Milipuko kadhaa imeripotiwa kutokea katika Kisiwa cha Kharg nchini Iran, kwa mujibu wa shirika la habari la nusu rasmi la Mehr.
Kisiwa cha Kharg, kilichopo kwenye pwani ya magharibi ya Iran katika Ghuba ya Uajemi, ni kituo muhimu sana cha usafirishaji wa mafuta ya nchi hiyo, kikichakata sehemu...