bungeni

Bungeni is a large sprawling rural settlement situated on top of one of the foothills of the Soutpansberg mountain in Louis Trichardt, Limpopo Province, South Africa. The Levubu agricultural plantation, where avocado, bananas, litch, Macadamia nuts, peaches and mangoes are grown in abundance is just 3km away north of Bungeni village. It lies 35 km east of Makhado, with the R578 road (South Africa) passing through it. With more than 30 000 people, Bungeni is the largest Tsonga village in Makhado local municipality. In 1994 and in 2016, administrative control of this western portion of Gazankulu has been sub-divided in half and allocated to two Municipalities, first in 1994 to Makhado Local Municipality and in 2016, to the New Malamulele Municipality in the Vhembe district. As of April 2016, the Western portion, known as 'Bungeni West' by the locals, has remained in Makhado local municipality, while the eastern portion, known as 'Bungeni east', has been allocated to the new Malamulele Municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal_TZA

    Prophet Suguye alitabiri kifo cha Kiongozi Bungeni

    Kiongozi wa dini maarufu mtandaoni, @prophet_nicolaus_suguye , hivi karibuni aliandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Instagram akihimiza maombi kwa taifa na mihimili mitatu ya dola, akidai kuona dalili za kuondoka kwa viongozi wakubwa. Ujumbe huo umeibua mjadala mkubwa miongoni mwa wananchi...
  2. The introvert

    TBT: Waziri Aliyetumbuliwa Kisa kudaiwa kulewa Bungeni (Charles Kitwanga)

    Hii nchi tumepitia mengi sana aisee 😂 :::::::::::::::;;;;;;;;;:::::::::;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;;; WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Rais Dk. John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani, Bw. Charles Kitwanga umefuata kanuni za utumishi wa umma ambao unakataza...
  3. W

    Lissu akihoji bungeni kuhusu wanajeshi kuteuliwa na kuwania nafasi za Uongozi kupitia CCM

    Maneno ya Tundu Lissu bungeni Jun 19, 2015 wanajeshi wanapewa vyeo serikali na Jaji Augustino Ramadhani kuandaliwa kuwa Rais wa awamu ya tano.
  4. R

    Swali chokonozi: Hivi bungeni Tulia Ackson anakaa kiti gani? Anagonga Meza naye?

    Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa. Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza! Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
  5. R

    Mbunge alivyojinadi kwa Kifaransa bungeni

    Mbunge wa Jimbo la Ole Zanzibar Said Salima Hamad ajinadi kwa Lugha ya Kifaransa bungeni wakati wabunge wakiomba kura katika uwakilishi wa Taasisi mbalimbali leo februari 5, 2026
  6. Genius Man

    Bungeni tunataka kusikia uwajibikaji na kero za watanzania zinatatuliwa hata tukisifia wananchi au rais haiwezi kuleta maendeleo

    Bungeni tunataka kusikia uwajibikaji na kero za watanzania zinatatuliwa hata tukisifia wananchi au rais haiwezi kuleta maendeleo. Suala la sifa halina msingi ya maendeleo kwa wananchi wala maendeleo kwa rais wala kwa wabunge wala kwa washirika ni la kipumbavu sana.
  7. JF Member

    Bunge la Zungu: Kipindi cha kusifu na kuabudu kina muda mrefu sana

    Hili Bunge la Zungu lina mambo mengi sana. Ila kipindi cha kusifu na kuabudu ni kirefu sana. Mjitafakari sana.
  8. Chibike

    Nauliza tu wajameni, yule Mbunge aliebinuka bungeni kwenye meza, alirudi bungeni awamu hii?

