buguruni

Buguruni is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 67,028.

View More On Wikipedia.org
  1. Jafo: Vingunguti, Tandale na Buguruni pavunjwe pajengwe Maghorofa

    Mbunge wa Kisarawe, Selemani Jafo, akizungumza Bungeni Februari 5, 2026, ameishauri Serikali kuvunja maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam, yakiwemo Buguruni, Vingunguti na Tandale, ili kujenga maghorofa na kupendezesha jiji hilo.
  2. P

    KERO Buguruni Madenge relini kuna wakabaji na wezi

    Eneo la viwandani Buguruni Madenge kuna wezi na wakabaji, wamejenga vibanda katika eneo hilo na kusababisha hofu kwa wapita njia waendao kazini hasa kwenye viwanda. Wanaishi na wanalala hapo asubuhi asubuhi na mchana tu, na usiku wanakwenda kuvunja na kuiba vitu mbalimbali hasa vya magari...
  3. KERO Mkandarasi hamwagi maji kwenye kipande cha Barabara kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani, vumbi linatusumbua

    Habari za muda huu Naomba nitoe taarifa kwaa mamlaka husika waweze kutusaidia raia na Wafanyabiashara wa Buguruni , hususani wa kipande kinachoelekea Buguruni Kwa Mnyamani kuanzia Mataa, maana vumbi linatuathiri sana. Kutokana na ujenzi unaondelea wa Barabara mkandarasi anamwaga maji upande wa...
  4. Njia ntakayotumia kuboresha maeneo kama Magomeni, Mburahati, Kigogo, Mabibo, Manzeshe, Kinondoni, Mwananyamala, Kijitonyama, Sinza, Ilala, Keko n.k

    Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100 Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper Madeveloper watajenga...
  5. COMMERCIAL AREA,LOCATION AT BUGURUNI MATAA,PRICE Tsh6billion

    Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa Location Eneo linatazama Mataa ya Buguruni -Eneo lina fremu za Biashara -Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti. Eneo linafaa Jengo la Biashara/Ofisi, Gas Station, Hardware n.k. -Plot size Sqmtrs 3,548 -Document...
  6. COMMERCIAL AREA, LOCATION AT BUGURUNI MATAA,PRICE Tsh 6billion-negotiable

    Commercial Plot inauzwa Buguruni Mataa Location Eneo linatazama Mataa ya Buguruni -Eneo lina fremu za Biashara -Eneo lina Barabara mbili moja kushoto ingine kulia ya kuelekea Vingunguti. Eneo linafaa Jengo la Biashara/Ofisi, Gas Station, Hardware n.k. -Plot size Sqmtrs 3,548 -Document...
  7. Nauza mbao za dawa buguruni

    Tunauza mbao zilizokomaa zadawa buguruni 2/2 2900 2/4 5000 1 by 8 12000 1by10 16,000 Misumali inch 4 bei 3500 Misumali ya bati ya rangi pakt kg1 bei 10,000 .. Zote hizo ni ft 12 Piga sim 0743257669
  8. Anayemjua huyu jamaa; kachomwa kisu muda huu Buguruni hapa

    Huyu jamaa kamwaga Supu na Maandazi hapa Buguruni Sheli muda huu, mama muuza supu kamchoma na kisu mgongoni. Anayemjua aje amchukue
  9. Ukipita soko la Buguruni unakumbushwa tamaduni ya mwafrika ni kuridhika na uchafu

    Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki Ukiridhika kupata chakula chako katika...
  10. Karibu Shaloom Africa Stationery, Kwa huduma bora, Tupo Buguruni sheli:

    Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, Basi nawakaribisha SHALOOM AFRICA kwa ajili ya huduma zote za kiofisi. Tunapatikana Buguruni sheli na namba zetu zipo kwenye bango letu. Karibuni sana.
  11. LGE2024 Wananchi Buguruni, Njombe waomba viongozi watakao chaguliwa kukabiliana na vibaka

    Wananchi wa Mtaa wa Buguruni Kata ya Njombe mjini Mkoani Njombe wamelalamikia uwepo wa vibaka ambao wamekuwa tishio katika usalama wao na kuwataka viongozi watakaoshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwenda kuweka mkakati wa kupambana nao. Wananchi hao akiwemo Anna Msigwa na Maneno Ilomo...
  12. Buguruni, Dar: Mtoto wa miaka 10 akutwa amejinyonga chumbani kwake

    Habari za usiku wakuu! Kuna mtoto wa miaka 10 amekutwa amejinyonga chumbani kwake hapa Buguruni. Maelezo ya kina hayajapatikana ila kwa maelezo ya awali ni kwamba mtoto katoka shule mida ya saa tisa jioni na baada ya kufika nyumbani amefanya shughuli ndogo ndogo na baada ya muda umeingia...
  13. Buguruni Business Centre : Chimbo bora kwa wafanya biashara wakubwa na wamiliki wa hardware.

    Amani iwe nanyi, watu wa Mungu. Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli. kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
  14. June 30, 1993 alifariki Gavana Rutihinda na kuzikwa Buguruni Malapa. June 15, 2024 anafariki Balozi Ruhinda na kuzikwa Kinondoni

    Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi, Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,. Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa...
  15. Buguruni kunalemaza sana wakuu, hebu angalia nguvu ya 500!

    Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage. Nataka nihame hapa...
  16. Chumba cha 20,000/= Buguruni

    Niaje wakuu! Naomba kuelekezwa, au kuunganishwa na mtu anayeweza kunisaidia kupata chumba cha elfu20 (20,000/=) au chini ya hiyo. NB: Hata kama hakina umeme wala rangi fresh tu!
  17. Wapaka mbao rangi kuhadaa wateja

    Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani. Nikasogea...
  18. Ujenzi gani unaendelea Buguruni?

    Wadau tujuazane kuhusu ujenzi unaindelea pale buguruni, hizi nchi zetu za hovyo sana kazi inaendelea na hamna taarifa yoyote kwa wananchi. Kila siku napita pale nione hata bango linaloelezea nini kinaendelea lakini wapi.
  19. TANROADS, Buguruni junction inatutesa

    Kujenga Mfugale Fyover sasa imedhihirika kuwa haijatatua msongamano mkubwa wa magari. Tatizo ni junction ya Buguruni/Mandela/Vingunguti roads. Naamini Wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS in wahandisi wa kutosha kubuni(design) Interchange ya kuondoa kero hii amnayo sasa imekithiri. Kwa sasa hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…