bunge la 12

Bunge & Born was a multinational corporation based in Buenos Aires, Argentina, whose diverse interests included food processing and international trade in grains and oilseeds. It is now known as Bunge Limited.

View More On Wikipedia.org
  1. Just Pray

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 29, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa Fedha 2025/2026...
  2. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 13 Aprili 28, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 13 Aprili 28, 2025 https://www.youtube.com/live/_jDiHe_-CrU?si=bjV2q_LSc86UOyIn
  3. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 12, Aprili 25, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=LEZweMHSLdU&pp=0gcJCYQJAYcqIYzv
  4. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Kumi, Aprili 23, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 23, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa leo. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji...
  5. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tisa, Aprili 22, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 22, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais...
  6. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Nane, tarehe 17 Aprili 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge...
  7. Roving Journalist

    TAMISEMI yawasilisha Bungeni makadirio ya bajeti yake ya mwaka 2025/26 Aprili 16, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 16, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa na kuanza kujadiliwa. Shughuli nyingine ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba...
  8. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Sita, Aprili 15, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 15, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo mjadala wa hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 utahitimishwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali...
  9. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tano, Aprili 14, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 14, 2024 bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa...
  10. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha Nne, leo Aprili 11, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 11, 2025 Jijini Dodoma ambapo wabunge wataendelea kuijadili hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na taasisi zake kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Kutakuwa pia na taarifa ya matoleo ya Gazeti la Serikali pamoja na nyongeza zake yaliyochapishwa...
  11. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 3 Aprili, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 10, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine, kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge kuiuliza maswali Serikali. Wizara zitakazoulizwa maswali kwa siku ya leo ni pamoja na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na...
  12. S

    Bunge la 12 linamaliza muda wake miezi 3 ijayo watanzania tutalikumbuka kwa lipi?

    BUNGE la 12 linavunjwa rasmi Tarehe 27 Juni 2025 baada ya kumaliza kazi yake kwa miaka 5 kama watanzania tutalikumbuka Bunge hili kwa lipi chini ya Spika Tulia Ackson?
  13. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 2 April, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 9, 2024 Jijini Dodoma ambapo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atasoma hotuba ya bajeti ya ofisi yake na taasisi zake kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026. Taarifa mbalimbali za kamati za kudumu za Bunge nazo zitawasilishwa ikiwemo; Taarifa ya Kamati ya...
  14. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha Kwanza, Aprili 8, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 umeanza leo Aprili 8, 2025 Jijini Dodoma, ukiwa ni mahususi kwa ajili ya kujadili na kupitisha bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2025/2026. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Elimu kwa Umma, Ofisi ya Bunge, miongoni mwa shughuli...
  15. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 14 Februari 14, 2025

    Wakuu Baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu leo Februari 14, 2023, wabunge watajadili maelezo ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kuhusu nyongeza ya bajeti na Muhtasari wa Tamko la Sera ya Fedha kwa mwaka 2024/2025. Pia, kutakuwa na maswali 16 kwa wizara mbalimbali, mjadala wa hoja ya...
  16. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13 Februari 13, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13 Februari 13, 2025 https://www.youtube.com/live/cyc6U2sR8Lo?si=DI-aIFTZ23kTvpdk
  17. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 12 Februari 12, 2025

    Leo katika kikao cha 12 cha mkutano wa 18, Bunge linajadili Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa 2024, ambapo Waziri wa Nchi (Muungano na Mazingira) atatoa maelezo. Pia, Mwenyekiti wa Kamati ya PAC atawasilisha taarifa ya shughuli za kamati hiyo kwa mwaka 2024 kwa...
  18. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 11 Februari 11, 2025

    Wakuu Katika mkutano wa 18 wa Bunge unaoendelea Jijini Dodoma, leo katika kikao cha 11, wabunge watasikia na kujadili taarifa za kamati mbili za kudumu za Bunge kwa kipindi cha kuanzia Februari mwaka jana, 2024 hadi Januari mwaka huu baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu. Kamati hizo ni ile...
  19. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 10 February 10, 2025

    Wakuu Baada ya mapumziko ya mwisho wa wiki, leo mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake cha 10 linaendelea ambapo baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu itakuwa ni zamu ya kamati nyingine mbili za kudumu za Bunge kuwasilisha taarifa zao kwa kipindi cha...
  20. Roving Journalist

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 8 Februari 7, 2025

    Katika kikao chake cha Nane (8), mkutano wa 18, leo Februari 7, 2025 wabunge watapokea, kusikiliza, kujadili na hatimaye kupitisha au kukataa taarifa za kamati mbili za kudumu za Bunge baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu. Kamati hizo ni ile ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na ya Maji na...
Back
Top Bottom