Boniface Mwangi (born July 10, 1983) is a Kenyan photojournalist, politician and activist involved in social-political activism. He is known for his images of the post-election violence that hit Kenya in 2007 and 2008.
Mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ametoa simulizi ya kushtua na isiyo na kificho kuhusu masaibu aliyoyapata akiwa kizuizini nchini Tanzania, akieleza jinsi alivyolazimishwa kuvua nguo, kutambaa na kuosha damu mwilini mwake, huku akidai kuwa aliteswa kikatili pamoja...
Kundi moja la wanaharakati jijini Nairobi wamemkaribisha kishujaa mwanaharakati Boniface Mwangi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Wilson akitokea Ukunda, baada ya kurejeshwa Kenya kwa barabara kutoka Dar es Salaam na maafisa wa polisi wa Tanzania
Taarifa imetolewa na Citizen tv hivi punde
Ahsanteni sana
===
Waufukweni said:
Mwanaharakati maarufu kutoka Kenya, Boniface Mwangi, ambaye alikuwa akishikiliwa nchini Tanzania, ameripotiwa kusafirishwa kwa njia ya barabara na kutelekezwa katika mji wa Ukunda, uliopo pwani ya Kenya.
Taarifa...
Wakuu,
Hii ishu ya kushikiliwa kwa Boniface Mwangi tunaweza kudhani ni kitu cha kawaida lakini naona kitaenda kuwa na implications kubwa
=============================
Serikali ya Kenya kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Masuala ya Diaspora imetoa ikilalamikia kukosekana kwa mawasiliano ya...
bonifacemwangi
kenya
kidiplomasia
mambo
mambo ya
mambo ya nje
nje
raia
tamko
tanzania
utekaji
wake
wanaharakati kenya
wao
wizara
wizara ya mambo nje ya kenya
Baadhi ya Wakenya, akiwemo Mke wa Boniface Mwangi wamejitokeza nje ya Ubalozi wa Tanzania nchi humo, huku wakiwa na Bendera ya Tanzania, Uganda na Kenya wakishinikiza Serikali ya Tanzania kwa kuimba ili imuachie huru Boniface Mwangi. Katika video hii anaonekana Mke wa Boniface Mwangi akilia kwa...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kuwa mwanaharakati kutoka Kenya Boniface Mwangi, pamoja na mwanasheria kutoka Uganda Agather Atuhaire wanashikiliwa katika kituo cha polisi cha Kati Dar es Salaam.
Mwangi na Atuhaire walikuja Tanzania kufuatilia kesi inayomkabili...
Wakuu,
Polisi wameendelea kufanya ujinga na mambo ya ajabu kwa usalama wa wananchi.
Asubuhi hii ya leo polisi wavamia chumbani kwa mpigapicha na na mwanaharakati wa masuala ya kisiasa kutoka kenya Boniface Mwangi wakisema wanataka kufanya ukaguzi. Boniface alikataa kufungua mlango na kuongea...
Watu wasiojulikana wakiwa kwenye pikipiki walifika katika ofisi za mwanaharakati Boniface Mwangi Jumamosi alasiri, wakisababisha vurugu na kuvuruga shughuli za kawaida katika eneo hilo.
Mwangi, ambaye alijibu tukio hilo baadaye, alifichua kwamba aliripoti suala hilo katika Kituo cha Polisi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.