara ya Afya)

    Prof. Sospeter Muhongo, LEO BUNGENI DODOMA (Bajeti ya Wizara ya Afya) Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mchango wake Bungeni akielezea mengi yakiwemo: Musoma Vijijini wameamua kujenga zahanati moja kila kijiji. Jumla ya vijiji ni 68 Taifa lisomeshe vijana...
  6. LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao. Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo: (i) Mhe Rais Dkt Samia...
  7. Mijadala ya Bungeni Dodoma, ina ufanano wa 80% na Mijadala ya Watanzania Mitaani na kwenye vyombo vya habari kama Radio

    Ukiangalia mijadala ya Bungeni na ukija ukiangalia mijadala ya Wabongo mitaani basi ufanano ni mkubwa sana. kwa kifupi Bungeni pale ni reflection ya akili za Watanzania mtaani. Bunge liko busy na mijadala ya kijinga jinga tu, hawako serious kabisa. Njoo mtaani kwenye vijiwe vya kahawa, usipo...
  8. PreGE2025 Ester Bulaya: Lissu ana uwezo wa kutufikisha kwenye Demokrasia ya kweli. Apongeza CHADEMA kwa Uchaguzi Uhuru na Haki Bungeni Dodoma

    Wakuu Mbunge wa Viti maalum, Ester Bulaya amekipongeza chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) pamoja na Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe na Mwenyekiti mpya Tundu Lissu kwa Uchaguzi Uhuru na Haki akiwa Bungeni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  9. PreGE2025 Martin: Wabunge wanalipwa posho zaidi ya TSh. Milioni 86 kwa siku Bungeni Dodoma. Ama kweli Siasa ni Mchongo!

    Anaandika Martin Maranja Masese, Mtikila Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Mwanasheria mkuu wa serikali, Spika wa bunge, Naibu Spika wa bunge, Mawaziri na Wabunge wote, wanalipwa posho ya kujikimu (perdiem) kwa siku ni Sh220,000. Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264...
  10. Wakati wenzao wanajiandaa na mchezo wao wakajiona tayari mabingwa wakaenda kuzurura bungeni dodoma

    Weka neno moja kisha pita kimyakimya 😀
  11. Baada ya kuzamia shimoni tangu atenguliwe, Nape Nnauye atinga Bungeni

    Wakuu, Kama mnakumbuka Julai 21, 2024, Nape alivuliwa rasmi cheo cha Waziri wa Habari na tangu hapo ni kama alienda kujificha kwenye handaki. Alijiondoka X(Twitter) na hakufanya interview hata moja kutoka wakati ule. Kwa mtu kama Nape ambaye ilikuwa kawaida kuropoka na kujibizana na raia...
  12. J

    Bungeni Leo: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atoa maelekezo mapya uendeshaji wa treni ya SGR

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Uchukuzi kuendelea kulisimamia kwa karibu Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kuhakikisha huduma za treni ya SGR zinaboreshwa. Pia, Majaliwa ameagiza miundombinu ya mradi huo inaimarishwa ili uweze kudumu kwa muda mrefu. Kauli ya Majaliwa inakuja...
  13. Mbunge Jesca Msavatavangu ang'aka Bungeni wanandoa kunyimana tendo la ndoa

    My Take, Jamani wanandoa si vizuri kunyima utamu wa tendo la ndoa :rolleyes::) ======= Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msavatavangu amelitaka Bunge kuanzisha sheria ya kuwashughulikia watu waliozaa na kuwatelekeza watoto bila kuwapa msaada wa kiuangalizi. Msavatavangu ameyasema hayo leo Agosti...
  14. Dkt. Joseph Mhagama: Hatutaki aina ya uwekezaji ambao watawanyonya Watanzania

    Mbunge wa Madaba, Dkt. Joseph Kizito Mhagama mechangia hoja Bungeni kuhusu Sekta ya Utalii akitolea mfano wa Jimbo la Madaba. Amesema kuna fursa ya uwekezaji wa mafao ya misitu, ambapo kuna ardhi iliyopandwa miti zaidi ya ekari 100,000. Ameeleza kuna mpango maalum wa kupata ongezeko la viwanda...
  15. SPIKA TULIA ACKSON: Tujadili vitu vya muhimu Bungeni Ila sio Kuuliza kuhusu Maswala ya vyoo

    Hayo ameyasema leo wazi Ikiwa ni muendelezo wa kile kinacholalamikiwa na Wananchi kwa wabunge kuuliza maswali mepesi Bungeni huku maswali magumu na ya Kimaendeleo wakiyaacha na kuogopa kuyauliza .... Spika Dkt Tulia ameongea Hayo baada ya waziri Dugange kujibu swali lililokuwa linauliza...
  16. S

    Job Ndugai anahudhuria vikao vya Bunge vinavyoendelea Bungeni Dodoma?

    Mbunge huyu tangu ajiuzulu uspika, amekuwa haonekani Bungeni na kama nitakuwa sahihi, hajaonekana hata mara moja. Swali langu ni je, katika vikao via Bunge vinavyoendelea hivi, sasa, amehudhuria hata mara moja? Kama hajahudhuria mpaka leo, hastahili kuvuliwa ubunge? Kama alikwenda Israel...
  17. Bulaya: Sheria zenye ukakasi zinaminya Uhuru wa Habari

    Mbunge Ester Bulaya (Viti Maalum) amesisitiza Mabadiliko katika Sheria ya Huduma ya Habari 2016 akisema Waandishi wa Habari bado wanatishwa na hawafanyi kazi kwa Uhuru kwenye baadhi ya maeneo. Amefafanua, "Leo hakuna Habari za Kiuchunguzi, hata Makala zinazoandikwa ni za kawaida. Sheria hii...
  18. Wizara ya Maji yaomba Bajeti ya Tsh. 709,361,607,000

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameomba Bunge kuidhinisha Fedha hizo kwa Mwaka 2022/23 ambapo Matumizi ya Kawaida ni Tsh. 51,462,269,000 Akiwasilisha Hoja yake Bungeni Waziri Aweso amesema "Jumla ya Bajeti ya Maendeleo ni Tsh. 657,899,338,000. Kati ya hizo, Tsh. 407,064,860,000 ni Fedha za Ndani na...
  19. Mbunge: Mitaala inayotengenezwa haimsaidii Mtanzania

    Katani Ahmed Katani (Mbunge wa Tandahimba) amesema Vyuo vinaendelea kutengeneza Mitaala na Kozi ambazo hata Mhitimu akienda 'Ajira Portal' hakutani na kitu alichosomea. Amesema, "Tunaendelea kutengeneza Mitaala ambayo haiendi kumsaidia Mtanzania" Amefafanua, "Tunaendelea kutumia Mitaala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…