Habari makomredi wenzangu!
Mzee Wetu wa Bunda ni kiongozi wa juu wa chama Cha majani mabichi ambaye asili yake ni Upinzani.
Amewahi kuwa kiongozi na mbunge wa kuchaguliwa Bunda mjini, baadaye akatimkia chama kile.
Sasa kuna msemo usemao, jasiri haachi asili, yaeza kuwa anakihujumu chama chake...