Leo wakati nakwenda kazini nilimwona ndege huyu kwenye sehemu ya paa langu hivi; asubuhi tulikuwa na snow kidogo
Niliporudi nyumbani baada ya kazi saa 10 jioni nilimkuta bado yupo ila nilipofungilia geti, ule mlio wa geti ukamshtua akarukia juu ya paa kuu kama inayoonekana hapa huku akiacha...
Wakuu wa Jukwaa, leo na mimi nina swali ambalo linakua linanitatiza sana kichwani kwangu kwa muda kidogo sasa.
Nimekua napitia hali ya kujiuliza maswali mengi sana juu ya kiumbe hiki kinachoitwa BUNDI. Bundi ni ndege mwenye sifa kede wa kede. Sitaki kuzungumzia sifa za ndege huyu, leo nimeona...
Anawasifia mchana usiku anataka maini Yao Ila Israel mtoa roho!
Naandika mimi sasa ✍🏻✍🏻✍🏻
Yeye Yule ambaye alitukanwa sana kwenye korido za Nyumba nyeupe mithiri ya Meli, pale kwenye Shombo, sasa akawa mwenyewe.
Anafanya kulipiza kisasi kuanzia ameshika hatamu akamuwajibisha aliyeonya SIGARA...
I salute you kinsmen.
Huko simba hali mbaya wakuu msionr hivi .
Bundi ametua msimbazi!
Kwa sasa tajiri amesusa na hataki kutoa lolote lile, chanzo ni hasa viongozi waliokwenda dodoma na kukubali kucheza derby ambayo wanahofia wazi watagongwa na mavi yanagonga chupi..
Kulikuwa na mparanganyiko...
Jana usiku nilikua na drive nje ya mji...nikaona dot 2 zinawaka kwa mbele, hatimaye nikagundua ni fisi amechill pembeni ya barabara... TAPETUM LUCIDUM ni layer yenye asili ya mng'ao iliyopo nyuma ya retina katika jicho la kiumbe hai. Sio viumbe wote wanayo, hii wamepewa viumbe baadhi ambao wapo...
Mara ya kwanza kumuona bundi akiwa amekaa au ame chill kwenye fisher board nyumbani ndio ilikuwa mara ya kwanza kumshuhudia bundi kwa macho. Siku hii ilikuwa mchana mapema
Toka nimuone bundi nyumbani kwangu hii imekuwa ni mara ya nne nashuhudia bundi katika maeneo haya.
Cha kushangaza bundi...
Aliwahi kuandika mwana fasihi MBUNDA MSOKILE kwenye kitabu chake cha USIKU UTAKAPOKWISHA, kwamba; Ukikosa Kware mawindoni rudi na bundi.
• Msemo huu uwakumbushe wale ambao wanasubiri kazi za maofisini, hawataki kazi za juani.
• Msemo huu uwakumbushe wale ambao wanatafuta mchumba (mume/mke)...
Hili ndio bandiko lake kutoka Account yake ya X
NGEDERE NA BUNDI WAOKOA MABILLIONI YA PESA UNUNUZI WA TRENI ZA SGR.
NGEDERE mmoja na BUNDI mmoja jana maeneo ya Kidete wilaya ya Kilosa ndiyo kalisanua TAIFA katika ufisadi ununuzi wa Treni za SGR.
Bila NGEDERE jana kufanya kazi nzuri ya...
Rais Samia akiwasalimia wananchi katika uzinduzi wa treni Agosti 1, 2024
Rais Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi amezindua rasmi huduma za usafiri wa reli ya kisasa (SGR), treni iliyokuwa imebeba wageni walioshiriki uzinduzi huo wakiwamo mabalozi na viongozi mbalimbali wa kiserikali kutokea...
TAARIFA KWA UMMA
HITILAFU YA UMEME KATI YA KILOSA NA KIDETE
Dar es Salaam, Tarehe 31 Julai 2024
Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) iliyokuwa...
Dereva pikipiki ya Afisa mifugo Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga, Abel Adamson Mwaipopo (25) amefariki Dunia baada kumgonga Bundi na Kisha pikipiki take kupoteza muelekeo na kuanguka na hatinaye kupoteza maisha.
Afisa mifugo wilayani Handeni mkoani Tanga (Jina lake bado halijafahamika) amefariki dunia baada ya kumgonga ndege aina ya Bundi na pikipiki aliyokuwa akiendesha yenye namba za usajili STM 0232 . Ajali hiyo imetokea asubuhi ya leo Ijumaa, Mei 17 2024 eneo la Sindeni, Handeni jirani na kona ya...
Nataka kufuga bundi kuzuia uharibifu wa panya wa mazao shambani kwangu, ila sasa hii jamii ninayoishi nayo wakiona nakusanya bundi hawanielewi, wanadhani mie mchawi. Halafu mie nawaona bundi wako wa-cute!
Nifanyeje? Wasije wakanichoma moto ndani ya nyumba yangu.
Huyu nae ni mbabe wa koboko. Yaani Mungu fundi kweli,hili dude limekaa kifala kweli ila shughuli yake koboko anaijua. Yanawatafuna balaa. Na eneo lililo na Bundi koboko lazima achague mambo mawili abaki ili aliwe au ahame haraka sana kuokoa maisha yake. Wewe mchukie tu na mhusishe kwa ushirikina...
Nchi nyingi huwa na ndege, mnyama, mdudu, ua, mti. . . Vya taifa. Mnyama wa taifa la Tanzania anajulikana ni twiga ila hivyo vingine havijulikani au labda havipo. Katika kusearch ndege wa taifa la Tanzania nikakutana na bundi wa Usambara(Usambara Owl-Eagle) wanasema ndiyo ndege wa taifa la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.