bunge la 12

Bunge & Born was a multinational corporation based in Buenos Aires, Argentina, whose diverse interests included food processing and international trade in grains and oilseeds. It is now known as Bunge Limited.

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Beach

    Bunge la 12; wabunge waogelea mamilioni mafao ya kiinua mgongo. Kila moja kavuta 380m. Jumla ya tzs 149,340,000,000 zimetumika kuwalipa!!

    Courtesy: MMM Martin Maranja Masese, Mtikila - X Twitter page: Kiinua mgongo kwa mbunge mmoja wa Bunge la Tanzania (Bunge la 12) ni Shs 380 milioni baada ya kipindi cha miaka 5 akihudumu katika Bunge la Tanzania. Jumla ya idadi yote ya wabunge ni 393. Wabunge wa majimbo ni 264. Wabunge wa viti...
  2. Mzalendo2015

    Akili Munemba(AI) inavotumiwa na Kenya kulinanga Bunge la 12 kama Bunge la Vihiyo

    https://youtu.be/txvRnIcB9tc?si=DI7EpxtR-jnsGoai Kumekuwa na matukio ya kushangaza tokea lile sekeseke la Wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania kusikiliza kesi ya Mhe. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Wanaharakati hao baadaye walikamatwa na Polisi wa Tanzania...
  3. Parabolic

    Mwabukusi: Bunge la 12 kama tambara la mlangoni?

    Anaandika Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi: "Katika historia ya taifa letu, tangu kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1964, na hususan tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Bunge la Kumi na Mbili (2020–2025) ndilo Bunge dhaifu...
  4. Genius Man

    Mambo ya kukumbukwa kwa bunge la 12 la Tanzania

  5. kavulata

    Kwa hotuba hii ya Mama kufunga bunge la 12 mitano tena ni haki yake

    Nilikuwa sijui kumbe Kafanya mengi sana kuliko matarajio.. kumnyima 5 tena ni hasara kubwa sana. Kayasema mpaka nikasinzia. Nadhani hata chadema wamepata ganzi na gagaziko. Tutabishana sana na madalali humuhumu mitandaoni
  6. 888I

    Matukio 12 yaliyotikisa Bunge la 12

    🏛️ 1. Kujiuzulu kwa Spika Job Ndugai Mnamo Januari 2022, Spika wa Bunge, Job Ndugai, alijiuzulu kufuatia kauli tata kuhusu mikopo ya nje. Nafasi yake ilichukuliwa na Dk. Tulia Ackson, ambaye alikua mwanamke wa pili kushika wadhifa huo baada ya Anne Makinda. 👩‍💼 2. Uteuzi wa Katibu wa Bunge...
  7. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia akihutubia na Kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12, Dodoma July 27, 2025

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuhutubia na kufunga Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tukio hilo litafanyika leo Juni 27, 2025 bungeni jijini Dodoma ambapo baada ya kufunga Bunge hilo hatua hiyo itaruhusu kuanza kwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani...
  8. The Zanzibar Echo

    Mambo 6 muhimu ya kukumbukwa ya Bunge la 12 la Tanzania

    Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linavunjwa rasmi leo Juni 27, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia anatarajiwa kulitunuku hotuba ya mwisho. Moja ya mafanikio makubwa ya bunge hili ni kuulizwa kwa maswali zaidi ya 20,300, kupitishwa kwa miswada 58, maazimio 922 na mikataba...
  9. Waufukweni

    Rais Samia safarini kwa SGR kuelekea Dodoma kuhitimisha rasmi shughuli za Bunge la 12 kesho Juni 27, 2025

    Rais Samia akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Jijini Dodoma tarehe 26 Juni, 2025. Pamoja na mambo mengine kesho atahutubia na kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  10. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 54 Juni 26, 2025

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa leo, Juni 26, 2025, kuwasilisha hoja ya kufunga shughuli za Bunge ikiwa ni hitimisho la Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mkutano huo umejadili mambo mbalimbali ikiwemo Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa...
  11. Pascal Mayalla

    PreGE2025 Watanzania tusiruhusu tena Bunge Kibogoyo dhaifu kama hili, lisilo na Meno, kukosa Kambi ya Upinzani na kushindwa kuisimamia Serikali kikamilifu!

    Wanabodi Makala yangu gazeti la Mwananchi la leo Bunge la 12, linatarajiwa kuvunjwa hivi karibuni, hii ni makala ya kuwaomba Watanzania tusiruhusu tena Bunge lisilo na kambi rasmi ya upinzani kama Bunge hili la 12!, limekuwa ni Bunge dhaifu kutokana na kukosa meno, hivyo limekuwa kama ni Bunge...
  12. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa Kumi na Tisa, Kikao cha 49, Juni 19, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, leo Juni 19, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Wakati huo huo...
  13. Roving Journalist

    BUNGE LA 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 47, Juni 17, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Ta0IRczlVrg
  14. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 46, Juni 16, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 16, 2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti itawasilisha taarifa ya Kamati hiyo kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa...
  15. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 11 Juni 11, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 11 Juni 11, 2025 ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO I. Dua II. Hati za kuwasilisha mezani III. Maswali IV. Hoja za Kamati https://www.youtube.com/watch?v=Q31sbspK74k
  16. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  17. Roving Journalist

    Wizara zinajibu maswali ya Wabunge katika Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 41, leo Juni 06, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 06, 2025, Serikali itajibu ni lini itawasilisha muswada wa sheria kuhusu changomoto za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi ili ziwe kwa mujibu wa sheria. Wakati huo huo...
  18. Roving Journalist

    Bunge la 12, Dkt. Mwigulu: Uchumi wakua kwa asilimia 5.5, mfumuko wa Bei wasalia thabiti – Wizara ya Fedha yaomba TSh Trilioni 20.1

    https://www.youtube.com/watch?v=UTsVTMLcS5Q Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai 2024 hadi...
  19. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 38, Juni 03, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Dhe1bpdrnXE Wabunge wamepitisha makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/2026, jijini Dodoma leo Juni 3, 2025. Katika mjadala wa kupitisha bajeti hiyo wajumbe wametoa ushauri mbalimbali ikiwemo Serikali kuangalia namna ya...
  20. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 37, Juni 02, 2025

    Waziri wa Afya, Jenista Mhagama anatarajiwa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo Juni 2, 2025. https://www.youtube.com/watch?v=PDXVMgTMq5M Wizara ya Afya imeliomba Bunge kuidhinishia TSh trilioni 1.6 kwa ajili ya...
Back
Top Bottom