Boniface Mwangi (born July 10, 1983) is a Kenyan photojournalist, politician and activist involved in social-political activism. He is known for his images of the post-election violence that hit Kenya in 2007 and 2008.
Tunaposema Mwanasheria Mkuu wa Serikali anapaswa kuwa mtu mwenye weredi ya hali ya juu katika masuala ya kisheria ziwe za madai au jinai au za kitaifa au kimataifa hatutanii, tuna maanisha kweli.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ni cheo nyeti sana katika nchi yoyote ile duniani. Ni kielelezo kikuu...
Tangu Tundu Lissu ataje orodha ya mashahidi wake, mashahidi kutoka Kenya na Uganda ambao hawakuwepo eneo la tukio (kwenye mkutano ambao Lissu alisema "tutakinukisha") na ambao si hata viongozi wa CHADEMA, nimebaki najiuliza swali hili:
Watu hawa(Martha Karua, Agather na Boniface Mwangi)...
Mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi, ametangaza kuwania urais katika uchaguzi wa mwaka 2027. Mwangi, ambaye amekuwa mstari wa mbele kuongoza maandamano ya kupinga serikali yanayoshirikisha vijana wengi, anataka kugeuza nguvu hizo za maandamano kuwa harakati ya...
Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria.
Mwangi, ambaye ameachiwa kwa dhamana, awali alishtakiwa kwa kusaidia shughuli za kigaidi kufuatia...
Mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu nchini Kenya, Boniface Mwangi ameachiliwa kwa dhamana baada ya kufunguliwa mashtaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria kuhusiana na madai ya kuhusika kwake katika maandamano hatari dhidi ya serikali yaliyofanyika Juni mwaka huu.
Mashitaka hayo...
Wakati Tanzania ilipomfukuza Boniface Mwangi mwezi Mei 2025, watu wengi walikimbilia kuikosoa, wakiita hatua hiyo ya kidikteta. Lakini sasa, Serikali ya Kenya kupitia taarifa za raia wema imemkamata kwa tuhuma nzito za kusaidia vitendo vya kigaidi wakati wa maandamano ya Juni 25 na ushahidi...
Mwanaharakati Boniface Mwangi adaiwa kukamatwa nyumbani kwake, Courage Base, eneo la Lukenya katika Kaunti ya Machakos na maafisa wanaoaminika kuwa kutoka Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI), huku sababu ya kukamatwa kwake bado ikiwa haijafahamika.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Vocal Africa, Hussein...
Arusha, Tanzania – 18 Julai 2025:
Katika hatua ya kihistoria ya kutetea utawala wa sheria, haki, na haki za binadamu katika Afrika Mashariki, watetezi wawili mashuhuri wa haki za binadamu – Bi. Agather Atuhaire kutoka Uganda na Bw. Boniface Mwangi kutoka Kenya – wakiwa wameandamana na mashirika...
Boniface Mwangi Kariuki, mfanyabiashara wa umri wa miaka 22, ambaye alipigwa risasi kwa umbali mfupi katika CBD ya Nairobi wakati wa maandamano ya Jumanne, yupo katika utaratibu wa kupona Kenyatta National Hospital baada ya kufanyiwa upasuaji uliofanikiwa, anasema baba yake, Jonah Kariuki...
Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania.
Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo.
Lakini hata kama...
Nimeangalia mkanda wa video wa Boniface Mwangi kutoka Kenya na mwanadada Agather Atuhaire kutoka Uganda.
Wanaharakati hawa walikuwa wakielezea maswaibu mazito waliyoyapitia waliposhikiliwa na maafisa wa serikali ya Tanzania.
Nikiri kwamba sikumaliza kuuangalia — ulikuwa umebeba machungu...
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ataka Kenya ichukue hatua kali dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya utesaji wa wanaharakati
Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametaka serikali ya Kenya ichukue hatua za kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya mateso na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya...
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai...
Inahitaji mtu kuwa jasiri kuongea yaliyokukuta huku ukijua ulirekodiwa video ukiwa uchi huku ukidhalilishwa kingono na kutishiwa video zako kuvuja ukifungua mdomo.
Safari ya kuitafuta haki hujaa maumivu na aibu, watanzania wengi huona bora kuficha aibu kuliko kupigania haki.
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika...
Nimetazama ushahidi wa Boniface Mwangi alioutoa kwenye vyombo vya habari vya Kenya akielezea unyama aliyofanyiwa na Polisi wa Tanzania. Natabiri kwamba kesi hii haitaishia kama wanavyowafanyia Watanzania. Tayari reaction ya Wakenya wengi wasema rais Samia asitie mguu Kenya.
Ninavyowajua...
https://www.youtube.com/live/SzOMXx0WhoE
NALAANI upotoshaji huu wanaoufanya Hawa chain of activist uchwara!
°Uchafuzi wa jina la taifa letu unazidi kuharibika,
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani.
Musukuma amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kuwashughulikia wanaharakati wa Kenya wanaokuja nchini kufanya majaribio...
24 Mei, 2025. Arusha, Tanzania
Taarifa kutoka Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki kuhusu Kukamatwa, Kuteswa na Kuachiliwa kwa Bw. Boniface Mwangi na Bi. Agather Atuhaire, na Wito wa Kuwajibika
Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) inalaani vikali kukamatwa kiholela, kuzuiliwa bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.