    Hata simkumbuki jina...ila nikiwa hapa kanisani leo katika kanisa takatifu la kimitume katoliki parokia ya uparokiani Askofu anazungumzia jambo , anasema kua unaweza kua mtu mzima ila akili huna.. Ndio nikakumbuka tukio la mbunge aliechaguliwa Sasa sijui alichaguliwa na wananchi ama aliwekwa...
  9. Genius Man

    Kuwapangia wabunge nini cha kuongea Bungeni (wasifie tu) ni ujinga na upumbavu

    kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu. Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na...
  10. J

    Uchawa umezidi Bungeni

    Inashangaza sana nimejaribu kuangalia lile Bonge (bunge) la ile inchi ya kusadikika yaani hakuna anayeongea la maana hata moja , kunzia mwanzo hadi mwisho jitu linamsifia Killer in chief tu, kwakweli miafrika tuna safari ndefu sana.
  11. Waufukweni

    Mwigulu: Hotuba ya Rais Samia hapa Bungeni ilikuwa nzito, inayoonesha umakini, umahiri na kutoa mwelekeo na dira

  12. Pakome

    Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni?

    Je, ni nani aliyeharibu CHADEMA kati ya Mbowe aliyepeleka wanachama Bungeni na Lissu aliyeondoa wanachama Bungeni? HIi ni hoja nzito sana na sii ya kuchukuliwa kirahisi Ili Chama cha Siasa kikue lazima kiwe na idadi kubwa ya Wanachama wenye wadhifa mkubwa katika nchi Mbowe alizalisha viongozi...
  13. T

    Tangazo la usaili bungeni walioomba kazi

  14. Fbn

    Kuna watu wanaona mbali na wengine wanaona matumbo yao, CHADEMA iliona mbali sana kipindi cha bungeni wakiwepo na mpaka leo kutokuwa hapo

    Marehemu ruge is best sio huyu majizzo. Marehemu ruge ana kwambia mungu na teknolojia ndio vitakuumbua kwa dunia ya sasa. Ni kweli kabisa ndio maana kufanya interview na Odema inabidi kufanya mazoezi ya kukumbuka ukweli na uwongo. Kipindi kile bunge lilikuwa na manguri na mabishano makali ila...
  15. M

    PostGE2025 MoU ya TEC na Serikali irudi Bungeni

    MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC). Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya...
  16. Sifi Leo

    Job Ndugai: SPIKA ambaye hakukumbukwa na Bunge la kwanza la Mwaka 2025 wakakumbukwa waandamanaji! MLIO hai na mpo bungeni, mu Mavumbi TU

    Kweli Job ndungai SPIKA mtepe mtepe ndiye aliyesaaulika mara hii kwenye Bunge la 2025 hata wabunge mshindwe KUSIMAMIA hata dakika Moja kumwombea Badala yake mliombea waandamanaji walio UAWA? NAWAMBIA nyinyi wabunge MLIO msaau haraka hivyo hata nyinyi mu mtepe mtepe mnaweza saaaulika haraka...
  17. Mhaya

    PostGE2025 Clemence Mwandambo: Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar

    Baba yenu Clemence Mwandambo anauliza, Wabunge wa Zanzibar wanakuja bungeni Tanganyika, Wabunge wa Tanganyika hawaruhusiwi Zanzibar.
  18. C

    CCM msipigwe butwaa hayo ndiyo matokeo yakugonga meza bungeni kwa vifijo na nderemo mkiamini mnawakomoa CHADEMA

    Naona mmepigwa ganzi s butwaa hiyo ndiyo faida ya party cocus na vifijo vya kuwa bendera fuata upepo bila kufikiri, nadhani sasa mmejua kwamba chama kinatumika kukamilisha mission za wahuni ila ndiyo hivyo mmechelewa sasa
  19. Genius Man

    Gen Z wana-trend. Wamekubaliana uelekeo ni Ikulu na Bungeni. Msisahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9

    Gen z wana trend wamekubaliana uelekeo ni ikulu na bungeni msasahau sahani, vijiko, pilipili na ndizi ubwabwa utakuwepo #D9.
  20. Doctor Mama Amon

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo

    Tahakiki ya hotuba ya Rais Samia Bungeni, 14 Novemba 2025: Mazingira, Madhumuni, Muundo, Mazuri, Mabaya, Mapengo na Mapendekezo 1. Utangulizi Mnamo tarehe 14 Novemba 2025, Rais Samia alitoa hotuba ya kufungua Bunge la 13, akiwa bungeni Dodoma. Hivyo, hapa chini najadili muundo, maudhuo...
Back
Top Bottom